Mimi kitalolo

Nimefurahi kujiunga na jamii forum kwani nilikua naisikia redioni tu.
heheheeeee. :) mkuu nimelipenda jina lako, yaani umeamua kujiita jina la chakula cha kichaga.. Duh! Mimi ninakipenda chakula hicho. Ok ndugu.. Karibu sana JF.
 
heheheeeee. <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" /> mkuu nimelipenda jina lako, yaani umeamua kujiita jina la chakula cha kichaga.. Duh! Mimi ninakipenda chakula hicho. Ok ndugu.. Karibu sana JF.
Ndio chakula gani hicho?
 
Nimefurahi kujiunga na jamii forum kwani nilikua naisikia redioni tu.
<br />
<br />
Majina mengine humu ni haramu kwa wa2 wengine ktjk matamshi "KITALOLO" kikwe2 kama wanaume waliopitia jando hakika hatupiti hata street yenye tetesi ya kwmb leo amepika KITALOLO!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom