Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Women like bad boys. Usijifanye mlaini sana kwa kujitahidi kuwatimizia mahitaji yao, wanawake wengi hawapendi wanaume wa aina hiyo. Hauvutii,unaonekana mtoto wa mama. Men who have psychopathic tendencies usually get more dates than the average male
 
Tuachane na mambo ya mwandiko.
Tuongelee suala la picha.
Kwa hiyo huyo ndiyo wewe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ndani ya swaga[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Nachukia mwanaume anayevaa hizo surual jamani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]mnisamehe tuu. HUWA HAMPENDEZI
Hahahhaa nadhani hata tunaovaa kaptula hutaki kutuona kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah umesema kweli tupu

Back
Top Bottom