JITIBU MAGONJWA HAYA UKIWA NYUMBANI
1. MAGONJWA YA ZINAA IKIWEMO STAPHILOCOCCUS:*
Vipande viwili vya aloevera ,katakata vipande kisha weka kwenye kontena yani chombo kisha ongeza asali ya kutosha na glasi moja ya maji.
Tumia nusu kikombe mara mbili kwa siku kwa wiki moja.
2. . MATATIZO YA HEDHI / MENSTRUATION PROBLEM:*
Fimbo mbili za mdalasini au unga kidogo ,tangawizi na punje chache za vitunguu swaumu ,katakata vipande vidogovidogo changanya na juisi ya limao na chungwa kadhaa.Kunywa kinywaji hicho mara mbili kwa siku kwa siku 3 .
3. KUPUNGUZA UZITO /WEIGHT LOSS:*
Chukua ndevu za mahindi, chemsha kisha Kamulia limao hata 2 kwenye chai yako.Kunywa nusu glasi kila siku mara 1 au 2 kwa siku kwa muda wa wiki moja huku ukufanya mazoezi ya kawaida.
4 HOMA AU MWILI KUWAKA JOTO / INTERNAL HEAT:*
Chemsha majani makavu ya mpapai na majani ya mkorosho .Chemsha kwa dakika15-20 kisha kunywa nusu kikombe kwa siku mara mbili kwa muda wa wiki moja.
5.KUKOSA USINGIZI /INSOMNIA:*
Weka vijiko vitatu vya chakula vya asali kwenye glasi ya maziwa .Kunywa kinywaji hicho kila siku kabla ya kulala.
6. MOYO KUSHIDNWA KUFANYANKAZI VIZURI HEART FAILURE:*
Pondaponda au saga vitunguu maji 10 au 12 na vitunguu swaumu 10 au 12 kwa pamoja changanya mchanganyiko huo.Kisha weka lita moja au nusu lita ya asali Itakuwa unachukua vijiko viwili au vitatu asubuhi na jioni kwa wiki mbili.
7. MATATIZO YA MENO KWA WATOTO/ TEETH PROBLEMS IN CHILDREN:*
Changanya asali na juisi ya limao katika usawa unaolingana.Mpatie mtoto kijiko kimoja asubuhi na jioni tatizo litaisha.
8. KIWANGO KIDOGO CHA MBEGU / LOW NUMBER OF SPERM:*
Chuma majani ya kutosha ya mpera yapondeponde kisha weka kwenye chombo na umimine maji .Kunywa kinywaji hicho glass moja mara tatu kwa siku kwa wiki moja.
Au chemsha kwa dakika 15-20 waweza ongezea kipande cga tangawizi pia.Kunywa glasi moja mara tatu kwa siku.
Wakati ukiendelea na tiba hii tumia kwa sana : karoti na Tango kwa wingi kila siku kwa muda wa wiki mbili.
9. TATIZO LA KUTOSIMAMA KWA MNARA /LOW ERECTION:*
Tafuta vitunguu maji 6 vyeupe,blendi au pondaponda kisha upate juisi yake kisha changanya na asali. Tumia vijiko viwili mara tatu kwa siku kila siku kwa wiki moja.
10 .DEGEDEGE AU KIFAA NA KUANGUKA KWA WATOTO /CHILDREN CONVULSION:*
Chukua kitunguu maji na punje chache za kitunguu swaumu na kipande cha tangawizi saga au blendi vyote kwa pamoja. Changanya na mafuta ya mawese .Mpe mtoto anywe walau vijiko vitatu au viwili asubuhi na jioni. Waweza pia tumia mchanganyo huo kama mafuta kumpaka.
11.KUINGUA NA MOTO/FIRE BURNS:*
Rub the affected area daily with pure honey.
Kwanza oka au unguza mhogo mkavu upate unga
Mweusi ,basi paka asali kisha funikia unga huo
Kutapata manyoya ya sungura utapaka badala ya huo unga wa mhogo mkavu.
12. TATIZO LA KUTOOTA NYWELE,NYWELE KUKATIKA NA KUPOTEA/ HAIR BREAKDOWN:*
Chukua chupa ya mafuta ya mzeituni changanya na asali chemsha kidogo ipate joto hata kwa dakika 3 au 5 .Tumia mchanganyo huo kuoshea nywele zako.
13. UPARA WA KUTOOTA NYWELE /BALD HEAD:*
Grind the bird pepper, the unripe papaya seeds and mix with the lime juice. Use the mixture to rub the head, the hair will start to grow in the affected area.
Pondaponda pilipili ile kichaa (bird pepper) ,mbegu za papai bichi (ziponde ponde kabisa) changanya na juisi ya limao kadhaa hata 2 au moja kubwa.
Tumia mchanganyo huo kupaka eneo la UPARA wako, NYWELE zitaanza kuota kwenye eneo lako lisiloota nywele .
14. UVIMBE KWENYE KIZAZI /FIBROSIS:*
Kula mbegu kama 20 za mmea wa MAWESE (eat 20 pieces of unripe palm kernel seeds ) kila siku kwa muda wa miezi miwili.
15. KUONGEZA NA KUIMARISHA DAMU YAKO/ BLOOD STRENGTHENING:*
Chukua majani kadhaa ya mmea wa maboga (pumpkin leaves) pamoja na nyanya ntole au ngogwe (garden egg) ,Blendi kwa pamoja upate juisi yake kisha ongezea maziwa kwenye huo mchanganyiko. Kunywa kinywaji hiki kwa siku 3 hadi 5 .Damu yako itaongezeka maradufu.
16.MTOTO WA JICHO NA MATATIZO YA MACHO /CATARACTS:*
Weka utando ule wa aloevera ( (aloe vera ge) kwenye macho au jicho lililoathirika asubuhi na jioni utakuwa sawa.
17 .TATIZO LA KOO IKIWEMO VIDONDA VYANKOONI /THROAT PROBLEM:*
Eat a small amount of ginger continuously for a week.
tafuna tangawizi mara kwa mara utakuwa sawa
Wakati huohuo kunywa chai ya tangawizi na karafuu kwa pamoja mara mbili kwa siku kwa siku 7.
NITAENDELEA NIMECHOKA KUANDIKA.
Mkitaka asali original isiyogushiwa
Tumuone dr dogoli kinyamkela 💀☠️
Anaishi morogoro mjini
Ana asali bora sana .
Tumesisitiza katika post zetu kutumia asali badala ya sukari kwenye chai dawa zetu na asali lazima iwe ile original kabisa.
asili huponya
View attachment 3448515