๐คฃ Trust me
Hufananii kabisa, Mimi nakuangaliaga halafu nakuja kusoma maandishi yako huku nasema ndio yeye huyu khee๐คฃ๐คฃ๐คฃ.
jamani nyieeee ๐๐๐๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐๐๐๐
Ahsante Ms eyes upo sahihi..!!
Kana sura ya upole ila maandishi yamechangamka, ๐
Ahsante..!!
[emoji114][emoji114]hii hatari mkuuIyo hali mm ninayoo tena zaid yako nipo mpweke sana nimejaribu kukaa na watu kuforce story lakin wapi.........
Solution yangu..
1..niliamuaa kuvuta sigara kama sehemu ya maisha yangu.....
2...nabadilisha rafiki kila baada ya mwezi cos hua nikakaa na rafiki wa muda mrefuu namchoka sijui kwa nn
3...natumia sana pombe kama mshikaji wangu wa kunipa idea's ..
4...napenda sana marafik wa bar cos najua urafiki wa bar haudumu ni muda....au masaaa
5...napenda sana music has kuimba ila sio kuwaimbia watu...
6..ilaa soon ntajinyonga cos sometime naona kama maiti au wafu wapo safe zaidi na wanafaidi hii kitu inaitwa loneness............
7...nikiwa cool zaid naenda kwa mwanangu kimara kula msubaaaaa
[emoji122][emoji122]Unaweza kujichanganya na watu ili kuondoa upweke na Bado ukawa mpweke! Badili mtazamo wako juu ya watu, nadharia na vitu...Nina hakika kama Hali hiyo ya upweke hauitaki basi huo ni ugonjwa na utapata msaada hapa na mshukuru Mungu Kwa kujitambua, kutambua kama una tatizo ni nusu ya kulitatua tatizo husika...
Uache u keyboard warrior๐คฃjamani nyieeee ๐๐๐๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Nyeto FC.Huna hata girlfriend?
๐๐๐Huna hata girlfriend?
Kuna ka ukweli hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu tafuta pesa ,ukiwa na pesa simu zitaaita Sana ,marafiki watakuwa wengi ,...
Upweke Mara nyingi unasababishwa na ukosefu WA pesa na kuwa na matatizo mengi kukuzidii...
[emoji29][emoji29]mim nisha tengwa na ndugu kabisaWengin sisi kweny kuwapigia watu simu aisee hii imenishinda kwakwel. Jamaa zangu na ndg wananirekebish San kuhusian na hili Swala lakn ndio nimeshindwa kabisa.. cjuh kwann. Ila upweke niliacha baada ya kumaliz form 4. Aisee nilichange mpak watu wakawa Wana Shangaa kama naongeaga. Ko n swal lbda la mda tu