buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 2,371
- 7,899
Dada yangu pole Sana believe me or not
Mkaka wa hvo huwezi kumpata ww hao waachie akina Beyonce...we komaa na sisi wavaa makaptura na mabwanga tu
Dada yangu pole Sana believe me or not
Tuma za waswahili wenzako
Asipokuelewa hapa..akacheze mdako na dada zakeaisee bob bado una mambo za kishamba na utoto (sorry kama si neno zuri kwako).
1. Mapicha picha hayo ni tabia wa kingosha tena wale wasiojua hata kiswahili. Ni utoto na ushamba.
2. Kuji'save 2be, ni kujipendekeza na shobo zahali ya juu. Kwa nini uteseke!! Ishi kiume uone kama hawajaku'save wenyewe majina mazuri mazuri.
3. Ku'consider hela tena kwa mwanafunzi ni umaskini wa akili. Hela yenyewe 50 ndio unaongea mbele ya wanaume wenzako wanaotoa laki 2 kila mwezi kwa ajili ya wapenzi wao. Acha hulka za kuhonga. Ikitoa hela toa kama msaada wala usitake kufidia kwa jambo jingine.
NB: tafuta pesa sio mademu, hao siku hizi sio wa kuhangaikia hivyo, ni kugusa tu wanajaa wenyewe, ila tu kama utaishi kiume.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekupataHayo maandishi umefundishwa wapi? Yatumie ukiwa unachat na washkaji zako, epuka kutumia hayo maandishi kwenye mambo ya maana, watu hawatakuchukulia serious
mmmh, wabongo wazee wa kupunguza uhalixia..Simu ya sh. 15,000, pia lotion zipo mpaka za 500 shida iko wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]so Kwa povu hiloTuachane na mambo ya mwandiko.
Tuongelee suala la picha.
Kwa hiyo huyo ndiyo wewe[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]ndani ya swaga[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Nachukia mwanaume anayevaa hizo surual jamani[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]mnisamehe tuu. HUWA HAMPENDEZI
YaanVitu vyako ulidai? Hebu tuanzie hapa maana haiwezekani akunyime k na vitu vya 50k kapiga
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanapigwa 250 kausiku kamoja tu wanapiga kimya, ila siku akipatikana huyo utapata majibu ya maswali yote.Yaan