CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mi kokote tena ninachotaka ni raha tu si kingine....maisha ndo hayahaya unataka nini kingine?
mdogo wangu naona umeingia kwenye mtego wa Erickb52? ukumbuke fupa lililomshinda fisi.........Dada kwa huyu kijana mtahubiri saaana!
Ngoja tuone . . .
Chini sio mshirika hata kidogo Kipipi labda nikianza ndo ntajua ila kwa sasa ni ndofu ndo zinanitesa tu
Havihusiani hata kidogo kwanza mi nikionja moja tu naanza kusinzia hata hamu ya hiyo kitu haiji kabisa so inasaidia sana kuepusha pepo huyo ila wengine inahamiaga chini ila si kwa b52Ndofu na chini vinashabihiana!
So ukianza na ndofu lazima umalize na chini . . . . . and vice versa!
Najua kwa hapo nilipobold ntasaidiwa na Blaki Womani na Preta kuthibitisha kuwa umedanganya jamii hata Mzee wa Rula anajua kinywaji chako so nakanusha na watakuja kukanusha kuwa kauli yako si kweli
Heheheheee Mute nimesema ikifika saa kumi na mbili jioni nakuwa zangu home nakula fanta na Kipipi wangu
Mh kweli jamii imenitenga aisee yan hata wewe Blaki Womani unamuunga mkono PakaJimmy na Mr Rocky ?umerewa hadi picha huoni kauli yake ni sahihi
Hahahaaaa FP unaua aisee huna hata huruma nimerudi kundini bado unaniletea fitina?
Ni wivu au nini?
mdogo wangu naona umeingia kwenye mtego wa Erickb52? ukumbuke fupa lililomshinda fisi.........
Heheheheee Mute nimesema ikifika saa kumi na mbili jioni nakuwa zangu home nakula fanta na Kipipi wangu
Hebu hakikisha
View attachment 70315
Hehehee Blaki Womani nimerudi kwenye kundi la wateule tena wateule wenye upako....karibuni na nyinyi muone maisha katika rangi ya orangeumerudi kwenye kundi la mbuzi badala ya kondoo
nilidhani hukulijua hili mdogo wanguAkhuuuu!!
Nani anataka kuzikwa mzima mzima?