Mimi na mpenzi wangu ni mabondia wa mapenzi

Mimi na mpenzi wangu ni mabondia wa mapenzi

inabidi mutafute beki 3 anayefahamu vizuri sheria na kanuni za boxing ilimsichezeane madhambi kunako mpambano
 
Wewe endelea tu kuwa nae, mdundane were mpaka umuue ndio muachane kwa sababu mnapendana sana.
 
Samahani labda sijaelewa. Mnapigana au unampiga?. Kama mnapigana zipo siku ambazo na wewe huwa unapigwa?
 
Nyie ni wakurya?hayo ndo mapenzi kunoga sasa...
nmecheka lol eti umechoka kupigana
 
Unampenda?
Utamuoa au upo kwenye.mafunzo ya mangumi piga chini tafta mwingine umri wenyewe 27 akutoe ngeu akuuu
Mapenzi yanafani nyingi wapo ambao raha yao ni kupigana kisha wanapongezana kwa unyumba mimi sioni tatizo mtandike kisawasawa utaona utamu wa mapenzi ya aina hiyo.
 
Mmmh huyo mwanamke hakuheshimu.Mwanamke hapaswi hata kukuongelea kwa sauti ya juu na kukibizana nawewe kama mdogo wake.Kwetu tumefundishwa ukipishana na mwanaume mwache hasira zitulie ndo mtatue jambo.
Ila pia kwa upande wako kaka; kama mwanaume huna busara hata kidogo.Mwanamke hapigwi!! Mwanaume anaepiga mwanamke ni dalili ya udhaifu.Mwanamke akikuudhi jaribu kutoka nje upate upepo hasira ziishe kisha ongea nae kwa upole na upendo kabisa.Ataona aibu nafsi itamsuta na atajirudi.Kama una Biblia soma Mithali 15:1 "Jawabu la upole hugeuza hasira;Bali memo liumizalo huchochea ghadhabu.Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa mazuri bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu"
Kama mnapendana na hili swala linakuumiza.Tafuta siku mkiwa mna amani,mtoke out eat,drink have fun...kisha ongea nae juu ya ugomvi wenu na unavyo athiri uhusiano wenu.Nina imani mtaelewana.
All the best.
 
Unapigana na mwanamke halafu unajitangaza huku! Nina wasiwasi na jinsia yako
 
Kaa nae uje umpige afe, utapelekwa segerea kule kuna wababe wa kupiga. umemshindwa mke wako utawaweza wajelajela??
 
mwanamke anapigwa na gegedeo sio ngumi, halafu unakuja kutangaza eti mnapigana hiyo ni aibu mkuu, wanaume wa mbegu tunazidi kupungua.
 
hahahaa CHIEF JJ mle tigo huyo mkeo, hlf ataacha kukudunda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom