Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Mbona?
Pole Kaba...ni lipi lilikusibu?
Jamani
Haya mapenzi haya!!!
kweli ni bora kuwa mwenyewe kuliko kuwa na wrong person,ni kumuomba tu mungu akupe mapenzi kwa right person.
Gudluck Kaba
pole sana tulia utajapata wako MUNGU aliyekuandalia
No wonder ukawa unaumwa kila namna ya ugonjwa, kumbe ni huyu mshindi wa moyo wako ndo alifanya uumwe kabanabana, ila ndo mapenzi inatakiwa uwe na moyo wa kuvumilia na kuachana na mahali ya kukuumiza
hahahaaa na hutopona mpaka utimize promise. waendeleaje kwanza?hehehe mpaka nikashindwa kutimiza promise
I'm glad to hear you are back on your feet.
All the best
OTIS
hahahaaa na hutopona mpaka utimize promise. waendeleaje kwanza?
Take heart dear one, God is there for you.