Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,920
- 82,239
Tulia kwanza 😃😀😀
Tulia kwanza 😃😀😀
Hawa watu wa bun wakuje tu 😂Japo nimechelewa ila naomba mods mkiona tu makolo wameshinda hata kama mlikua mmelala mkimbie haraka sana ofisini mnipige ban ndefu ya siku mbili consecutively
Kama hamtakuwa na bundle....nipigieni simu ntawatumia bundle
Haiwezekani timu mbovu kama Simba .....imtwange MUARABU [emoji14][emoji14]
Naomba kuwasilisha
NB kuamini Simba atashinda leo.....ni Moja ya dalili ya uwendawazimu[emoji14]View attachment 3297535
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwani Wewe Ulivyoahidi Kupigwa Ban Unapata Faida Gani Mkuu??Au Umeonewa,Na Tunaomba Useme Kama Kweli Umeonewa
Halafu kelele na mbwembwe zooote mwamba upo na TecnoNAPINGA KUPIGWA BAN
KWENU MODS[emoji23][emoji26][emoji32]
USHINDI WA MATUTA ....SIO USHINDI HALALI
Bani yeyote.....ntampigia kiduku
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
😁😁😁😁Daaaah,bloangu anateseka akiwa kifungoni.
Mods mrudisheni jamani,wakati anotoa hiyo kauli alikuwa amelewa
Kameshakula ban
Nilikuombea na maombi yangu yamesikika. Kula chuma hicho.
Ulimaliza ban?
Na anachat kama pisikaliKisa tu una ile I'd yako nyingine ya kike 😁