Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Huu nao ni URAIBU mbaya sana

Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...

Kama unajipenda anza zoezi la kuacha..

SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA

1. Shambulio la moyo
2 uraibu
3.kichwa kuuma mara kwa mara.
4.Kisukari type 2
5. Uharibifu wa figo.
6.kipandauso (Migr
IMG-20250903-WA0004.jpg
aine)
7. Saratani (Feeds cancer cells)

Haya kazi kwako .

Najua ni tamu Sana lakini mwisho wake mauti.

Asili huponya
 
Mchukue mbwa akiwa katika siku za kushika mimba yaani anakuwa na nyege ile mbaya 🤣 kisha kata mkia wako kipande kidogo alafu kausha kisha kisage hadi upate unga wake kisha kamuwekee mwanamke au mwanaume wako kwenye chakula..

Hapo akichepuka kitachomkuta ,ubaya ubwela.

Kama unahitaji tiba ya matatizo mbalimbali piga 0745535963

👑Mganga hatukanwi
1757175349849.jpg
 
DAWA YA CHANGO JIKE
Hii dawa ni maalumu kwa wale wanawake wanaosumbuliwa na maumivu makali chini ya kitovu hasa wanapokaribia kwenye siku zao ,hupatwa na maumivu makali sana na kukosa amani ,dawa yao hii hapa , chukua majani ya Muembe na Karafuu na majani ya Kivumbasi yachanganye yote kwa pamoja uyaanikie ndani ya nyumba yakikauka yasage upate unga wake mlaini kisha chota vijiko vitatu vya chakula weka maji lita moja uchemshe tumia kunywa kikombe cha chai kutwa mara mbili kwa siku 14 utapona kabisa asanteni kwa huduma mbalimbali nitafute inbox au kwa namba 0745535963
IMG-20250920-WA0561.jpg
 
Mchukue paka mweusi,muunguze upate usila wake kisha chukua huo usila nyunyizia katika sehemu alipokanyaga mtu unayetaka ahame katika makazi yake,duka lake n.k

Hakikisha unanuiza
1758372735277.jpg
 
MAJI YA KONOKONO NI DAWA

Maji ya konokono, ambayo pia hujulikana kama ute wa konokono, yamepata umaarufu katika afya kutokana na uwezekano wa manufaa yake.

👇 Maji ya konokono hutibu:

■ Stroke yaani Kiharusi
■ Asthma yaani Pumu
■ Hisia ya moto kifuano au katika mwili wako au kwenye moyo na au Maumivu ya kifua

Tafuta maji ya konokono kwa kuvuna uteute huo kutoka kwenye mkia ili kupata maji ya kutosha kutoka kwa konokono huyo.

Kumbuka inapaswa awe konokono mkubwa.

Kisha changanya maji hayo au uteute huo kutoka kwa konokono pamoja na maziwa na unywe,

Maelekezo haya ni kwa tiba ya tatizo la stroke yaani Kiharusi .

Kisha kwa Ugonjwa wa Pumu, maumivu ya moyo/ Maumivu ya kifua / hisia inayowaka mwilini mwako

Tafuta maji ya konokono ya kutosha na uchanganye pamoja na asali asilia yaani ile original kabisa ,koroga kisha unywe dakika 30 baada ya chakula .Tumia vijiko 2 vya chakula vya asali asubuhi na vijiko 2 usiku.

Asili huponya
 
Kitaalamu mmea huu unaitwa Kalanchoe Marmodata Baker ,jina mama ni Kalanchoe ambapo aina zingine ni kama Kalanchoe prittwitzii Kalanchoe Pinnata Kalanchoe Densiflora Rolfe na Kalanchoe Crenata , Je kwenu unaufahamu kwa jina lipi ??

Huu mmea una maajabu yake!

■■ Kwa wanawake husaidia kusafisha mirija (kwa wenye maambukizi ya bakteria au fangasi) kwenye mirija ya uzazi na U.T.I sugu isiyotibika kwa Azuma wala sindano

■■ Hutumika pia kwa watoto wenye shida ya kupumua,

■■ Kwa wenye maumivu makali ya madonda ya tumbo hutumia kutuliza maumivu

Unachukua majani kadhaa kisha unayababua kwenye joto kisha unafikicha na kukamua, yana maji mengi, ukifikisha nusu glass ongeza maji ya kawaida (Ya Uvuguvugu) mpaka ijae kisha kunywa asubuhi na usiku pia utafanya hivyo angalau kwa siku 4 hadi 7

Maji yake hayana harufu mbaya wala hayachefui.

Siyo hivyo tu !

Kama mtoto wako mchanga alikunywa maji machafu akawa anakoroma basi hii ni dawa iinsaidia kusafisha!! Unaibabua kwenye Moto unamwekea Kila pua tone moja na mdomoni moja baada ya muda kidogo anapiga chafya uchafu unatoka hata akicheua anakuwa anatoa malenda lenda atakuwa sawa.

Kwa Miguu inayouma unyababua majani kwenye moto kishaView attachment 3225385 unachua.

Kwa wanaoumwa MASIKIO, ukibabua majani hayo kwa moto, ukaweka matone mawili au matatu kwenye sikio linaloumwa asubuhi na jioni kila siku unapona ndani ya siku 3 hadi 5
Huu si ndio wanaita msharifu?
Pia ukikamua maji yake kijiko kimoja ukanywa inatibu kikohozi
Kitaalamu mmea huu unaitwa Kalanchoe Marmodata Baker ,jina mama ni Kalanchoe ambapo aina zingine ni kama Kalanchoe prittwitzii Kalanchoe Pinnata Kalanchoe Densiflora Rolfe na Kalanchoe Crenata , Je kwenu unaufahamu kwa jina lipi ??

Huu mmea una maajabu yake!

■■ Kwa wanawake husaidia kusafisha mirija (kwa wenye maambukizi ya bakteria au fangasi) kwenye mirija ya uzazi na U.T.I sugu isiyotibika kwa Azuma wala sindano

■■ Hutumika pia kwa watoto wenye shida ya kupumua,

■■ Kwa wenye maumivu makali ya madonda ya tumbo hutumia kutuliza maumivu

Unachukua majani kadhaa kisha unayababua kwenye joto kisha unafikicha na kukamua, yana maji mengi, ukifikisha nusu glass ongeza maji ya kawaida (Ya Uvuguvugu) mpaka ijae kisha kunywa asubuhi na usiku pia utafanya hivyo angalau kwa siku 4 hadi 7

Maji yake hayana harufu mbaya wala hayachefui.

Siyo hivyo tu !

Kama mtoto wako mchanga alikunywa maji machafu akawa anakoroma basi hii ni dawa iinsaidia kusafisha!! Unaibabua kwenye Moto unamwekea Kila pua tone moja na mdomoni moja baada ya muda kidogo anapiga chafya uchafu unatoka hata akicheua anakuwa anatoa malenda lenda atakuwa sawa.

Kwa Miguu inayouma unyababua majani kwenye moto kishaView attachment 3225385 unachua.

Kwa wanaoumwa MASIKIO, ukibabua majani hayo kwa moto, ukaweka matone mawili au matatu kwenye sikio linaloumwa asubuhi na jioni kila siku unapona ndani ya siku 3 hadi
Huu unaitwa msharifu
 
Ukiwa na huu mmea huo kwenye picha ujue una dawa ya kikohozi na UTi kwa wakati mmoja!

■■ Wengine huita Kibwelabwezi
■■ wengine Mlavumba

●● Ukiwa na kikohozi sugu
Chuma hayo majani, tafuna na kipande cha muwa ili kupunguza makali/uchungu wa hiyo dawa

Ukitafuna unahisi hadi masikio yanapika kelele za shangwe

●● Kwa magonjwa ya mfumo wa mkojo kama UTI, Chango , kisonono, uvimbe kwenye mfumo wa mkojo
Pika chai ya haya majani

Kunywa mara 3 kutwa

●● Kuongeza Nguvu za Kiume
Tafuna jani 1 kila siku kwa siku 14

●● Pia Ni Tiba kwa Presha ya kupanda ..

●●Na ni Tiba ya Malaria, Matumizi yake chemsha kunywa Mara tatu

Note: kwa Mtu mwenye pressure ya kuView attachment 3225397shuka asitumie hii
Huu unaitwa Mpatakuva au Mzungwa
Hua nachuma jani moja naliosha kwa maji ya chumvi au baking soda natafuna inatibu pia;
Maumivu ya tumbo lolote ndani ya muda mfupi baada ya kutafuna
 
Mmea Mdogo Wenye Mambo Makubwa: Utumie kama chakula dawa ili uepuke kutumia dawa kama chakula!* KIVUMBASI

1. Huu mmea umesambaa Afrika nzima kwa majina tofauti:

Kanda ya Ziwa unaitwa Lumbalumba,
Nyanda za Juu Kusini wanauita Mnunganunga, Kilimanjaro wanauita Mnyenye,
Tanga ni Luvumbampuku,
Wahaya na Wanyambo wanauita Kashwagara, Kenya ni Kivumbani,
Uganda Mjajanuka,
Burundi agacaruzo,
Kongo Tolumbalumba,
Malawi Kavavumba,
Comoro wanauita Nkadi
na wengine wanauita Mwinula yaani uinuliwe.

2. Tumia huu mmea kama chai kila siku, au tafuna tu majani yake, au weka hata kwenye mboga, gonga, faida zake ni nyingi!

3. Wasukuma wanauitumia kutibu chango za watoto wadogo. Wanyambo hutumia kutibu tumbo linalovuruga na kuuma mara kwa mara).

4. Wazee ukiwa unatumia huu mmea kama kinywaji utasahau homa zote, mafua yote.

5. Ni mmea wenye nguvu ya kimungu. Wahindi na Bara la Asia wameupa heshima kubwa.

6. Wanauita Sacred plant (Mmea Mtakatifu), Mother Medicine of Nature (Mama wa Dawa za Asili), The Queen of Herbs (Malkia wa Mitishamba), The Incomparable One (Hakuna Mmea wa Kuulinganisha Nao).

7. Mmea huu ni tiba ya kifua, kata majani yake, tafuna. Unavidonda vya koo? Chukua majani yake, chemsha, sukutua imeisha.

9. Unastress, unaonekana kuchanganyikiwa, chukua majani hata 15, tafuna utarelax.

10. Kwa matatizo ya meno, harufu mbaya ya kinywa na fizi kutoa damu, kausha majani yake, twanga, tumia unga kupigia mswaki.

11. Una mafua makali? Chuma majani yake, yafikiche, weka puani baada ya dk 15 utapiga chafya sana, mafua kwaheri.

12. Ni dawa nzuri ya kufukuza mbu. Ng’oa nzima nzima na mizizi yake, weka ndani, mbu wanakimbia. Au pia choma majani yake kwenye moto, mbu kwaheri.

13. Kiboko ni hii hapa, chukua majani ya kivumbasi, weka kwenye ndoo ya maji, fikinya humo, oga, mwili unakaa sawa..

14. Muogeshe hata mwanao kabla ya kulala uone usingizi mtamu atakaopata. Jifukize pia utaona maajabu yake.

15. Maumivu ya hedhi, hedhi haitoki kwa wakati na ikitoka inatoka kwa muda mrefu? Chukua majani yake, fikicha kwenye maji, hakikisha maji yanadilika rangi, kunywa mara tatu kwa siku kwa muda wa siku tatu kisha leta ushuhuda mbuzi nile.

16. Tiba Ya Miguu Kuwaka Moto
Chukua majani ya mti wa Mvumbasi, unguza pamoja na majani ya mti wa mnungunungu, halafu changanya na mafuta ya taa lita moja. Matumizi: Utakuwa unatumia kujichua kwenye miguu kutwa mara tatu kwa muda wa siku thelathini.

17. Lakini pia Wazee wanasema ni dawa nzuri sana ya kuondoa gesi tumboni.

18. Kama vipi, fanya kivumbasi kuwa chai yako ya kila siku, au hata juisi. Hakuna hasara. Faida ni nyingi.

19 . Hutumika kwa magonjwa ya ini, moyo na mishipa ya damu. Huua virusi vya hepatitis vyote.

