Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,116
- 6,827
- Thread starter
- #281
Unafoka sana njoo in box ili nikueleweshe spendi kuweka kila kitu public..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kali aiseeNdiyo umepanick hivi.
Kazi ipo. Sasa wewe kinachokutoa upepo ni nini?.
Mwanaume kama binti. Unatuonea wivu njoo tushirikiane kutafuta mabwana basi.
Uvae hivyo
View attachment 1001036
Kumbe wewe ndo ulisababisha wambie waniunge jukwaa la dini
Mkuu Kuna simu za 20,000Eti analalamika alikatika kama elf 50 (yaani kwa mchanganuo wa Kununua simu, Lotion, na pocket money) sasa kwa mgawanyo upi, na hiyo simu ya bei gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisababisha nini?Kumbe wewe ndo ulisababisha wambie waniunge jukwaa la dini
Kwa mwandiko huo ni Bora umenyimwa uchini ushauli, wala xi dukuduku, maana xion 7bu wa kujifanya mwelewa kuliko..
Sent using Jamii Forums mobile app
Fation?? Mdogo wangu tumia kiswahili utaonekana wa maana zaidi.huo ni mtazamo wako, iv unadhan wa2 2ngekua xaw kwa @ ki2 kuna haja gan ya kuwepo na majukwaa ya fation!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipotea huu uzi.Nilisababisha nini?
Inawezekana mpenzi wako hakuvutiwa na swaga zako. Utapata mwingine huyo achana naealie sema utam wa pp mate yko, hakukosea, kwan vaz lang linanifaaa mm mwenye nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tatizo lako wewe ulienda kinyumenyume ulitumia ustaarabu mwingi sana mwisho wa siku akakuchukulia bonge la boya mara umnunulie simu mara umuunge bando ilo ndo kosa ulilolifanya that's y akakuchukulia zwazwa wengine wanatomba wewe unabaniwa mzigoKatikati ya mwaka jana nilibahatika kumpata binti mmoja, mwanzo wa kujuana nae ni pale alipokuwa akipita asubuhi na mapema akienda shule, alinifanya kila siku saa12 kuwa macho ili kumsubiri nionane nae akipita, nilimweleza hisia zangu na akanielewa, binti huyu ni mcha Mungu ktk imani yangu hivyo kwa 90% alinifanya nianze kuhudhuria ibada(kabla yake nilikuwa nishaanza kurudi nyuma kiimani).
Kama ilivyo kawaida kwa wadada kuomba mahitaji ya hapa na pale kwa wapenzi wao nami pia nilianza kumhudumia kuanzia lotion, akiugua, na vitu vingine kibao(hali ya kimaisha ya kwao yapo low) pia nilimuomba nimununulie simu ili nipate kiurahisi kutokana na mazingira anayoishi, nikanunua simu, pia nakampatia line yangu, nikamuunganishia cha msg, ktk simu hiyo nilimuomba iwe special kwa ajili yangu na yeye tu na nikaji-save kwake 2be
Wanafunzi wakafunga shule akadai ataenda likizo Ushirombo hivyo nikamuomba animegee kidogo tunda langu, lkn akawa kazingua kwa kudai yupo dangerous day, nikasema isiwe kesi, mara baada ya kutoka likizo kama wiki 2 baadae nikawa nimepanga nae promise ili nikapate kifuta jasho maana nilikuwa nishatoboka kama 50 elfu, akadai hamna shida, lkn muda tuliopanga kuwa tutaonana nae ghafla akawa katoweka online, kufuatilia akawa kadai msg zimekata, akaja ghetto akawa kaniachia phone yake ili nimuungie msg kisha akaelekea kwao mimi akaniacha ghetto, sasaa hapo kimbembe ndipo kilianza, nilikutana na namba za wanaume tena wale mangosha, kubwa zaidi ile me kujisave 2be, akaiedit na kunisave jina langu la kawaida nikajarbu kupiga moja kati ya zile namba yaani sikuamini masikio yang lilikuw ni bonge la m'baba halafu kiswahili halijui hata hatukuelewana.
Kingne ni upande wa msg, katumiwa mummy,honey,my kama zote hata nilipokuja kumuulza mlengwa kuhusu hao watu bado alisema hata hawajui, basi sikutaka shobo,mambo yalikuwa kibao na kubwa zaidi ni kuninyima para.
Hadi hivi leo sipo nae kutokana na mambo ambayo aliendelea kunioneshea, mwanzo mimi nikajua ni binti mwenye heshima ambaye nitapanga nae maisha ikiwemo kumuoa atakapomaliza shule lkn mambo yakawa tofauti, tena mbaya zaidi ni kuwa wanaume wenzangu tena wengine mafala wanakula bila mpangilio ila me nikimuomba anadai anaogopa mimba tena kwa vitisho vya hatari.
Sasa nachojiuliza hivi hawa wadada kwanini ukiwapenda hawapendeki, pia kwanini kama wameamua kuwa chama la wana kwanini wengine tunanyimwa, asee inauma sana hasa kwa mtu niliyempenda.
Mkuu tatizo lako wewe ulienda kinyumenyume ulitumia ustaarabu mwingi sana mwisho wa siku akakuchukulia bonge la boya mara umnunulie simu mara umuunge bando ilo ndo kosa ulilolifanya that's y akakuchukulia zwazwa wengine wanatomba wewe unabaniwa mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo wa nini? Ina maana umeanza kujifunza Leo somo la mwandiko?ni mwanzo hakuna alie perfect naeza jirekebisha mkuu.. Asanteh kwa kujari
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelekea vizuri sasaSamahan ndug na nimeshaelewa nini natakiwa kufanya, wakubwa wameshanikanya naelekea kufahamu ni jinsi gani natakiwa niwe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuw kwelInawezekana mpenzi wako hakuvutiwa na swaga zako. Utapata mwingine huyo achana nae
Mwanzo wa nini? Ina maana umeanza kujifunza Leo somo la mwandiko?