Hello members wa JamiiForums

Hello members wa JamiiForums

Unawezaje kuwa mwandishi wakati hauwezi kuzingatia alama za uandishi?

Uandishi unaouongelea ni sawa lakini inamaana gani kama mtu anazingatia alama zote na ujumbe haileti maana? Tuko hapa wote kujifunza na kuongeza maarifa mapya sio kukagua kazi za uandishi. Samahani kama nimetumia lugha Tata 🙏
 
Back
Top Bottom