Nishakuzoea.! πHaiwezekaniii daaaah
ππππππ
Kwamba ubishi ni kipaji ππππNishakuzoea.! π
Hivii unajua unavyonimwambafay hivii navimba kichwa??Umefanya nicheke kwa Sauti Mdogo wangu.Lol .
Atoke wapi eti? Hakuna. π¨π¨π¨π¨π¨
Si bora ubishi unavumilika??Kwamba ubishi ni kipaji ππππ
Si bora ubishi unavumilika??
yewoomi zile sound sasa.!
Tena alivyomtag lazima atachungulia mana huwa anatumia browser ka sisi.ππ
Mie nataka kuambiwa nimesomea ujinga.!
Yap vimba tu na ndio faida ya fake Id's yaani hata babu yako waeza muita mdogo wangu na akaitikia. πππHivii unajua unavyonimwambafay hivii navimba kichwa??
Mdogo wangu ushawahi kufa??
Tutakuja kuwaona wanetu siku moja huku Shem.Kajilipua mazima.
π€£π€£π€£π€£π€£ndio 2007 nilikufa mara mojaMdogo wangu ushawahi kufa??
Does it matter?
Hivii unaikumbuka ile betting??π€£π€£π€£π€£π€£ndio 2007 nilikufa mara moja
Hata (me) siku hizi wanaliwa kimasihara,,,,Hahahaaa. Ila ni Me huyo bana.
Duuh
Yani usiinikumbusheeHivii unaikumbuka ile betting??
Naona we ni mko ngweeNaomba Mungu awasaide sana watoto wangu aiseeee....
HiiiHuna picha ingine ukionekana full ?
Hiyo imeungua huonekani vizuri