alexjosephat
Member
- Feb 8, 2020
- 31
- 32
- Thread starter
- #81
Kampany yoyoteKijana unataka company ya aina gani ?
Jitambulishe vizuri sasa
Sio kuweka namba ya simu tu.
Unaishi wapi?
Unatoka mkoa gani?
Kiwango chako cha elimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba Mungu awasaide sana watoto wangu aiseeee....
Khaa sijakuelewa kakaMkuuz huo mchezo umeanza toka ukiwa mdogo au ugumu Wa maisha tuu ndo ukakufanya uingie kwenye hiyo biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna picha ingine ukionekana full ?
Hiyo imeungua huonekani vizuri
sawa mkubwa
Daaaahhhh...
Dogo unafeli ujue,ungeuliza kwanza kabla ya kujilipua hivyo.
Ila karibu jamvini na kama una picha unayoonekana mpaka miguu iweke pia ,nataka nione aina ya viatu unavyovaa!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana unataka company ya aina gani ?
Jitambulishe vizuri sasa
Sio kuweka namba ya simu tu.
Unaishi wapi?
Unatoka mkoa gani?
Kiwango chako cha elimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes utotoDuuh!! Sasa huko watzap watu wafuate nini na wewe?
Vijana bana.
Ahsante sana mh mjumbe, maana naona kijana kapitisha dekio hapo reception..teh
Anyway kama una picha ingine ukiwa umevaa moka tupia basi tukuone.
Amu mambo?
Umbile tu lakini injini ina cc ndogo sawa na ya bajaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah umeishusha hadhi sana suit yangu dadakeSalama kabisa kaka.
Muambie kama kuna picha ya suti kama yako atupie.
Sent using Jamii Forums mobile app