Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Ukosefu wa maarifa ndiyo unakufanya uendelee kuteseka na magonjwa.

Jirani yangu kanikuta usiku huu naosha hizi mbegu kwa ajali ya maandalizi ya dawa, akawa anashangaa, akisema yani wewe Dr kila kitu kwako ni dawa hadi mbegu za ukwaju nazo?😆

Lakini kama watu wangejua siri kubwa ya mbegu za ukwaju, basi majumba yao yangejaa magunia ya mbegu za ukwaju.

Kongosho yako haizalishi insulini, kila siku wewe ni kumeza vidonge vya insulin, Ini lako halifanyi kazi vizuri, unateseka na maumivu ya meno, unateseka na HIV —Mbegu za ukwaju ni suluhisho bora kabisa.

Mdharau asili hufa kikatili
1754853806590.jpg
 
MMEA WA MNYONYO NATIBA ZAKE..

Ufanisi wa Majani ya mnyonyo (Castor plant leaves ) kama Dawa ya Asili ya Maumivu:

Kwa nini Majani ya mnyonyo (Castor plant leaves) Hufanya Kazi Kupunguza Maumivu?

Majani ya castor yana madini ya kuzuia uchochezi ambayo husaidia kupunguza uvimbe na kupunguza maumivu.

Mmea huu una asidi ya ricinoleic, ambayo hupenya ndani ya ngozi, kuimarisha mzunguko wa damu na kutenda kama analgesic ya asili.

Hii inafanya mmea huu kuwa bora kwa hali kama vile ugonjwa wa baridi yabisi, maumivu ya mgongo, maumivu ya goti, na kuvimba kwa jumla kwa mwili na maumivu.

Jinsi ya kutumia Majani ya Castor kwa Maumivu:

Maandalizi:

Osha majani mabichi ya castor vizuri.

Pasha kwenye joto la moto (usiyachome kwenye moto) ,Pasha kwa kutumia mvuke au sufuria ya moto (pasha bila kuwaka) kikubwa yapate joto.

Waweza anza kwa kupaka mafuta ya mnyonyo (japo siyo lazima) kwenye eneo lililoathiriwa kwa ufanisi zaidi.

Dawa hii hufanya kazi kwa kuweka majani yenye joto la moto moja kwa moja kwenye eneo la uchungu na maumivu. Funika majani kwa kitambaa laini au bandeji ili kuruhusu dawa ifanye kazi.

Tumia mara 2 hadi 3 kwa siku dawa hii.

Wakati ukiendelea na tiba hiyo ..tengeneza chai ya majani ya mnyonyo chemsha kwa dakika 15-20 kisha kunywa kikombe kimoja mara mbili kwa siku kila siku.

Kwa magonjwa sugu kama vile arthritis, matumizi ya kila siku ya dawa hii kwa wiki kadhaa kunaweza kutoa matokeo bora.

Matumizi ya dawa hii yatakuepusha na balaa la matumizi ya vidonge .

Asili huponya
IMG-20250810-WA0673.jpg
 
FAIDA ZA LIMAO /KUNYWA MAJI YA LIMAO , NI NYINGI SANA NARUDIA KWA FAIDA YA WAGENI JAPO SITAZISEMA ZOTE ...

Lemon juice + water
Juisi ya limao na maji

KILA ASUBUHI HAKIKISHA KABLA KUFANYA CHOCHOTE UNAKUNYWA KINYWAJI HIKI

Hapo kuna malimao mawili ndani ya glasi ya maji .

Hiki ni kinywaji sahihi kuanza nacho Kila siku

Ukijenga tabia ya kunywa juisi hii utaona maajabu makubwa sana kwenye afya yako.ndani tu ya siku 30 ...

1.Huimarisha kinga ya mwili Kwa kuwa lina vitamin C

2.Husafisha utumbo mpana, huzuia constipation-Dietary Fiber

3.Hutibu malaria, kipindupindu, ni Antibacteria

4.Huweka sawa pH ya damu-Limao hufanya damu iwe alkaline, Kuongeza Damu Mwilini ..

