Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Kwa hiyo na wewe unadhani utachambana na wadada ushinde? Usipoteze muda wako ina maana kwenye huu Uzi wanaume wangapi wametamani kuongea wakakaa kimya?
Kimbelembele chako tuu basi tuchambane maana umechoka kukaa kimya
Kamchambe baba ako, mimi nakuadabisha ukae kama mtu anaejielewa sio kama liseng* fulani hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mtalajiwa mchungaji, sitakiwi kusema uwongo.
Wewe ni mnafki na ndumilakuwili.
Mpatanishaji siku zote hapaswi kuegemea upande wowote. Comment zako unadhani sizioni? Unamsupport huku unajidai kupatanisha Man up!!!
Na wewe chukua hiyo. Mchana mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la tutoto twa siku hizi, tunajiona tupo sahihi muda wote, hata kakikosea hakatak kuambiwa

Mwisho wa siku utakasikia..
"I believe in me."

Pumbavu, mtapata tabu sana, sumbua humu JF pekee kwenye fake ID, nje kanaufyata mdomo.
Na kanajiona kwenye mapenz hakana bahati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kimya kimya,

Waache tu, siku maji yakiwafika shingoni wataelimika tu, kama wasichana walio enda age sana humu JF ndio wanajielewa weng wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman msifike huko,,

Mimi niombe yaishe tu, kila mtu ana mapungufu yake.

Cha muhimu humu tupeane mitazamo chanya,
Unaweza kujielezea watu wajue la kweli ni lipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaa,

Kitabu cha Mungu kinasema, (Bible)
1 Wakorintho 11: 3
"....kichwa cha mwanamke ni mwanaume,...."

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako ni unafiki.
Ukiwa unataka kuwa mpatanishi hautakiwi kubase upande mmoja.
Unafiki umefika mbali hadi unaingiza Bible kwenye upuuzi.
 
Tuachane na mambo ya mwandiko.
Tuongelee suala la picha.
Kwa hiyo huyo ndiyo wewendani ya swaga.
Nachukia mwanaume anayevaa hizo surual jamanimnisamehe tuu. HUWA HAMPENDEZI
Na sijui wanazipendea nini? Mimi Mwanaume nikimuona na hizo akaanza kuniletea blah blah zake huwa hata simpi attention. Kuna hizo na zile zinawabana. Kuna huyo mmoja nilimuona kabanwa hadi katoa Wallet na simu kashika mkononi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe uliyepata malezi ya baba yamekusaidia nini zaidi ya mzee wako kukula tako anamla mama ako na bado anakula na wewe amekuachia laana unahangaika kudandia magari huku, ndiyo baba yako amekuharibu sana ndiyo maana you behave kiseng*

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapuyanga tu hakuna lolote linaloweza kunigusa apo matusi hayasidii hasa kwa mtu usomjua shots...bye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom