Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,011
- 32,907
Japo nimechelewa ila naomba mods mkiona tu makolo wameshinda hata kama mlikua mmelala mkimbie haraka sana ofisini mnipige ban ndefu ya siku mbili consecutively
Kama hamtakuwa na bundle....nipigieni simu ntawatumia bundle
Haiwezekani timu mbovu kama Simba .....imtwange MUARABU [emoji14][emoji14]
Naomba kuwasilisha
NB kuamini Simba atashinda leo.....ni Moja ya dalili ya uwendawazimu[emoji14]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app