5.Husaidia mmeng'enyo wa chakula-Husaidia/huchochea kuzalishwa kwa nyongo

6.Huzuia magonjwa ya moyo na presha ya juu ya damu-pH balance calcium, magnesium na potassium

7.Hutibu homa na mafua

8.Huondoa sumu mwilini-alkaline blood/pH balance

9.Hutibu arthritis na Rheumatism-Husafisha damu na huondoa uric acid

10.Huondoa mikunjo kwenye ngozi

11.Huondoa maumivu ya kuumwa na nyuki

12.Huboresha afya ya macho

13.Huzuia kuvuja kwa damu ndani ya mwili au puani

14.Huondoa makovu kwenye ngozi

15.Kisukari(Type 1 diabetes) hasa kwa watoto kwa heri

16.Cancer ya utumbo mpana kwa heri

17.Cancer yoyote kwa heri kama utakuwa na tabia ya kunywa maji ya limao

18.Kipindupindu kwa heri kama una tabia ya kunywa maji ya limao kila asubuhi

19.Soko la dawa za malaria litashuka kama watu watakuwa wanatumia maji ya limao

20.Kwa watu wenye maumivu ya magoti huweza kupata nafuu kwa kunywa maji ya limao tu na kusahau dawa za hospitalini.

21.Kwa kina dada warembo kwa kutumia limao tu wataepukana na vipodozi vyenye sumu kama Oxybenzone,Avobenzone

Escamule , Octocryclene Zinazosababisha kansa ili kungarisha ngozi zao..

Yaani usiende mbali sana, chukulia cancer, kisukari na malaria pekee....

Kama watu watapenda kutumia maji ya limao mara kwa mara kwenye maView attachment 3225392isha yao ina maana soko la dawa za cancer, kisukari na
Mimi mtaalam mwenzako wa mitishamba nakuelewa sana
 
Ukosefu wa maarifa ndiyo unakufanya uendelee kuteseka na magonjwa.

Jirani yangu kanikuta usiku huu naosha hizi mbegu kwa ajali ya maandalizi ya dawa, akawa anashangaa, akisema yani wewe Dr kila kitu kwako ni dawa hadi mbegu za ukwaju nazo?😆

Lakini kama watu wangejua siri kubwa ya mbegu za ukwaju, basi majumba yao yangejaa magunia ya mbegu za ukwaju.

Kongosho yako haizalishi insulini, kila siku wewe ni kumeza vidonge vya insulin, Ini lako halifanyi kazi vizuri, unateseka na maumivu ya meno, unateseka na HIV —Mbegu za ukwaju ni suluhisho bora kabisa.

Mdharau asili hufa kikatiliView attachment 3437872
Kwahiyo hizi mbegu tunameza? Inabidi kutafuta daftari tuandike kabisa summary, asante.
 
MMEA WA MNYONYO NATIBA ZAKE..

Ufanisi wa Majani ya mnyonyo (Castor plant leaves ) kama Dawa ya Asili ya Maumivu:

Kwa nini Majani ya mnyonyo (Castor plant leaves) Hufanya Kazi Kupunguza Maumivu?

Majani ya castor yana madini ya kuzuia uchochezi ambayo husaidia kupunguza uvimbe na kupunguza maumivu.

Mmea huu una asidi ya ricinoleic, ambayo hupenya ndani ya ngozi, kuimarisha mzunguko wa damu na kutenda kama analgesic ya asili.

Hii inafanya mmea huu kuwa bora kwa hali kama vile ugonjwa wa baridi yabisi, maumivu ya mgongo, maumivu ya goti, na kuvimba kwa jumla kwa mwili na maumivu.

Jinsi ya kutumia Majani ya Castor kwa Maumivu:

Maandalizi:

Osha majani mabichi ya castor vizuri.

Pasha kwenye joto la moto (usiyachome kwenye moto) ,Pasha kwa kutumia mvuke au sufuria ya moto (pasha bila kuwaka) kikubwa yapate joto.

Waweza anza kwa kupaka mafuta ya mnyonyo (japo siyo lazima) kwenye eneo lililoathiriwa kwa ufanisi zaidi.

Dawa hii hufanya kazi kwa kuweka majani yenye joto la moto moja kwa moja kwenye eneo la uchungu na maumivu. Funika majani kwa kitambaa laini au bandeji ili kuruhusu dawa ifanye kazi.

Tumia mara 2 hadi 3 kwa siku dawa hii.

Wakati ukiendelea na tiba hiyo ..tengeneza chai ya majani ya mnyonyo chemsha kwa dakika 15-20 kisha kunywa kikombe kimoja mara mbili kwa siku kila siku.

Kwa magonjwa sugu kama vile arthritis, matumizi ya kila siku ya dawa hii kwa wiki kadhaa kunaweza kutoa matokeo bora.

Matumizi ya dawa hii yatakuepusha na balaa la matumizi ya vidonge .

Asili huponyaView attachment 3437883
Kesho hii dawa naifanyia kazi nafungua la dispensary kadogo sebuleni kwangu.
 
