Mimi nampenda wewe je???

sijawahi kuona/kusikia mrembo mwenye matusi kama huyu duniani...
huyu alishiriki kuchonga kinyago.kamprni za MAGUFULI leo kageuka kuwa mwenye matusi? lol si ni huyu alitwambia fulani kajinyea nasi tukashangilia? leo kimezidi nn?
 
huyu alishiriki kuchonga kinyago.kamprni za MAGUFULI leo kageuka kuwa mwenye matusi? lol si ni huyu alitwambia fulani kajinyea nasi tukashangilia? leo kimezidi nn?
hayo umeleta wewe tu, anamatusi kwa nyakati zote mkuu.
upande wake wa ushabiki hauhalalishi tabia mbovu za matusi
 
hayo umeleta wewe tu, anamatusi kwa nyakati zote mkuu.
upande wake wa ushabiki hauhalalishi tabia mbovu za matusi
ref. msukuma, kibajaji na mkapa hawa unasemaje? hawana matusi " yule aliyewaita wananchi vinyago je lile sio tusi" ama kwakuwa alivaa skarf yenye rangi za bendera?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…