Mimi nampenda wewe je???

Tumefanyaje. Ukiwemo na wewe pia
Emotion tumeziweka mbele na zimezuia akili kufanya kazi.....
Haikuhitaji kuwa msomi wa kiwango kikubwa cha ufahamu hapa nchini ili uwe mwanasiasa bali ukijua tu kucheza na emotion za Watanzania na kusoma alama za nyakati
 
Mange anakipaji bwana.
Mbona wewe na usomi wako huo. Hatuoni la manana unalolifanya
 
Kweli wanawake wanaweza, midume hailali na wake zao ikatulia utafikiri kitanda kina kunguni.
 
Misimpendi, lakini anaifurahisha sana kwa jinsi anavyo ninyooshea yule baba...tehteehh
 
Huyo mwanamke Ana IQ kubwa sana
Angalia hata uandish wake hata akitukana anatukana kwa ueled hata km matus mchafu

Asubiri ngosha amalize muda wake arudi nchin atoe mchango wake
Hivi ueledi ni nini jamani tuanzie hapo kwanza...nimeshangaa kusikia anatukana kwa ueled
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…