Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,328
- 115,336
Shem naona mjukuu wetu kajilipua.Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
Shem naona mjukuu wetu kajilipua.Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
π π πDuuh!! Sasa huko watzap watu wafuate nini na wewe?
Vijana bana. π€£π€£
Yaani. Vinafurahisha sana hivi vitu mdogo wangu.π π π
Nilikuwa na mood yangu iko mchanganyiko mpaka nimejikuta nimefurahi walaqhi'..!
Mwache ataliwa kimasihara soon.Duuh!! Sasa huko watzap watu wafuate nini na wewe?
Vijana bana. π€£π€£
π π π πYaani. Vinafurahisha sana hivi vitu mdogo wangu.
Kuna uzi mwingine nimeona nao kuna mwenzie naye kajitupia ila ndio ajaweka namba. π π
Nadhani kutokujua labda kwamba Jf ni forum ya wagumu. πVijana wa siku hizi mko na shida kubwa sana,,, unauza nini unapotuita whazapp? Ila unaonekana mlaini sana mkuu karibu hii ndo jf ya watu Wenye akili,,,, ushauri wangu bora uende fb au badoo nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo huyo Sadik. π€£π€£π€£π π π π
yule wa Kigoma?? Nimemuona C'ssy nikacheka kwa uchungu jamani.!
Hahahaaa. Ila ni Me huyo bana.
Bro! Vipi una tashwishwi na mgeni?Naomba Mungu awasaide sana watoto wangu aiseeee....
Nilikuwa na mood yangu iko mchanganyiko mpaka nimejikuta nimefurahi walaqhi'..!
Nimecheka kuna mmoja post no #6 anamwambia atume picha ya full hii haionekani vizuri. ππππ π π
Nilikuwa na mood yangu iko mchanganyiko mpaka nimejikuta nimefurahi walaqhi'..!
Kajilipua mazima.Shem naona mjukuu wetu kajilipua.
π π πHuyo huyo Sadik. π€£π€£π€£
Nadhani hawajausoma huu mtandao wakiwa guest wakajua mambo yanakwendaje humu.
Hahaaa..Nimecheka kuna mmoja post no #6 anamwambia atume ya full hii haionekani vizuri. πππ
How I mished you mdogo wangu mpole,
Hahahahaa! Itakuwa wanamchangamsha kidogo.Hahaaa..
Hivii watu wa humu wana nini lakini??
Hahahaa. Mdogo wangu umefanya nione aibu. Lolπ π π
Sitaki kuamini ushamfahamu mpaka jina,