Kijana ushe2
Senior Member
- Apr 6, 2017
- 179
- 127
Napenda kukaribishwa kwa bashasha nyingi za hapa na pale.Mimi ni kijana kutoka katika mtaa maarufu kabisa hapa TANZANIA ambapo mke wa mtemi wa UNYANYEMBE alihongwa hela kwa ajili ya kutekeleza kile kilichokuwa kimedhamiriwa na Wazungu HONGWA KINAMAPULA nasema NAWAKARIBISHENI SANA KWETU KIJIJINI NA MUNGU AWABARIKI SANA