Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,858
- 82,448
Mimi sijui bwana. Nampenda yeye kama yeye. Haya ya chama sijui nn siyajui,Hakuna mtu anaitwa Mange..hili ni kundi chonganishi tu kati ya wananchi na uongozi wa nchi,hata kama yupo huyu basi anatumika tu na si yeye.hili ni kundi lililoingia makubaliano na wazungu washenzi wale wasiyoitakia mema Africa na nchi yetu kwa ujumla
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
kutukana matusi ni matokeo ya low emotional IntelligenceUkimchokoza lakini
Watakao mpa. Nahisi watafungiwa milele. Ila wanajua mchango Wake, ila ndo hivyo. Woga tu.Nawaza Kama atapewa tuzo ya malkia wanguvu
Haikatai
mh! mgombea wetu ni EDO bwana!
Huyu atafaa kama nchi yetu itakuwa na sheria ya mgombea binafsi!Sasa tunamtaka huyu asofungamana na chama chochote. Tuone mapenzi ya watu yako wapi.
Atakuja
Huyu atafaa kama nchi yetu itakuwa na sheria ya mgombea binafsi!
Atajua mwenyewekutukana matusi ni matokeo ya low emotional Intelligence
Hayo ni Tz pekeeWatakao mpa. Nahisi watafungiwa milele. Ila wanajua mchango Wake, ila ndo hivyo. Woga tu.
Hide my ID .[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkorogo unatoka kwenye akili mbovu ya huyo dada.Kwani mkorogo unaathiri vipi akili alizonazo.
Kumbe wanawake wa Tanzania wazuri sio mchezo....,kila anavyovaa yuko vivuri...Huyo MK wako kazidisha mkorogo! Mshauri apunguze au anajiandaa kwa 26/4?
Kweli kabisaHuyo mwanamke Ana IQ kubwa sana
Angalia hata uandish wake hata akitukana anatukana kwa ueled hata km matus mchafu
Asubiri ngosha amalize muda wake arudi nchin atoe mchango wake