Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Baada ya kusimama kwa muda mrefu kule kazini na kufanya kazi za kuchosha siku nzima

Ili kuepusha kudondoka, na changamoto za uchovu na maumivu (fatigue and pain)

Baada ya kuoga ,weka chumvi ya mawe (Epson salt) kwenye soks kisha vaa soks zako

Husaidia

Mzunguko wako wa damu
Huondoa uvimbe miguuni
Tatizoa la varicose vein
Hata matatizo ya moyo.

Asili huponya
IMG-20250825-WA0094.jpg
 
Baada ya kusimama kwa muda mrefu kule kazini na kufanya kazi za kuchosha siku nzima

Ili kuepusha kudondoka, na changamoto za uchovu na maumivu (fatigue and pain)

Baada ya kuoga ,weka chumvi ya mawe (Epson salt) kwenye soks kisha vaa soks zako

Husaidia

Mzunguko wako wa damu
Huondoa uvimbe miguuni
Tatizoa la varicose vein
Hata matatizo ya moyo.

Asili huponyaView attachment 3453128
Mi huwa naweka chumvi ya mawe kwenye maji ya moto ,chumbi naiombea mwenyewe 🤣hayo maji nayaweka kwenye ka beseni kadogo naweka miguu kabla ya kulala
 
Kwamba haka kaplastiki ndiko kanafanya watu waishi kwa hofu kana kwamba wamevamiwa na shetani mweeeeh k
1756151678781.jpg
alaga baho😄
 
Omba usipate ugonjwa unaitwa kaswende au kisonono ni hatari sana

Uume unatoka Usaha na ukichelewa kupata matibabu uume unaweza kukatika

Kwa mwanaume akiupata leo kesho ana ona dalili lakini kwa mwanamke anaweza akaupata akaishi nao mpaka kupata dalili ujue uzazi tena hana tena.

Mwanaume akiupata leo kesho uume unaaanza kuwasha na siku inayo fuata uume unaanza kutoka usaha asipoliwahi tatizo hali inakuwa mbaya sana

Kwa wanamke akipata huo Ugonjwa uke wake unaanza kutoa harufu mbaya sana ukigusisha tuu uume kwishaaaa habar yako unapata maambukizi.

Sasa endelea na shughuli hizo utapata shughuli ambayo siyo ndogo kwenye hiki kizazi cha vitoto vya afu mbili.

Anyway kama unaumwa call me ntakupa mimea ila siyo bure

Asili huponya
1756153240123.jpg
 
BANGI .Kitaalamu Mmea huu unaitwa Cannabis Sativa au Marijuana.Majina mengine ni Bangi ,Ganja,Hashish nakadharika.

Mmea huu ni mdogo wenye majani yake malaini kama unavyowezakuona kwenye picha .Ni mmea ambao kitaalamu tunasema ni Narccotic Plant yani unalwesha ikiwa utatumika vibaya mfano kwa kkunguzwa ukiwa mkavu au kama sigara.Hii inamaanisha unabadilisha mfumo wa ufanyaji kazi wa ubongo na kusababisha kuzubaa wakati mwingine kusinzia kwa mtumiaji na wakati mwingine kuchangamka kupita kiasi maana ni mmea unaoingilia kazi ubongo (It alters normal Mental functioning and induces sleepness ).

Umepigwa marufuku baadhi ya nchi nyingi zikiwemo nchi za Afrika mashariki.Hii ni kitokana na matumzi mabaya yasiyofaa ya mmea huu ambapo matokeo yake yamekuwa ya hatari kwa vijana watoto na watu wazima .

MATUMIZI YAKE KIMATIBABU.

Kulingana na kitabu kinachoitwa Medicinal plants of East Africa :An illustrated Guide uk wa 74 na 75 inaelezwa kuwa kimatibabu sehemu zinazotumika kama tiba kwa mmea huu ni majani maua na mbegu zake.

Hapa chini ni baadhi ya magonjwa yanayotobiwa na mmea huu ikiwa utatumia kwa maelekezo maalumu ya mtaalamu wa Tiba asilia.

1. Kichefuchefu na kutapika.
2.Saratani
4.Kuongeza kinga (CD4) Kwa wagonjwa wa kile kinachoitwa AIDS/HIV
5.Baridi yabisi (Rheumatic pain)
6.Pumu yani Asthma.
7.Matatizo ya sikio.
8. Msongo / Depression .
9.Psychotic crying
10.Matatizo ya mifupa.
11. Kifafa na matatizo ya ubongo.
12. Huongeza hamu ya kula.
13. Msongo / Depression
14. Matatizo ya macho maarufu kama glaucoma.
15. Spasmodic cough.
16. Hutibu maumivu na maambukizi ya korodani,
17.Chai ya majani ya mmea huu upunguza Lehemu (Cholesterol) kwenye damu .
18. Majani yake pia ni tiba Malaria
19.Cannabis has been shown to treat several diseases
20. Tatizo la kukosa usingizi hani Insomnia
21.Ugonjwa unaooitwa Parkinson disease
22. Kipandauso yani Migraine
23. Saratani ya kizazi au Cervical cancer
24. Shinikizo la juu la damu au Hypertension
25. Uvimbe au Tumour na magonjwa mengine mengi tu.

Just boil the leaves for 20min and drink 45ml twice daily
Kwa matatizo baadhi hapo juu,unachuma majani u yake unachemsh kwenye maji kwa dakika 20 .kisha unakunywa Mls 45 mara mbili kwa siku kila siku.Unapona.

Kwa tatizo la sikio unaweka matone mawili au matatu asubuhi na jioni kwa siku 5.

Angalizo :

Ukichoma majani makavu na kiyatumia pia majani makavu kama Siagara ni hatari kwa afya yako na kamwe huwezi tibu magonjwa hayo juu kwa njia hii ya kuvuta sigara 🚭
Endapo utatumia mmea huu kama SIGARA (Kwa kuvuta kama sigara)
Utasababisha

1. Insomnia yani kukosa usingizi
2. Kukosa hamu ya kula.
3.Vidonda vya Tumbo
2.Saratani ya koo ,ngozi,damu na utumbo mpana.
3.Shida ya kuona (macho)
4.kuharibika kwa ubongo na hatimaye kuwa kichaa (mental disorders)
5.Kuathiriwa kwa ubongo ikiw ani pamoja Kupoteza kumbukumbu ,Insanity (kuzubaa kwa akili) Hallucinations and senselessnes.
6.kushindwa kufanya kazi kwa via vya uzazi na hatimaye kukosa mtoto (Sterility and Impoten)

POST HII NI KWA AJILI YA ELIMU NA UELEWA TU KWA JAMII, MATUMIZI YOYOTE MABAYA YA MMEA HUU SITAHUSIKA.

Asili huponya
1756191638419.jpg
 
Dada kama uliambiwa maisha yako yote huwezi kuzaa—basi huu mti wa “Nsubata” ambao wengi huita “Mdaha”ndiyo suluhisho lako. Ni mmea mzuri sana kwa kutibu kabisa TB na shida zote za mfumo wa upumuaji, ni dawa nzuri ya kutibu ugonjwa wa “Rectal prolapse”pia, na magonjwa mengine mengi ambayo nitawafunza hapo baadae.

Sema nini? Hamtaki kusaport kazi yangu kwa kununua kitabu.😁

Kitabu cha Rejesha Afya yako bila Gharama kinauzwa Tsh 55000 tu kina mimea midogo-midogo 45 yenye nguvu ya kukutibu magonjwa yote ukiwa nyumbani.

✅Unaponunua hicho kitabu, si tu kwamba utakuwa unasaport kazi yangu bali pia utakuwa umejipatia maarifa ya kudumu, utakayorithisha hata wajukuu zako.

Kwa wewe unayependezwa na ukurasa huu, na unatamani kusaport kazi yangu kwa kununua kitabu nitumie ujumbe PM

Mdharau asili hufa kikatili
1756233802612.jpg
 
Haya ni maajabu ya uumbaji wa Mungu huu ni mmea jamii ya minazi, kisayansi unajulikana kama “Iriatrea deltoldea”—maarufu kama “Huacrapona Palm”

Mmea huu hujulikana pia kama, “Penis Tree” au “Miracle Tree”, ni mti mkubwa wa majani ya kijani kila wakati (evergreen) unaoota kwa makundi kutoka kwenye mizizi ya chini ya ardhi au yenye kujiviringa chini.