Genital warts ,masundosundo,malengelenge
Haya changieni sadaka niwasogezee mimea ya kuua na kumalizana na tatizo hili.

Changia chochote kuwezesha huduma hii nayoitoa bure kwa ukurasa huu.

+255745535963 VODACOM

21810006152
(NMB BANK)

Majina : DAVIS MATENYULA

Asili Huponya
IMG-20250813-WA0001.jpg
 
KUREJESHA MVUTO

Utachukua ng'e (aliyekaushwa na kusagwa) kilemba cha jogoo 🐓 yani kile kidude chekundu au comb kilichosagwa (upatikane unga wake).

Utavitia katika mafuta ya mnyonyo kisha tumia kujifukiza na kujipakaa mwili mzima utafurahi inatia mvuto sana hii.

Iliyoandaliwa ipo
tshelf 65000/
IMG-20250813-WA0041(2).jpg
 
🚨 Tafuna Karafuu 1 au 2 au 3 Kila Siku kwa kunywa maji yani kuzitafuna na kunywa maji haphapona .. kumeza kila kitu!

Faida hizi 👇

■ Hubadilisha tatizo la kuwahi kufika kwa waliooa (Erectile dysfunction) ndani ya Siku 14-21

■ Hupunguza Kisukari na Shinikizo la damu ndani ya Siku 28

■ Hurahisisha utungaji mimba kwa wanawake
■ Huzuia na Kutibu Maambukizi Mengi

■ Hutibu halitosis yaani tatizo la harufu mbaya mdomoni

■ Hutibu Meno 🦷

■ Tatizo la Kuoza meno pia

■ Hutibu tatizo la kuvimbiwa

■ Tatizo la kukosa hamu ta chakula

■ Ni dawa nzuri kwa mapafu 🫁

■ Huimarisha kinga bora na

.. Vitunguu saumu pia ni mbadala mwingine tuliwahi semea hili
IMG-20250813-WA0149(1).jpg

Asili Huponya
 
Kama mtoto wako anakohoa sana wakati wakati wa usiku, na anapata shida ya kupumua, basi fanya hivi:-

Chukua majani machanga ya mkaratusi (eucalyptus) na majani ya kivumbasi (holy basil)

Chemsha kwenye maji
Tumia kumfukiza kwa dakika mbili hadi tatu
Mnywesha vijiko viwili vya huo mchemsho
Kisha muogeshe kwa hayo maji.
Mfanyie hivyo asubuhi na usiku kwa siku 7

Mtoto wako hatakohoa tena, afya ya mapafu yake itaimarika, hatasumbuliwa na pneumonia wala asthma.

Mdharau asili hufa kikatili
1755089683369.jpg
 
KUREJESHA MVUTO

Utachukua ng'e (aliyekaushwa na kusagwa) kilemba cha jogoo 🐓 yani kile kidude chekundu au comb kilichosagwa (upatikane unga wake).

Utavitia katika mafuta ya mnyonyo kisha tumia kujifukiza na kujipakaa mwili mzima utafurahi inatia mvuto sana hii.

Iliyoandaliwa ipo
tshelf 65000/View attachment 3440033
Mwee jamani
 
Period inapoanza tu
Anza chai yake
Ilikoma acha.

Kitana mwenzako

Unaweza okota mimba.

Mmea ni mzalia nyuma au phylanthus niruri.

Asili huponya
1755283229394.jpg
 
Prickly Lettuce katika historia

Wanahistoria pia waligundua kuwa Kaisari Augustus, Kaisari wa kwanza wa Roma aliyeishi kuanzia mwaka 53 KK hadi 14 BK, alidai kuwa alitumia mchanganyiko wa Prickly lettuce kupona kutokana na ugonjwa mkali, na akaamuru sanamu pamoja na madhabahu kujengwa kwa heshima ya mmea huo.

Mwaka 1898, Prickly lettuce iliingizwa rasmi kwenye kitabu cha dawa cha Marekani (United States Pharmacopoeia). Iliorodheshwa kama mmea wa kutumiwa katika syrup, lozenges (vidonge vya kutafuna), na tincture (dondoo za pombe) kusaidia usingizi na kupunguza maumivu ya koo na matatizo ya kifua.

Katika historia, wataalamu wa tiba asili wametumia mmea huu kutibu maumivu, matatizo ya figo, kuungua na jua, kifaduro kikuu (whooping cough), maumivu ya hedhi na matatizo mengine, pamoja na kama dawa ya kutuliza na kuongeza kukojoa.
1755317394301.jpg

Mdharau asili hufa kikatili
 
Back
Top Bottom