Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Fala ni dogo mbona?? Nkuchagulia lingine la kumpa?
anaweza kufa maana "fala" tuu limemtetemesha hatari amepanick kama anazama baharini halafu hajui kuogelea.

Ila kweli anastahili kubwa zaidi ya hilo maana inaonekana anakuwa mwili tuu akili zimegoma.

Hivi mtu ukiwa na uelewa tofauti na yeye anakimbilia kusema eti tunatafuta bwana jf.
 
Una tabu wewe. Wanaume wakutafutwa jf wapi hao? Halafu ngoja nikwambie kitu siyo kila mtu yupo jf kutafuta bwana. Wanaume wenyewe ndiyo kama wewe??bora nife.
Sasa kama akili zako zinakuambia kila anayecomment jf anatafuta bwana unataka nijutie kukuita fala? Trust me unastahili hilo jina.
Kumbe na wewe una kiherehere kama kile cha asubuhi, unaweza muita huyo ms*ng* mwenzako mkaambulia za uso bitch

Sent using Jamii Forums mobile app
Was*en*g*e mara nyingi ni watu km wewe mbona
Jaman msifike huko,,

Mimi niombe yaishe tu, kila mtu ana mapungufu yake.

Cha muhimu humu tupeane mitazamo chanya,
Unaweza kujielezea watu wajue la kweli ni lipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe na wewe una kiherehere kama kile cha asubuhi, unaweza muita huyo ms*ng* mwenzako mkaambulia za uso bitch

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo umepanick hivi.
Kazi ipo. Sasa wewe kinachokutoa upepo ni nini?.
Mwanaume kama binti. Unatuonea wivu njoo tushirikiane kutafuta mabwana basi.

Uvae hivyo
tapatalk_1547916484274.jpeg
 
Jaman msifike huko,,

Mimi niombe yaishe tu, kila mtu ana mapungufu yake.

Cha muhimu humu tupeane mitazamo chanya,
Unaweza kujielezea watu wajue la kweli ni lipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mnafki na ndumilakuwili.
Mpatanishaji siku zote hapaswi kuegemea upande wowote. Comment zako unadhani sizioni? Unamsupport huku unajidai kupatanisha Man up!!!
Na wewe chukua hiyo. Mchana mwema.
 
Ndiyo umepanick hivi.
Kazi ipo. Sasa wewe kinachokutoa upepo ni nini?.
Mwanaume kama binti. Unatuonea wivu njoo tushirikiane kutafuta mabwana basi.

Uvae hivyo
View attachment 1001036
Nipaniki kwa lipi haswa kwa kuona ujinga nikae kimya.. Yani nyie muanzishe matusi niwaangalie mbwa kweli wewe, nahisi ni malezi mliyoyapata kutoka kwa mama zenu wanaowafundisha kudanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom