Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,726
Ukipigwa ban unafungua I'd mpya
Labda Mimi Laban simba ikifungwa muanze kuniita Mwasibu
Labda Mimi Laban simba ikifungwa muanze kuniita Mwasibu
Sasa cartoon ya chawa vs Profesa inawasilisha nini kwenye uzi wako huu wa michezo?Japo nimechelewa ila naomba mods mkiona tu makolo wameshinda hata kama mlikua mmelala mkimbie haraka sana ofisini mnipige ban ndefu ya siku mbili consecutively
Kama hamtakuwa na bundle....nipigieni simu ntawatumia bundle
Haiwezekani timu mbovu kama Simba .....imtwange MUARABU [emoji14][emoji14]
Naomba kuwasilisha
NB kuamini Simba atashinda leo.....ni Moja ya dalili ya uwendawazimu[emoji14]View attachment 3297535
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
mbona kama anaku quote vibaya? Siku mbili yeye ana edit miaka miwili, masaa 48 anaedit miezi 48 dah!Kama Hana bundle...leta contact zake ni msponsor
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Muda huo Simba akiwa anakandwa leo mashabiki wa Simba wameninunia sasa mimi kosa langu lipo wapi kufungwa mfungwe nyie kununa mninunie mimi nyie vipi?Hapa jamiiforum...
Kama sikosei, ana kama nne hivi!Kisa tu una ile I'd yako nyingine ya kike [emoji16]
Exactly....Bora lawama ....kuliko fedhehaMimi sina timu... Ila ninachokiona mbele ya simba bora wakifika getini watafute sababu yoyote wakimbie
Kilo kabsa0711 297 086 muekee humo 50,000 cash
Yajayo yanatisha [emoji3]Ila macho anakaa za moyoni kafungua
Ipi hyo mkuuWeka ahadi uliyotaka kusema msijifiche fungukeni
Mwasibu feki[emoji23]Ukipigwa ban unafungua I'd mpya
Labda Mimi Laban simba ikifungwa muanze kuniita Mwasibu
Najua ntashindwa [emoji23]Sasa cartoon ya chawa vs Profesa inawasilisha nini kwenye uzi wako huu wa michezo?
Kama wewe ni mkweli, ikishinda na mod wasikubanike, waweza kujibanika mwenyewe kwa kulog off muda wa hizo siku2 kuitendea haki nadhiri yako tuone kama una udole huo.
Kolo huyo kapagawambona kama anaku quote vibaya? Siku mbili yeye ana edit miaka miwili, masaa 48 anaedit miezi 48 dah!
Kwamba makolo watashinda[emoji32][emoji3][emoji3]ban inakuhusu, Kaa kwa kutulia
Weka pesa kama hiviJapo nimechelewa ila naomba mods mkiona tu makolo wameshinda hata kama mlikua mmelala mkimbie haraka sana ofisini mnipige ban ndefu ya siku mbili consecutively