Mimi na MB ndo basi tena, nimepata mkombozi

Mimi na MB ndo basi tena, nimepata mkombozi

Daaah
Leo nmesajili line ya vodacom ya kawaida kwa shilingi 1000 tuu
Nikabonyeza *149*03#
Daaah nilichokikuta sijaamini

500 -Mb 300 kwa week
2000-GB 5 kwa week
5000-GB 10 kwa week

Daaah kiukweli mungu hamtumpi mja wakee
yaani hapa ni kushusha series na movie na software tuu

Jaribu bahati yako.
Mm napata GB 5 kwa 2,000 siku 30
 
TTCL nao washaanza kua Famba toka saa 12 jioni mpaka sasa line haipandishi mnara manina naenda tafuta line ya voda asee ni ufamba ulopitiliza huu jamaa washaanza ku fail sasa.
Unajua Hili Tatizo Halijaanza Jion Ni Tangu Juz Binafsi Nikawa Najua Ni Tatizo La Simu Yangu Kumbe Ni Note Duuuuhh

Mana Nikiweka Lain Nyingine Ipo Frsh Tuuu
 
Hyo n offer tu umepew bdae inaishaa sababu ndo kwnz umesajiliw na voda, mm mwenyew nilikuw napata dkk 150 kwa week kwa tsh 500 tu
 
Lain ya Voda ya kawaida nawezaje kupata dakika za mitandao yote na Mb za kutosha?? Kwa bei nafuuu?
 
Hivi huwa ni kizali tu au inakuaje mpaka hizi offer au kulingana na matumizi yako ya MB au vipi.
Hata sija fahamu tena mimi sikuwa naitumia hii line nilikuwa nawekea pesa tuu nilikuwa sijiu ungi kifurushi chochote!
 
Tigo na wenyewe waige basi..
Yani wamekuwa weziii khaa[emoji16] [emoji16]
 
Mimi mbona napata MB 500 kwa TZS 500 per week vodacom afu naona kawaida tu
 
Kuna watu ni wagumu kuelewa,hii ni offer iko kwa watumiaji wa voda,kila mtu anapewa ya kwake japo sijajua wanatumia vigezo gani,nashangaa mnamponda mwenye uzi kua anapiga promo.Mi karibu mwaka sasa napewa 2 GB dakika 100 voda-voda na 10 mitandao yote siku 3.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] niko kwenye promo pia.
 
Back
Top Bottom