ndakushima
JF-Expert Member
- Jul 27, 2015
- 220
- 125
Hahahahah nmejikuta nacheka kama mazuriMh! Sasa mkuu kwa hali hii unahisi hapo kwako ni mahali sahihi kwa huyo mkeo kuishi? mpeleke mirembe akapate tiba kwanza otherwise ipo siku atakutia roba hadi "kitu cha ngama" kitokelezee!