20 Kwa mtu anayesumbuliwa na tumbo la hedhi upate unga wa majani tumia kwenye maji moto ni tiba nzuri mara mbili kwa siku

21. Hutibu ugonjwa wa red eye Chemsha mvumbasi changanya na majani ya mbaazi hadi maji yawe ya kijani, acha ya poe baada ya hapo nawia uso kutwa mara tatu kwa siku tatu utakaa poa

22. Kwa wanaume Chukua majani ya mvumbasi +mchai chai + Tangawizi (kata vipande) + mdalasini .. Chemsha huo mchanganyiko na ndio iwe chai yako daima usiweke sukari , Msumari wako utasoma namba.

23 . Tiba kwa mtu aliyeingiwa utomvu wa minyaa chukua mbegu zake ukipikicha na kuziweka machoni .. utomvu wote wa mnyaa utakusanywa na kutolewa nje ya macho

24. Pia kama wewe ni mfugaji wa nyuki basi mmea huu hutumika kuhamishia nyuki kupeleka sehemu nyingine unayoitaka wewe

25. Pia kama unaishi mazingira yenye mbu tumia huu mmea kufagilia uwanja , Mbu wataondoka wote , au kata mmea weka dirishani , Aisee mbu na harufu ya mmea huu n maadui sana .. utalala unono

26. Kama wewe ni Mtalamu wa Kujamba sana, tumbo kujaa gesi tumia mmea huo chemsha kunywa glas moja mara mbili kwa siku

27. Tiba ya wagonjwa wa degedege

28. Kama Unajisikia homa chuma mmea huo , Chemsha kunywa mara mbili na kuogea utapona kabisa

29. Kama unasumbuliwa na vidonda vya koo, macho, kichwa, mafua, kifua, figo chukua majani tengeneza juice kunywa glasi moja asub na Jion

30. kama kuna kuku wanaumwa umwa sana we chukua ayo majani na miti yake fanya kama fagio na ufagie mahala wanapo lala, Angalizo kuku wa mienyeji sio hawa wa kizungu .

31. Kama una shida ya kupumua tafuta huu mmea kisha safisha chemsha kunywa mara mbili kwa siku kwa mda wa siku 14.

32. una pressure ya juu chumua mmea mzima chemsha kunywa mara mbili kwa siku 14 hadi 21 nenda kapume.

33Kama unataka kutunza ngozi yako basi majani yake yafanye yawe ndio majan y chai yako kila siku

ZIPO FAIDA NYINGI SANA KATIKA MMEA HUU NDIO MAANA HUITWA HOLY BASIL (Mmea Mtakatifu).

Ngoja Nimalizie

34. mbengu zake ni dawa nzuri sana ya watu wanaotoka damu puani unachukua unanusa tu hutapata huo ugonjwa tena

35. kama una kikohozi chukua majanj yake na majani ya mbaazi tafuna kwa pamoja siku tatu nyingi.
By Dr dogoli kinyamkela

By Dr dogoli kinyamkela ☠️💀View attachment 3240204
24. Pia kama wewe ni mfugaji wa nyuki basi mmea huu hutumika kuhamishia nyuki kupeleka sehemu nyingine unayoitaka wewe
Hii unafanyaje ili kuwahamisha nyuki?
 
Mzalia nyuma na kivumbasi
Kama Kuna ugonjwa wowote ule unakusumbua basi nenda kachume miti hii miwili changanya pamoja chemsha kunywa asubuhi na jioni inshallah utapona

Nimesema ugonjwa wowote ule chemsha dawa hizo kunywa. Mwinula au kivumbasi na mzalia nyuma dawa hizi kwa pamoja zinafanya KAZI kubwa sana katika mwili wako utatibu maradhi mengi inshallah

kuna mgonjwa tunateseka nayo ila dawa zake zip polini hadi mitani mwetu au mashambani kwe
1759485462178.jpg
tu
 
POMBE NI KINGA YA UKWELI KATIKA ASILI.

