Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 15,774
- 24,209
habari Wana JF,
Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao utasomeka Al ahly 5- 0 Simba.
Kwa hasira na fedheha makolo wenzangu watakimbia uwanjani na watang'oa viti japo sijui itaisha vp
Ila Kwa hiki kikosi chetu naona tutapigwa kitu kizito
Kiapo changu
Mimi kama Labani og Laban of mchambuzi mahiri wa soka hapa JF. Naapa Kwamba Simba akishinda au kutoa droo nipigwe ban ya wiki on the spot kwanini nipigwe ban baadaya Simba kushinda... coz ntakua nmeshindwa kutumia profession yangu vizuri ya uchambuzi hivyo nipigwe ban as a way to take responsibility.