Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,762
- 4,905
- Thread starter
- #461
UKIMWI WA KUROGWA
👉 Naam, leo nimekuja na hili somo zingatia sana kwa kuwa jamii yetu ya sasa ina mauzauza mengi.
👉 Si kila unayemuona anaumwa ugonjwa fulani wa kihospitali ukadhani ni halisi baadhi yao huumwa magonjwa ya kutengenezewa kiasili. Tambua wachawi wana mbinu nyingi sana na sayansi ya giza huwa inapanuka kila siku.
👉 Upo ukimwi wa kichawi na dalili zake ni zilezile, kisukari cha kichawi, vidonda vya tumbo vya kichawi, pumu ya kichawi na maradhi mengine mengi yanaweza kutengenezwa kichawi. Hata baadhi ya ajali barabaran watu wanatengenezewa, radi zinatengenezwa na mambo kemkem, huyo ndo muafrika.
👉 Leo nakupa njia ya kutibu kabisa ukimwi wa kurogwa na kisukari cha kurogwa kama imethibitika una tatizo hilo.
👉 Huo pichani ni mti wa kikulagembe (ntundulu). Chukua hayo matunda yake na kiini chake, mkulungu, mti wowote uliopigwa radi, maua ya mgomba yaliyoanguka yenyewe yamekauka, mpeperusha (mizizi), mkoma vilema (mtulavuha), na kadundugila (kisiki cha mpingo).
👉 Hivyo vyote ukivipata unguza upate usila (unga mweusi) utachanganya na usembe makata, spana malaya, na ulilo kisha utafanyia maombi kwa imani yako kwa kadri utakavyojaaliwa.
👉 Dawa hii itatumika kuogea na kulamba au kunywa kwa uji kutwa mara 3 kwa siku 21- 30, ikiwa ukimwi huo ni wa kichawi utapona kabisa hata kisukari cha kichawi na kero zingine za kurogwa.
👉 Mti huu una siri nyingi sana; majani yake saga upate unga hifadhi ndani, yanasaidia kwa tumbo kuuma, tiba ya mtu aliyeumwa na nyoka, kuzuia mimba zinazotoka kila wakati, huzuia usifanyiwe uchawi wa kijicho. Miti yake ina mambo mengi sana hutumika hata kwa kinga na viapo vikubwa vya maangamizi, kama uliwahi kuisikia albadiri ya miti basi huu ndio hutumika sana kwa kazi hizo, kwa wale wenye shida za nguvu za kiume iwe kawaida au kurogwa au jini mchafu tumia mizizi ya huu mti kunywa utapona, kazi za kupiga pia unatumika vizuri sana.
"TUSIDHARAU WAZEE "