Mmh tupo wengi kumbe yaan acha tu wanaume ni pasua kichwa kwelimapenzi yana wenyewe jamani!!
mi nanawa mikono [emoji119]
tangu niyajue furaha ni 40% wenge na huzuni 60%
mda mwingine yananiharibia status yangu kwa watu wangu wa karibu...nakuwa na hasira.kila mtu namjibu kwa ukali.
chakula nakiona hakina ladha nkila nakuwa kama nataka kukitapika.usiku nashindwa lala vizuri.nakonda
sijui wenzangu mnahimili vipi?
niko very royal...one man chick...michepuko sijawahi but ananizingua
najitahidi kuwa mwema,kuspend quality time...hata kwa simu...
nilimkubalia ye msela tu ndo anaanza tuyajenge tufike mbali..kwa juhudi na mungu akijalia.nkawakatalia waliokwisha settle down na minoti yao sababu yako..
but we msela unazingua..unazingua vibaya mno
we unanitemea shit thn unanipotezea..mimi nakufariji kwa matatizo unayopitia unadai nakupigia kelele..
mi nkitembea mtaani tu muuza duka ananililia..muuza mkaa anachombeza.muuza bucha nae hayupo nyuma.
..muuza genge kila nkifika anakonyeza mfululizo...vibanda vya mpesa ndo wanachukua bila kujua namba na kusumbua....msugua kucha ananibembeleza niwe wake..eti tangu aanze hiyo kaz katengeneza kucha wadada kwa mamia ila mimi tu ndo kanipenda..nkipanda daladala makonda si tamdika si mnaz mmoja si tegeta wakinipa risiti wanajibanza wanaomba namba..kila mtaa ntaoingia mi nageukiwa..kila mgeni kijana ataekuja home ananitaka
we kwanini unaninyanyasa mwana wa mwenzio? kisa kukupenda?
wakaka mkipendwa pendekeni basi..au mnatakaje??
Dawa za usingizi unatumia ili iwejekumbe kuna wasichana yanawatesa nikajua ni mimi tu ndugu mimi nina wangu kesha nifanya nitumie dawa za usingizi najitahid nisichepuke ila yeye wala hawazi .....[emoji27][emoji27][emoji27] pole sana
[emoji23] [emoji23] hapo hujamuoa..Mimi mapenzi nimeyaweka pembeni kwanza,nyie wanawake mnapiga vizinga mpaka pesa ya dawa ya meno.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiPole sana, Njoo kwangu ntakupenda mpaka ardhi na mbingu zisifu na kuabudu.
ndo hivo mkuu..nifanyeje zaidiMwache aende
noted mkuu..Chukua likizo ya mahusiano. Pumzisha akili na mwili wako, Jijenge kuwa mtu sahihi [HASHTAG]#Kaambalinarelation[/HASHTAG]
asantePole mamii
kumbe nawe upo..Mmh tupo wengi kumbe yaan acha tu wanaume ni pasua kichwa kweli
kama uzi umekukera we pita kimya tu...Mshafanya Mitihani ya Form Two?
haya..karibu tenaStory yako nzuri tumeipenda kesho utunge nyingine sawa eee..!
Yaan hawa viumbe wanachosha Kwa kwelikumbe nawe upo..
pole mwenzangu.
[emoji134]
kweli mwenzangu sina cheti.."hayo mapenth bathi,
"umeyavulia shati, kupendwa ni ajira,
"Na wewe huna cheeti,
asante my carissaPole sana aggy