Mimi Laban og nipigwe ban Simba akishinda leo

Mimi Laban og nipigwe ban Simba akishinda leo

Japo nimechelewa ila naomba mods mkiona tu makolo wameshinda hata kama mlikua mmelala mkimbie haraka sana ofisini mnipige ban ndefu ya siku mbili consecutively

Kama hamtakuwa na bundle....nipigieni simu ntawatumia bundle

Haiwezekani timu mbovu kama Simba .....imtwange MUARABU [emoji14][emoji14]

Naomba kuwasilisha

NB kuamini Simba atashinda leo.....ni Moja ya dalili ya uwendawazimu[emoji14]View attachment 3297535

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hawa watu wa bun wakuje tu 😂
 
Tumia uchawi wako wa kukalia vibuyu kuiisaidia familia yako na ufukara uliokithiri na sio kuichawia Simba. Pole sana dogo.
 
Apigwe ban maana hakuna namna.
 
Daaaah,bloangu anateseka akiwa kifungoni.

Mods mrudisheni jamani,wakati anotoa hiyo kauli alikuwa amelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom