Mimi na upweke, upweke na mimi

Goodvibestz

Member
Dec 9, 2021
15
26
Habari wana JF,

poleni na janga la umeme.

Niende direct kwenye maada.
Tayari Nimeishi miaka 25 hapa duniani lakini tangu umri wa kujitambua wa miaka 10 na kuendelea maisha yangu yote yametawaliwa na upweke ulio kithiri, loneliness imenifwata maisha yangu yote kila sehemu shuleni, kanisani, michezoni, home, n.k hata nikijaribu kuchangamka niwe kicheche mcheshi lakini juhudi zinafika kikoko najikuta ni mtu nae penda kujitenga na jamii ya watu, sipendi kuchangamana hata kidogo.

Tangu shule ya msingi mpaka nahitimu masomo yangu ya chuo, nimekua ni mtu wa kukaa peke yangu peke yangu,nilikua nikitoka class siongei na mtu napitiliza kulala au kula after that tukutane tomorrow hadi muhula unaisha nilikua ni wa ivyo tuu,Mara kadhaa nilihisiwa kuwa ni mchawi na jini nilipo kua shule ya sekondari ya kidini jina " x" ,kwani maisha yangu yalikua ni tofauti kabisa sikupenda kujumuika na wenzangu katika kila shughuli, mfano kwenye mechi za shule wanfunzi wote wanaweza kwenda shangilia mpila lakini nabaki hostel alone na I was feeling comfortable, hakika wenzangu waliniogopa sana hata vitu vyangu walikua hawagusi

Hivyo hivyo mpaka chuo, niliishi maisha ya kipweke kupita maelezo,
kila sehemu I was alone,
Mtaani ndo upweke upo na Mimi ,na Mimi nipo na upweke,sipendi kushika hata simu niwasiliane naweza niweke flight mode siku nzima just ndo nilivyo, sijapata ajira bado lakini Nina vitega uchumi kadhaa. Hivyo naweza nikae Siku nzima hadi inayo fuata ndani nikicheki movie na games, yani kiufupi hata nifanyeje upweke upo nami, najitahidi kutumia hata gambe lakini wapiii nikilewa narudi kulala ,upweke unatesa jmn.

Why upweke na Mimi? Why upweke unanifata kila sehemu?

Sio majivuno au kujisikia lakini ni hali ya maisha yangu. Nime share na wana JF hali ya maisha yangu ili nijue kua ni tatizo au ni hali ya kawaida na naweza pata wenzangu walio katika hali hii.

Licha ya hili tatizo langu Nina kipaji kikubwa cha kuimba , je nitaweza kweli kuendana na uhalisia wa muziki unavyo taka?

Naomba kuwasilisha.
 
Mimi mwenyewe napitia hali kama hiyo, hiyo label ya 'introvert' sikubaliani nayo kwasababu introverts wanaridhika na hiyo hali, hawahisi 'upweke' ndo asili yao....

Hapo unatakiwa utafute msaada wa kitaalam, upweke ni dalili ya matatizo mengi mzee; avoidant personality disorder, covert narcissistic personality disorder, social anxiety disorder, autism spectrum disorder nk.....

Nimeambiwa tz wataalam wa hayo mambo wapo kwahiyo ni wewe tu,

Nimeandika sana aisee....
 
Mkuu me nahic izi mamb zinachangiwa pia na ugumu wa maisha.
 
Habari wana JF,

poleni na janga la umeme.

Niende direct kwenye maada.
Tayari Nimeishi miaka 25 hapa duniani lakini tangu umri wa kujitambua wa miaka 10 na kuendelea maisha yangu yote yametawaliwa na upweke ulio kithiri, loneliness imenifwata maisha yangu yote kila sehemu shuleni, kanisani, michezoni, home, n.k hata nikijaribu kuchangamka niwe kicheche mcheshi lakini juhudi zinafika kikoko najikuta ni mtu nae penda kujitenga na jamii ya watu, sipendi kuchangamana hata kidogo.

Tangu shule ya msingi mpaka nahitimu masomo yangu ya chuo, nimekua ni mtu wa kukaa peke yangu peke yangu,nilikua nikitoka class siongei na mtu napitiliza kulala au kula after that tukutane tomorrow hadi muhula unaisha nilikua ni wa ivyo tuu,Mara kadhaa nilihisiwa kuwa ni mchawi na jini nilipo kua shule ya sekondari ya kidini jina " x" ,kwani maisha yangu yalikua ni tofauti kabisa sikupenda kujumuika na wenzangu katika kila shughuli, mfano kwenye mechi za shule wanfunzi wote wanaweza kwenda shangilia mpila lakini nabaki hostel alone na I was feeling comfortable, hakika wenzangu waliniogopa sana hata vitu vyangu walikua hawagusi

Hivyo hivyo mpaka chuo, niliishi maisha ya kipweke kupita maelezo,
kila sehemu I was alone,
Mtaani ndo upweke upo na Mimi ,na Mimi nipo na upweke,sipendi kushika hata simu niwasiliane naweza niweke flight mode siku nzima just ndo nilivyo, sijapata ajira bado lakini Nina vitega uchumi kadhaa. Hivyo naweza nikae Siku nzima hadi inayo fuata ndani nikicheki movie na games, yani kiufupi hata nifanyeje upweke upo nami, najitahidi kutumia hata gambe lakini wapiii nikilewa narudi kulala ,upweke unatesa jmn.

Why upweke na Mimi? Why upweke unanifata kila sehemu?

Sio majivuno au kujisikia lakini ni hali ya maisha yangu. Nime share na wana JF hali ya maisha yangu ili nijue kua ni tatizo au ni hali ya kawaida na naweza pata wenzangu walio katika hali hii.

Licha ya hili tatizo langu Nina kipaji kikubwa cha kuimba , je nitaweza kweli kuendana na uhalisia wa muziki unavyo taka?

Naomba kuwasilisha.
Unaweza kujichanganya na watu ili kuondoa upweke na Bado ukawa mpweke! Badili mtazamo wako juu ya watu, nadharia na vitu...Nina hakika kama Hali hiyo ya upweke hauitaki basi huo ni ugonjwa na utapata msaada hapa na mshukuru Mungu Kwa kujitambua, kutambua kama una tatizo ni nusu ya kulitatua tatizo husika...
 
Iyo hali mm ninayoo tena zaid yako nipo mpweke sana nimejaribu kukaa na watu kuforce story lakin wapi.........

Solution yangu..
1..niliamuaa kuvuta sigara kama sehemu ya maisha yangu.....
2...nabadilisha rafiki kila baada ya mwezi cos hua nikakaa na rafiki wa muda mrefuu namchoka sijui kwa nn
3...natumia sana pombe kama mshikaji wangu wa kunipa idea's ..
4...napenda sana marafik wa bar cos najua urafiki wa bar haudumu ni muda....au masaaa
5...napenda sana music has kuimba ila sio kuwaimbia watu...
6..ilaa soon ntajinyonga cos sometime naona kama maiti au wafu wapo safe zaidi na wanafaidi hii kitu inaitwa loneness............
7...nikiwa cool zaid naenda kwa mwanangu kimara kula msubaaaaa
 
Back
Top Bottom