Ikiwa hivyo naona usmart ushatoka tayali ila ndo mitindo kwa baadhi ya vijana sasaMkuu mazingira niliyokulia huwenda hili jina lilikuwa halitumiki ila nimeziona sana, btw napenda mtu avae smart si kwamba napenda hizo suruale zinazoning'inia
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada mimi naacha.Mdogo wangu basiii, usipende kutukanana na watu usiowajua dunia duara hii eti
Sent using Jamii Forums mobile app
jitahd kujizuia kaka, sipendi kuona hii hali kiukweliHebu kwa utulivu wewe ulieleta hii mada rudi juu, anza kufuatilia tatizo lilianzia wapi utagundua kitu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahivi unasema kama matusi hayasaidi, sio wewe ulieanzisha upuzi huu, ulimwambia mwenzako alete tusi lingine lile halifai, ulidandia coment kwa manufaa gani kama sio kundu linakuwasha. Jiheshimu utaheshimika,Unapuyanga tu hakuna lolote linaloweza kunigusa apo matusi hayasidii hasa kwa mtu usomjua shots...bye
Ila inkera kufatilia story huku unahuzuni baadae ujue haikua kweli dah.
Daah mkuu unachamba lol.Kamchambe baba ako, mimi nakuadabisha ukae kama mtu anaejielewa sio kama liseng* fulani hivi
Sent using Jamii Forums mobile app





. Usinichambe zaidi nitakimbia jf. Siku njemaKwanza wewe ni limbukeni.Katikati ya mwaka jana nilibahatika kumpata binti mmoja kwa jina la Rachel, mwanzo wa kujuana nae ni pale alipokuwa akipita asubui na mapema akienda shule, alinifanya kila siku saa12 kuwa macho ili kumsubr nionane nae akipita, nlimweleza hisia zang na akanielew, bint huyu ni mcha mungu ktk iman yang hvo kwa 90% alinifanya nianze kuhudhuria ibada(kabla yake nlikuwa nishaanza kurud nyuma kiiman).
Kama ilivo kawaida kwa wadada kuomba mahitaji ya hapa na pale kwa wapenz wao nami piah nlianza kumhudumia kuanzai lotion, akiugua, na vi2 vingine kibao(hali ya kimaisha ya kwao yapo low) piah nilimuomba nmununulie cm ili npate kiurahc kutokana na mazngra anayoish, nkanunua cm, piah nakampatia line yang, nkamuunganishia cha msg, ktk cm hiyo nlimuomba iwe special kwa ajir yang me na yy2. na nkaji-save kwake 2be
Wanafunz wakafunga shul akadai ataenda likizo ushirombo hvo nkamuomba animegee kdogo 2nda lang, lkn akawa kazingua kwa kudai yupo dangerous day, nkaxema icwe kec, mara baada ya kutoka likizo kama wik2 baadae nkawa nmepanga nae promise ili nkapate kifuta jasho maana nlikuw nxhatoboka kama 50elf, akadai hamna shda, lkn mda 2liopanga kuw 2taonana nae ghafla akawa katoweka online, kufuatilia akawa kadai msg zimekata, akaja ghetto akaw kaniachia phone yake ili nmuungie msg kisha akaelekea kwao me akaniacha ghetto, xa hapo kimbembe ndipo klianza, nlikutana na no. za wanaume tena wale mangosha, kubwa zaid ile me kujisave 2be, akaiedit na kunisave jina lang la kawaida nkajarbu kupiga moja kati ya zle no. yaan ckuamin mackio yng lilikuw ni bonge la m'baba araf kisw halijui hata ha2kuelewana, kingne ni upand wa msg, asee ka2miwa mummy,honey,my kama zote hata nlipokuja kumuulza mlengwa kuhuxu hao wa2 bado alixema at hawajui, bac ckutaka shobo,mambo yalikuw kibao na kubwa zaid ni kuninyima para, had iv leo cpo nae kutokana na mambo ambayo aliendelea kunionyeshea, mwanzo me nkajua ni bint mweny ashima ambae ntapanga nae maisha ikiwemo kumuoa atakapo malza xhul lkn mambo yakawa tofaut, tena mbay zaid ni kuw wanaume wenzang tena wengne mafala wanakula bila mpangilio ila me nkimuomba anadai anaogopa mimba tena kwa vitisho vya hatari, sasa nachojiuliza ivi hawa wadada kwann ukiwapenda hawapendeki, piah kwann kama wameamua kuwa chama la wana kwann wengne 2nanyimwa, asee inauma saaana hasa kwa mtu nlimpenda.. View attachment 1000914
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kuelewa, wakati mwingine mtu anaweza kukuprovoke makusudi tu ili utapike apate sababu ya kukushusha. Tufanye umeteleza tu jifute vumbi endelea na safariDada mimi naacha.
Ila kama mtu nimecomment kitu hajapenda kusema natafuta attention za wanaume siyo vizuri.
Na wanaume wa huku ndivyo walivyo, ukipishana nao silaha yao ni single maza, unajiuza, unadanga, unatafuta bwana. Hizi tabia siyo nzuri.
Mimi Dada sijawahi kugombana na mtu humu na huyu ndiyo wa kwanza tangu nimejiunga jf.
Kwa heshima yako naishia hapa na kuondoka kabisa kwenye huu Uzi.
Inasaidia kutokausha maana watu hata kama tuna id fake inatakiwa tuheshimiane hawa i believe ni vibint vyangu halafu wanamatusi still wanategemea waanzishe ukae kimyaKausha hutapungua mahala mkuu
dogo humu sio facebook halafu kipindi fulani nilipokua mkoa mmoja nchini tanzania eneo moja hivi nikawa napiga story za vijiweni hapa na pale nikagusia kidogo story nilioisoma jamiiforum wadau wakacheka sana wakasemaa kumbe upo jamiiforum mtandao wa kutafuta wachumba kiukweli nilishangaa sana kumbe mtaani kuna watu wanajua jamiiforum ni mtandao wa kutafuta wachumba .. kwa style za aina hii dogo unabidi urudi facebook... sura yenyewe haina mvuto wowote unaiweka humu na hizo nguo za kishamba kishamba au kisa umepiga picha kwa canon😀😀



khaa eti mtandao wa kutafuta wachumbaNishaambiwa, na ninafanyia nmeshafanya mabadiliko..Ila mkuu inaonekana ulitaka kutuma facebook ila ukajisahau ikaja huku.Nakukumbusha kuwa hapa ni JF