Kitalolo-mae
Member
- Jul 23, 2011
- 12
- 0
Nimefurahi kujiunga na jamii forum kwani nilikua naisikia redioni tu.
heheheeeee. mkuu nimelipenda jina lako, yaani umeamua kujiita jina la chakula cha kichaga.. Duh! Mimi ninakipenda chakula hicho. Ok ndugu.. Karibu sana JF.Nimefurahi kujiunga na jamii forum kwani nilikua naisikia redioni tu.
Ndio chakula gani hicho?heheheeeee. <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" /> mkuu nimelipenda jina lako, yaani umeamua kujiita jina la chakula cha kichaga.. Duh! Mimi ninakipenda chakula hicho. Ok ndugu.. Karibu sana JF.
<br />Nimefurahi kujiunga na jamii forum kwani nilikua naisikia redioni tu.