born to win
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 561
- 168
CHIEF JJ
Wanaume weng hawajui siri hii kwann usijishushe pale unapoona yeye amepanda juu ili kuepusha shar na je mnagombana katika tarehe zipi maana wanawake kawaida kuna tarehe ambazo huwa wana asira sana before hedh kias kwamba kitu kidogo yeye anachukia mno na baada ya hapo anakuwa kawaida jaribu kubembeleza mwanaume tumia akil kuepuka kupigana kumepitwa na wakat

Last edited by a moderator: