Mimi Mwenzenu mapenzi basi

Mimi Mwenzenu mapenzi basi

Status
Not open for further replies.
mapenzi yana wenyewe jamani!!
mi nanawa mikono
tangu niyajue furaha ni 40% wenge na huzuni 60%
mda mwingine yananiharibia status yangu kwa watu wangu wa karibu...nakuwa na hasira.kila mtu namjibu kwa ukali.
chakula nakiona hakina ladha nkila nakuwa kama nataka kukitapika.usiku nashindwa lala vizuri.nakonda
sijui wenzangu mnahimili vipi?
niko very royal...one man chick...michepuko sijawahi but ananizingua
najitahidi kuwa mwema,kuspend quality time...hata kwa simu...
nilimkubalia ye msela tu ndo anaanza tuyajenge tufike mbali..kwa juhudi na mungu akijalia.nkawakatalia waliokwisha settle down na minoti yao sababu yako..
but we msela unazingua..unazingua vibaya mno
we unanitemea shit thn unanipotezea..mimi nakufariji kwa matatizo unayopitia unadai nakupigia kelele..
mi nkitembea mtaani tu muuza duka ananililia..muuza mkaa anachombeza.muuza bucha nae hayupo nyuma.
..muuza genge kila nkifika anakonyeza mfululizo...vibanda vya mpesa ndo wanachukua bila kujua namba na kusumbua....msugua kucha ananibembeleza niwe wake..eti tangu aanze hiyo kaz katengeneza kucha wadada kwa mamia ila mimi tu ndo kanipenda..nkipanda daladala makonda si tamdika si mnaz mmoja si tegeta wakinipa risiti wanajibanza wanaomba namba..kila mtaa ntaoingia mi nageukiwa..kila mgeni kijana ataekuja home ananitaka

we kwanini unaninyanyasa mwana wa mwenzio? kisa kukupenda?

wakaka mkipendwa pendekeni basi..au mnatakaje??
 
Attachments

  • IMG_20170619_073048.jpg
    IMG_20170619_073048.jpg
    43.3 KB · Views: 55

Njoo kwangu kama anakusumbua
 
Hao nao wanakutamani kama alivyokutamani huyo.
Thamani yenu wanawake mkiwa hamjavuliwa nguo.
 
Chukua likizo ya mahusiano. Pumzisha akili na mwili wako, Jijenge kuwa mtu sahihi [HASHTAG]#Kaambalinarelation[/HASHTAG]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom