i will..but now napumzika kwanza!Mpe nafasi mtu anayethamini hisia zako.
pouwa mkuuSaka pesa wewe..mapenz waachie njiwa.
basi twendeBaba Jeska hana noumer...

Uandikaji huu, mbona kama naufananisha aisee.mapenzi yana wenyewe jamani!!
mi nanawa mikono
tangu niyajue furaha ni 40% wenge na huzuni 60%
mda mwingine yananiharibia status yangu kwa watu wangu wa karibu...nakuwa na hasira.kila mtu namjibu kwa ukali.
chakula nakiona hakina ladha nkila nakuwa kama nataka kukitapika.usiku nashindwa lala vizuri.nakonda
sijui wenzangu mnahimili vipi?
niko very royal...one man chick...michepuko sijawahi but ananizingua
najitahidi kuwa mwema,kuspend quality time...hata kwa simu...
nilimkubalia ye msela tu ndo anaanza tuyajenge tufike mbali..kwa juhudi na mungu akijalia.nkawakatalia waliokwisha settle down na minoti yao sababu yako..
but we msela unazingua..unazingua vibaya mno
we unanitemea shit thn unanipotezea..mimi nakufariji kwa matatizo unayopitia unadai nakupigia kelele..
mi nkitembea mtaani tu muuza duka ananililia..muuza mkaa anachombeza.muuza bucha nae hayupo nyuma.
..muuza genge kila nkifika anakonyeza mfululizo...vibanda vya mpesa ndo wanachukua bila kujua namba na kusumbua....msugua kucha ananibembeleza niwe wake..eti tangu aanze hiyo kaz katengeneza kucha wadada kwa mamia ila mimi tu ndo kanipenda..nkipanda daladala makonda si tamdika si mnaz mmoja si tegeta wakinipa risiti wanajibanza wanaomba namba..kila mtaa ntaoingia mi nageukiwa..kila mgeni kijana ataekuja home ananitaka
we kwanini unaninyanyasa mwana wa mwenzio? kisa kukupenda?
wakaka mkipendwa pendekeni basi..au mnatakaje??
asante..ndo nlichoamua sasaFocus na maisha yako wakati ukifika wa mungu utapata mtu sahihi na wala hatakusumbua
kama wa nani vileUandikaji huu, mbona kama naufananisha aisee.
Ni mtu wng wa karibu na sikuwahi kuwaza anaweza kuwa humu. Hii kopi ya uandishi nahisi kama yake vile..kama wa nani vile
mtajeNi mtu wng wa karibu na sikuwahi kuwaza anaweza kuwa humu. Hii kopi ya uandishi nahisi kama yake vile..
Inabd nicomfirm kwanza, maana version ya maneno kama hayo nmeambiwa majuzi tu, leo napoona hii post napata hisia nmepigwa chinimtaje
ntajaribu ila ngumu..akijishusha ntamfikiria but akiendelea kuwa proud mi basiachana nae
mapenzi hayalazimishwintajaribu ila ngumu..akijishusha ntamfikiria but akiendelea kuwa proud mi basi
mapenzi hayalazimishwi
kweliMkuu Mwifwa naona unajaribu kuchukua nafasi ya Joseveret yaani umeiga hadi mwandiko na unajaribu kutaka kuchukua ile nafasi yake ya first to reply. Je utaweza moto wake, usije pasuka msamba.Pole sana dada.
Mapenzi ndio yako hivyo huna budi kuvumilia
Mkuu najitahidi japo bado sijafanikiwa, ukitaka ufanikiwe hichi kitu ni lazima usiwe unasoma story nyingi ili kupisha notifications za mwanzo na kuisoma thread husika kabla nyingine haijaingia, ila thread zikiingia nyingi hutaweza kureply wa mwanzoMkuu Mwifwa naona unajaribu kuchukua nafasi ya Joseveret yaani umeiga hadi mwandiko na unajaribu kutaka kuchukua ile nafasi yake ya first to reply. Je utaweza moto wake, usije pasuka msamba.
Haaahaaa..kila la kheri MkuuMkuu najitahidi japo bado sijafanikiwa, ukitaka ufanikiwe hichi kitu ni lazima usiwe unasoma story nyingi ili kupisha notifications za mwanzo na kuisoma thread husika kabla nyingine haijaingia, ila thread zikiingia nyingi hutaweza kureply wa mwanzo