✅Hupatikana sana katika misitu ya Amazon Magharibi – hasa nchi kama “Ecuador” na maeneo mengine ya Amerika Kusini, karibu na kingo za mito.

Katika jamii za kienyeji, mti huu umetumika kwenye sherehe za kitamaduni na matibabu ya asili kwa madhumuni mbalimbali.

Faida zake Kiafya:
  • Kupunguza hatari ya saratani ya tezi dume
  • Kuongeza urefu au ukubwa wa uume (penis enlargement)
  • Kuimarisha mmeng’enyo wa chakula kwa kuongeza vimeng’enya (enzymes)
  • Kuongeza kinga ya mwili
  • Kupunguza shinikizo la juu la damu
  • Tiba ya pumu na bronchitis
  • Kutibu magonjwa ya ngozi kama psoriasis na eczema
  • Kuboresha kazi ya ubongo na uoni wa macho
  • Kuimarisha afya ya nywele na kucha
  • Kusaidia wenye changamoto ya usingizi (insomnia)
  • Na mengine mengi tu yaani—vipi sasa wanaume walima bamia tuwapeleke kwenye misitu ya Amazoni?😁

Mdharau asili hufa kikatiliView attachment 3451298
Kwetu upo unaitwa m-bolo bolo
 
Brothers and sisters,

Leo ni August 28, bado siku 3 tutimishe mwezi wa 8.

Kama ilivyo ada, uwa ninatoa offer kila mwisho wa mwezi, kwa watu makini, kama sadaka yangu ya shukrani kwa Mother Universe.

Na mwezi huu ninazo offers chache kama ifuatavyo:

1. Kama hujachukua zana zako za utakaso kwa ajili ya kuosha na kusafisha na kung'arisha nyota yako, ninazo packages 5 kwa ajili ya watu 5 watakaowahi.
Watalipia 110,000/- tu badala ya 150,000/- pamoja na sabuni ya utakaso (cleansing soap) BURE!

2. Wale waliokwisha chukua hiyo package, nawapatia mafuta ya hyssop (mtakuwa mnachanganya matone 3 kwenye maji ya kuoga kila siku zenu za bahati (mara moja kwa wiki) mnaoga kujitakasa; au endapo utajikuta umechafuka kwa kugusana na watu au ukitoka msibani, au ukisex na mtu msiyeendana kinyota au ukihisi kuchafuka kwa sababu yoyote ile.
Nitawapatia watu 5 wa mwanzo kwa elfu 85,000/- tu badala ya 100,000/-

3. Mnaotaka Pete, Bracelets, Mikufu NK, yenye vito vya nyota zenu au vya ulinzi/ kinga nk, nina punguzo la hadi 25% kwa kila Kito.

4. Natoa chupa 3 za mafuta ya Kinga (Shield Oil), kwa ajili ya kujikinga dhidi ya uchawi na nguvu zote hasi Ofisini, kazini, shuleni, mgodini na popote ambapo si salama kwako kiroho.
Chupa hii badala ya 150,000/- naitoa kwa 125,000/- kwa watu watatu watakaowahi.

5. Mafuta ya kibali pia natoa piece moja tu kwa laki na nusu badala ya laki 2.

6. Mada ya mwezi Septemba (UPENDO & MAHUSIANO) kwa elfu 25, badala ya 30,000/- iliyozoeleka.

Changamkieni fursa.

Mwisho wa offer zote hizi ni tarehe 31/08/2025 (zimebaki siku 3 tu)

Tuwasiliane inbox au lipia chap offer yako kwenye namba yetu ile ya malipo (+255745535963; Jina MATENYULA)

Dr. DOGOLI KINYAMKELA 💀 ☠️ (PhD),
Mtafiti na Mkufunzi wa masuala ya kiroho.
IMG-20250828-WA0075.jpg
 
Boresha uono wako (kuona) hata kama wewe ni MZEE na mbegu hizi za chia !

