Mimi na Ka Passo hadi Kigali


Hongera sana kiongozi
Kiuchumi tunasema unakwenda vizuri...kwa wale wanaojua "Maslow law"
Ukianzia chini ni rahisi kwenda juu...ila ukisubiri ununue gari la matanuzi...ni ile unakuta mtu kanunua gari ila kapaki nyumbani anatembea kwa miguu kwa sababu ya ughali wa gharama za uendeshaji (ameruka stage)
Au mtu ana gari ukimuomba akupitishe umbali wa km 2 tu ana lalamika mafuta...huyo ameruka stage pia...
Songa mbele na ka Passo kako....

 
Mkuu maswali ya nini wakati sipo ktk interview? anyway ngoja nikusaidie kama hujui, kutoka Kahama hadi Kigali ni km 470,nami nilitumia masaa 8 maana sikuwa nakimbia sana kutokana na hali ya mvua kunyesha mara nyingi nikiwa safarini.

km 470? kutoka dar kwenda iringa (ni km 530) mbali kuliko kahama -kigali, kumbe kanastahili, mi nilijua ni zaid ya km 1000. kuna jamaa alinunua pikipiki aina ya sanlg, alitoka nayo toka dar mpaka mbeya ni zaidi ya km 800, alitoka dar saa kumi alfajiri, akafika mbeya saa 2 usiku. kati ya hiyo passo iliyotoka kahama -kigali km 470 na piki piki sanlg toka dar -mbeya km zaidi ya 800, nani zaidi? sijaona mantiki ya wewe kuanzisha thread humu, kuna vitz (IT) zinatoka dar kwenda congo, zambia kila siku..
 

Hongera bro pia shukrani kwa mungu kukufikisha salama. Ukirudi usisahau kuja na mdogo wa mke wako ila ikiwa ni mnywaranda tofauti na mnywaranda kausha. Niko Kahama Majengo.
 

Wana afadhari ipi wakati wamejazana kwenye kambi za wakimbizi ndani ya nchi yetu? Hivi uliwahi kusikia kuna raia wa Tanzania wanaoishi kwenye mahema ya UNHCR ndani ya nchi yoyote nje ya Tanzania?
 

Acha ujinga wewe! Kuendesha baby walk ni ujinga tu, kitu v6, v8,v12 ndio uanaume. Na nyie ndio mnakua hamna nidham na magari, tumia gari cc2500 au zaid uone kma hutaiheshimu, eti gari cc640 mfyuuuuu
 
Body ya passo ni kama foil ya kuchomea samaki kwenye oven acha ujinga wewe kujidai na baby walk car
 
Hey.. Tunajua uko Kigali baaaaaas!!! Peleka huko ki Passo chako!! Wakiitwa wenye magari na wewe utasimama? Yaani kwa mtu kama Ronaldo hicho ni kama toilet paper tu, unachambia maramoja unakiflash huko!!

Hio ni kweli kabisa mkuu na kwa Ronaldo wewe ni kama demu wake tu
 
Ninazo mbili moja yangu na nyingine ya mkewangu,sijutii kabisa na sasa tupo njombe kwaajili ya sikukuu tar mbili nageuza dms safi kabisa mafuta ziwazii kabisa full shangwe.
 
Acha ujinga wewe! Kuendesha baby walk ni ujinga tu, kitu v6, v8,v12 ndio uanaume. Na nyie ndio mnakua hamna nidham na magari, tumia gari cc2500 au zaid uone kma hutaiheshimu, eti gari cc640 mfyuuuuu

...teh teh teh...akili za kimaskini bhana!
 
Body ya passo ni kama foil ya kuchomea samaki kwenye oven acha ujinga wewe kujidai na baby walk car

Mama Mike unatafuta nini humu? ndo maana nilishindwa kukuoa hivi hivi Kwa tabia zako, mwanamke una mdomo hadi kwenye mitandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…