Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Chukua picha kisha chukua glass mpya iliyojazwa maji pamoja na kisahani kipya ,baada ya hapo chukua picha ifunike juu chini kwenye glass ya maji

Chukua mshumaa mwekundu kisha uwashe alafu chukua karatasi andika jina la mwenzi wako mara tisa chini ya karatasi alafu juu andika majina yako mara tisa na utachoma mshumaa huo mara tatu kwa siku,utachoma saa 12 asubuhi ,saa sita mchana na saa 12 jioni

Weka karatasi hiyo chini ya sahani nyeupe ambapo juu ya sahani kuna glass ya maji
1755970848226.jpg
 
Ukiwa na huu mmea huo kwenye picha ujue una dawa ya kikohozi na UTi kwa wakati mmoja!

■■ Wengine huita Kibwelabwezi
■■ wengine Mlavumba

●● Ukiwa na kikohozi sugu
Chuma hayo majani, tafuna na kipande cha muwa ili kupunguza makali/uchungu wa hiyo dawa

Ukitafuna unahisi hadi masikio yanapika kelele za shangwe

●● Kwa magonjwa ya mfumo wa mkojo kama UTI, Chango , kisonono, uvimbe kwenye mfumo wa mkojo
Pika chai ya haya majani

Kunywa mara 3 kutwa

●● Kuongeza Nguvu za Kiume
Tafuna jani 1 kila siku kwa siku 14

●● Pia Ni Tiba kwa Presha ya kupanda ..

●●Na ni Tiba ya Malaria, Matumizi yake chemsha kunywa Mara tatu

Note: kwa Mtu mwenye pressure ya kuView attachment 3225397shuka asitumie hii
Huu tunautumiaga kama dawa ya chango kwa watoto
 
Haya ni maajabu ya uumbaji wa Mungu huu ni mmea jamii ya minazi, kisayansi unajulikana kama “Iriatrea deltoldea”—maarufu kama “Huacrapona Palm”

Mmea huu hujulikana pia kama, “Penis Tree” au “Miracle Tree”, ni mti mkubwa wa majani ya kijani kila wakati (evergreen) unaoota kwa makundi kutoka kwenye mizizi ya chini ya ardhi au yenye kujiviringa chini.

✅Hupatikana sana katika misitu ya Amazon Magharibi – hasa nchi kama “Ecuador” na maeneo mengine ya Amerika Kusini, karibu na kingo za mito.

Katika jamii za kienyeji, mti huu umetumika kwenye sherehe za kitamaduni na matibabu ya asili kwa madhumuni mbalimbali.

Faida zake Kiafya:
  • Kupunguza hatari ya saratani ya tezi dume
  • Kuongeza urefu au ukubwa wa uume (penis enlargement)
  • Kuimarisha mmeng’enyo wa chakula kwa kuongeza vimeng’enya (enzymes)
  • Kuongeza kinga ya mwili
  • Kupunguza shinikizo la juu la damu
  • Tiba ya pumu na bronchitis
  • Kutibu magonjwa ya ngozi kama psoriasis na eczema
  • Kuboresha kazi ya ubongo na uoni wa macho
  • Kuimarisha afya ya nywele na kucha
  • Kusaidia wenye changamoto ya usingizi (insomnia)
  • Na mengine mengi tu yaani—vipi sasa wanaume walima bamia tuwapeleke kwenye misitu ya Amazoni?😁

Mdharau asili hufa kikatili
1756035716987.jpg
 
CHEMSHA MAJANI YA MGOMBA WA NDIZI
Mizizi ya mgomba iwe mingi kiasi
Changanya na Tangawizi gram 1.

MATIBABU YAKE
🌿Utakuwa umetibu uvimbe kwa shingo ya kizazi

🌿Utasafisha kizazi.

🌿 Utaondoa fungusi ukeni.

🌿- Utaponesha miwasho ukeni.

- 🌿Utasafisha mayai kwenye kizazi

- 🌿Utapunguza sumu za dawa za uzazi ulizowahi kuzitumia.

- 🌿Utaponesha maumivu sugu ya tumbo.

🌿Utaponesha shida ya maji ya ukeni yanayonuka.

🌿 Utaondosha tatizo la uke kutoa maji machafu ya usaha.

Magonjwa ni mengi ata siwezi kuandika hapa yanatibiwa kupitia majani na mizizi .

DOSE
Chemsha dawa hiyo halafu kila siku asubuhi na usiku kunywa glass 2½ hakikisha glass imejaa, maji ya dawa usibadilishe au kuyamwaga hadi uyatumie kwa siku 10 ndio unaweka dawa nyingine jikoni.

UTAJUAJE DAWA INAFANYA KAZI
Dalili ya kwanza utaona unakojoa sana mkojo mchafu utanuka sana, kadili siku zinavyokwenda utakuwa mwepesi na mkojo msafi una harufu safi.

Hii dawa kwa wiki moja ukitumia kwa imani muda kama huu utakuwa umepona kabisa, napenda kuona mna afya njema.
IMG-20250825-WA0057.jpg
 
Babu saidia dawa ya kuotesha nywele ya asiri kwa kijana Yani kipara kabla ya uzee,
Pia dawa yakuondoa mvi kabla ya muda
 
Waafrika bhana—nani kawadanganya mizizi ya mpapai dume ni sumu?😆 Narudia tena ukitafuna mzizi mmoja na kipande cha tangawizi show yake ni ya kibabe.

Kama umeathirika na magonjwa ya zinaa unaweza kuchemsha mizizi ya mpapai dume kwa kuchanganya na:-
Mizizi ya mbaazi
Mizizi ya mnyonyo
Mizizi ya mtulatula
Mizizi ya mkundekunde
✅Magonjwa yote ya zinaa yatatoweka mara moja
✅Matatizo ya ngiri nayo yatatoweka

Mdharau asili hufa kikatili
1756131667671.jpg
 
Ukiwa na huu mmea huo kwenye picha ujue una dawa ya kikohozi na UTi kwa wakati mmoja!

■■ Wengine huita Kibwelabwezi
■■ wengine Mlavumba

●● Ukiwa na kikohozi sugu
Chuma hayo majani, tafuna na kipande cha muwa ili kupunguza makali/uchungu wa hiyo dawa

Ukitafuna unahisi hadi masikio yanapika kelele za shangwe

●● Kwa magonjwa ya mfumo wa mkojo kama UTI, Chango , kisonono, uvimbe kwenye mfumo wa mkojo
Pika chai ya haya majani

Kunywa mara 3 kutwa

●● Kuongeza Nguvu za Kiume
Tafuna jani 1 kila siku kwa siku 14

●● Pia Ni Tiba kwa Presha ya kupanda ..

●●Na ni Tiba ya Malaria, Matumizi yake chemsha kunywa Mara tatu

Note: kwa Mtu mwenye pressure ya kuView attachment 3225397shuka asitumie hii
Upo home
Yaani Tunatumia km majani ya chai
Kumbe dawa

Asante
 
Back
Top Bottom