B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,414
Sawa sawa ila ni tecno tu yaani
Sawa sawa ila ni tecno tu yaani
Ikiwa ya hata laki 5 nakunya pale magufuli stand. Kasimu ka dollar 60 - 90
Yaaah ila bei yake .... Inaweza finance ukoo wako mzimaSawa sawa ila ni tecno tu yaani
Au nitume receipt yake?Ikiwa ya hata laki 5 nakunya pale magufuli stand. Kasimu ka dollar 60 - 90
Muda babo mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].RIP laban
Mpira umeshaisha apewe kile alichoombaJapo nimechelewa ila naomba mods mkiona tu makolo wameshinda hata kama mlikua mmelala mkimbie haraka sana ofisini mnipige ban ndefu ya siku mbili consecutively
Kama hamtakuwa na bundle....nipigieni simu ntawatumia bundle
Haiwezekani timu mbovu kama Simba .....imtwange MUARABU [emoji14][emoji14]
Naomba kuwasilisha
NB kuamini Simba atashinda leo.....ni Moja ya dalili ya uwendawazimu[emoji14]View attachment 3297535
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tecno 😆😆😆
Ban ban ban this trashJapo nimechelewa ila naomba mods mkiona tu makolo wameshinda hata kama mlikua mmelala mkimbie haraka sana ofisini mnipige ban ndefu ya siku mbili consecutively
Kama hamtakuwa na bundle....nipigieni simu ntawatumia bundle
Haiwezekani timu mbovu kama Simba .....imtwange MUARABU [emoji14][emoji14]
Naomba kuwasilisha
NB kuamini Simba atashinda leo.....ni Moja ya dalili ya uwendawazimu[emoji14]View attachment 3297535
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ban ban banNAPINGA KUPIGWA BAN
KWENU MODS[emoji23][emoji26][emoji32]
USHINDI WA MATUTA ....SIO USHINDI HALALI
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app