Mbegu za Chia zina omega-3,m nyingi , zinki na antioxidant, kusaidia uzalishaji wa machozi, kupunguza ukavu wa macho, na kukulinda dhidi ya uharibifu unaohusiana na macho.

Pia husaidia kufanya kazi ya :

■ Kusaidia kupunguza uzito kupita kiasi,
■ Kusaidia afya ya moyo na mifupa,
■ Kusaidia kurekebisha viwango vya sukari ya damu na cholesterol,
■ Na kuboresha digestion yaani mmeng'enyowa chakula.

. Loweka kijiko 1 cha chakula cha mbegu za chia kwenye maji kwa dakika 15 na kisha unywe.

Pia Unaweza kuongeza kwenye juisi yako yaani smoothie, mtindi ,maziwa ,uji, kwenye matunda yako ,kachumbali yako au mlo wako kila siku.

Boost ya asili kwa macho yako na kukusaidia kutokuzeeka!👁️

Asili huponya
1756562028670.jpg
1756562036667.jpg
 
Leo nawapa .mtihani andikeni maelekezo ya hii dawa ya kusafisha meno kwa kutazama picha

Kisha malizia kwa maneno hayah!

Ukimaliza kuswaki kwa dawa hiyo osha kinywa chako kwa maji ya uvuguvugu (warm water )

Asili huponya
IMG-20250902-WA0004.jpg
 
Faida za maji ya karafuu kwa wanaume 💪
Leo wanawake mtupishe kidogo nyie tumesema sana faida za karafuu kwa wanawake hivyo leo tunagusia kwa wanaume nao.

Ikiwa wewe ni mwanaume hakikisha una karafuu nyumbani kwako.

Faida za karafuu

- kusaidia kuzuia kumwaga mapema wakati wa tendo la ndoa kwa waliooa
- Huongeza hamu ya tendoa la ndoa
- Husaidia kuongeza uzalishaji wa homoni za zile za tendo la ndoa
  • Husaidia wanaume katika kuzuia saratani
  • Karafuu huongeza msisimko wa neva
  • Hupunguza mkazo na kupunguza wasiwasi
  • Husaidia kupunguza hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa
-Na pia hutibu maambukizi wanaume

Maandalizi
Weka vijiko viwili au vitatu chemsha kwa dakika 10 kisha kunywa chai yako mara mbili kwa siku kila siku

Au

Weka unga kijiko kimoja cha chakula kwenye maji ya moto koroga na unywe,

Au

Loweka kijiko kimoja au viwili kwenye chombo kikubwa kama lita 2 kila jioni kisha kesho yake pasha kidogo unywe kikombe kimoja

Asili Huponya
 
Kama unahitaji kuwa na upendo na mwenzi wako badi chukua kiatu chako cha mguu wa kulia kisha weka juu chini ,chini ya kitanda mnacholalia hapo hatoweza kutoka nje na mwanamke yeyote na siku zote atakuwa nawe.
Asili ni nguvu💪
IMG-20250902-WA0005.jpg
 
JINSI YA KUNG'ALISHA MENO KWA UNGA WA MKAA NA LIMAO.
Pata unga wa mkaa na maji ya limao.
changanya kwa pamoja na tumia mchanganyiko huo kuswaki meno yako ahsubh na mda wa kulala ndan ya wiki moja.

Ukimaliza kuswaki kwa dawa hiyo osha kinywa chako kwa maji ya uvuguvugu (warm water )

Asili huponyaView attachment 3462098
 
JINSI YA KUNG'ALISHA MENO KWA UNGA WA MKAA NA LIMAO.
Pata unga wa mkaa na maji ya limao.
changanya kwa pamoja na tumia mchanganyiko huo kuswaki meno yako ahsubh na mda wa kulala ndan ya wiki moja.

Ukimaliza kuswaki kwa dawa hiyo osha kinywa chako kwa maji ya uvuguvugu (warm water )

Asili huponyaView attachment 3462098
Alooo hongera sana mkuu umejitaidi kwa asilimia 85/100 👏🏾
 
Back
Top Bottom