Mimi Mwenzenu mapenzi basi

Mimi Mwenzenu mapenzi basi

Status
Not open for further replies.
Dah kumbe mwanamke anapitia mikono ya wanaume wengi

blame no body
 
Pole sana,,,, ila kumbuka mapenzi ndio yana-run dunia.....fanya yako......mwanaume tuache na yetu...
 
i feel ur pain mpendwa.
penda unapopendwa achana na huyo asiejua thamani yako na usikate tamaa bado tupe wengine wenye kujua thamani ya wapenzi wetu
 
mapenzi yana wenyewe jamani!!
mi nanawa mikono
tangu niyajue furaha ni 40% wenge na huzuni 60%
mda mwingine yananiharibia status yangu kwa watu wangu wa karibu...nakuwa na hasira.kila mtu namjibu kwa ukali.
chakula nakiona hakina ladha nkila nakuwa kama nataka kukitapika.usiku nashindwa lala vizuri.nakonda
sijui wenzangu mnahimili vipi?
niko very royal...one man chick...michepuko sijawahi but ananizingua
najitahidi kuwa mwema,kuspend quality time...hata kwa simu...
nilimkubalia ye msela tu ndo anaanza tuyajenge tufike mbali..kwa juhudi na mungu akijalia.nkawakatalia waliokwisha settle down na minoti yao sababu yako..
but we msela unazingua..unazingua vibaya mno
we unanitemea shit thn unanipotezea..mimi nakufariji kwa matatizo unayopitia unadai nakupigia kelele..
mi nkitembea mtaani tu muuza duka ananililia..muuza mkaa anachombeza.muuza bucha nae hayupo nyuma.
..muuza genge kila nkifika anakonyeza mfululizo...vibanda vya mpesa ndo wanachukua bila kujua namba na kusumbua....msugua kucha ananibembeleza niwe wake..eti tangu aanze hiyo kaz katengeneza kucha wadada kwa mamia ila mimi tu ndo kanipenda..nkipanda daladala makonda si tamdika si mnaz mmoja si tegeta wakinipa risiti wanajibanza wanaomba namba..kila mtaa ntaoingia mi nageukiwa..kila mgeni kijana ataekuja home ananitaka

we kwanini unaninyanyasa mwana wa mwenzio? kisa kukupenda?

wakaka mkipendwa pendekeni basi..au mnatakaje??
Hapa ni mwendo wa kuvumilia tuu hakuna njia nyingine, uvumilivu ndio ngao kuu katika mahusiano hadi ndoa.
 
pole sana kuwa na subra!,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Yaani huko ndio kila siku napambana niwezekufika nawewe ndio unakukimbia..!!!

Ouky aisuluu

post using my macbook air using jamiiforums app
 
nkijitahid kuvumilia ndo nazid kujimaliza
Wanazuoni wanasemaga ENDS NEVER MEET emu jaribu kuwachana nayo after few days utanambia..... am sure u're life 'll never be the same again.

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Jamaa angejua unampenda ivi, ata asingekutendea ivo.. Ila pole
 
mapenzi yana wenyewe jamani!!
mi nanawa mikono
tangu niyajue furaha ni 40% wenge na huzuni 60%
mda mwingine yananiharibia status yangu kwa watu wangu wa karibu...nakuwa na hasira.kila mtu namjibu kwa ukali.
chakula nakiona hakina ladha nkila nakuwa kama nataka kukitapika.usiku nashindwa lala vizuri.nakonda
sijui wenzangu mnahimili vipi?
niko very royal...one man chick...michepuko sijawahi but ananizingua
najitahidi kuwa mwema,kuspend quality time...hata kwa simu...
nilimkubalia ye msela tu ndo anaanza tuyajenge tufike mbali..kwa juhudi na mungu akijalia.nkawakatalia waliokwisha settle down na minoti yao sababu yako..
but we msela unazingua..unazingua vibaya mno
we unanitemea shit thn unanipotezea..mimi nakufariji kwa matatizo unayopitia unadai nakupigia kelele..
mi nkitembea mtaani tu muuza duka ananililia..muuza mkaa anachombeza.muuza bucha nae hayupo nyuma.
..muuza genge kila nkifika anakonyeza mfululizo...vibanda vya mpesa ndo wanachukua bila kujua namba na kusumbua....msugua kucha ananibembeleza niwe wake..eti tangu aanze hiyo kaz katengeneza kucha wadada kwa mamia ila mimi tu ndo kanipenda..nkipanda daladala makonda si tamdika si mnaz mmoja si tegeta wakinipa risiti wanajibanza wanaomba namba..kila mtaa ntaoingia mi nageukiwa..kila mgeni kijana ataekuja home ananitaka

we kwanini unaninyanyasa mwana wa mwenzio? kisa kukupenda?

wakaka mkipendwa pendekeni basi..au mnatakaje??
Umestaafu?..pensheni yako umepata?

Sasa kosa la huyo ndo likufanye usamehe mapenzi?..achana nae mbona rijali wapo wengi..muhimu next uwe very careful kwenye kuchagua atakaekuwa life partner wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom