Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
- Thread starter
- #21
kumbe ndo inavokuwaga?mapenzi kizunguzungu
ukimpata mke katulia ujue mume kicheche
mume akitulia mke ni kicheche.
kumbe ndo inavokuwaga?mapenzi kizunguzungu
ukimpata mke katulia ujue mume kicheche
mume akitulia mke ni kicheche.
Alafu bibi........[emoji117] wewee.....Pole sana!
Yapotezee utaenjoy maisha
Basi achana nayo, usiumize moyo bure damu haitasukumwa kabisankijitahid kuvumilia ndo nazid kujimaliza
sawa..ntajitahidiUsipende Sana wewe Unampenda mtu kama umemzaa wewe ?
Ebu kuwa kama yeye huyo Ngosha Wako Sawa ?
poleeMaramia wew mm furaha ni 10% mizinga na stress plus kunyimwa papuchi =90%
poa mumy..ntaachana nayoPole sana aggy kuna maisha bada ya mapenzi ebu pumzika kwanza
sio huyu mkuuKuna ile nyuzi ya kunyimwavunyumba sio ya huyu jamaa kweli?.
asante.nawe utampataHizi bahati mbona sikutani nazo za wadada walio siriazi kama wewe? Anyway pole mrembo wa kwako yupo tu
ndo wanavofanyaga shangaz zako hivo?Dooooooh!
Kwan upo location?
Maana usije ukatutia huzun kumbe upo kibaruani
I wish ungekua weweasante.nawe utampata
Ila ebo njoo nikupe semina kidogo [emoji5] jinsi ya kujijenga ktk mahusiano kuna nguvu mbili hapo ktk nafsi yakosawa..ntajitahidi
ntaamuaBasi achana nayo, usiumize moyo bure damu haitasukumwa kabisa
pole pia aiseekumbe kuna wasichana yanawatesa nikajua ni mimi tu ndugu mimi nina wangu kesha nifanya nitumie dawa za usingizi najitahid nisichepuke ila yeye wala hawazi .....[emoji27][emoji27][emoji27] pole sana
[emoji4] [emoji4]n bado nitakunyanyasa sana kwa kujivunia kuwa wanipenda
akuu..naogopaI wish ungekua wewe