Kuna maneno mazito sana katika ulimwengu wa kale: wakati babu zetu walipo tumia kinga ya ulevi kusema Ukweli. Walijua wazi kuwa
“Ukweli ni mchungu na huumiza, lakini Uongo ni mtamu lakini Huua.” karibu katika meza ya Mkushi Dr.DOGOLI KINYAMKELA ☠️💀
1759680423188.jpg
Tuangalie asili

Katika jamii nyingi za asili, watu walijua kwamba kusema ukweli mbele ya hadhira ni tendo la ujasiri, si la kawaida. Ukweli unaweza kuvunja heshima, kuumiza nafsi, au hata kuanzisha vita lakini bado ni lazima usemwe.
Sasa ili hkuusema, walihitaji kifaa cha kinga ya roho.
Mababu walibuni kinga rahisi lakini lenye maana kubwa sana tena sana kinga hii ilikuwa ni "Pombe"
Katika utamaduni wa Kiafrika, pombe ya kienyeji haikuwa kileo cha starehe bali ni kiapo cha uaminifu.
Mtu hakunywa ili kupoteza fahamu, bali ili kufungua mlango wa nafsi.
Alipotaka kuongea jambo zito "SIRI" au MALALAMIKO, au UKWELI wa muda mrefu aliokuwa ameuficha. Basi alikunywa kidogo ili moyo wake uwe mwepesi. Hii ni tofauti na mazingira ya sasa.
Kale Pombe ilikuwa dawa ya kusema ukweli bila woga.
Wenye hekima walijua sio pombe iliyokuwa ikizungumza, bali roho iliyokuwa imefunguliwa.
Hivyo basi, kama babu alikuwa na jambo alisema “Acha kwanza nikunywe kidogo kabla sijasema,” Hii ni Code ya Asili nakupa🤣 walimaanisha
“Acha nijiandae kusema ukweli niliouficha kwa muda mrefu.”.....

Kati ya Wakweli Wote Mlevi Hushika Namba Moja....

Kuna tabaka tatu za wakweli katika maisha:
Tabaka la kwanza ni Mtoto
Mtoto hasemi uongo kwa sababu hajajifunza hofu. Hata kama unatafutwa na wauwaji ukajificha na kumwambia mtoto nenda kawambie sipo. Mtoto atasema hivyo hivyo.
"Baba Amesema hayupo"😂😂

Tabaka la pili ni Mlevi
Mlevi hasemi hasemi uongo kwa sababu ameshinda hofu. Yani ni kwamba mlevi huwa haogopi hata kama Anaongea na bosi wake siku hiyo Atamchana ukweli mpaka Dunia ishangae...
Tabaka la tatu kwa siku ya leo ni Mzee mwenye busara
Wazee hawa kama Akina warioba hawasemi uongo kwa sababu anaijua thamani ya ukweli.
Watatu hawa ni walimu wa maisha.
Mtoto hukufundisha usafi wa moyo, mlevi hukufundisha ujasiri wa kusema, na mzee hukufundisha hekima ya wakati sahihi.
Ukijifunza kutoka kwao, unakuwa mtu wa ukweli katika kila hali mahala popote hata kama kutanzi kiko shingoni kwa sababu tu Umeishinda Hofu.....

Watu wengi wa leo huchanganya ulevi na upumbavu.
Lakini pombe si tatizo ila matumizi yake yasiyo na hekima ndiyo sumu.
Wababu zetu walikunywa kiasi; walikunywa ili kufikiri, si kusahau.
Walijua pombe nyingi huzima akili, lakini pombe kidogo hufungua milango ya kutafakari.

Kwao, pombe ilikuwa mbolea ya mazungumzo ya kweli.
Ilitumika kwenye baraza la wazee, tambiko, na hata mapatano ya amani.
Hapo ndipo ukweli ulizungumzwa bila hofu wala unafiki.
Walevi wa kweli waliheshimiwa kwa siri.
Mtu alipolewa na kuanza kuongea kwa sauti kubwa, watu hawakumcheka.
Walijua mlevi ni kinywa cha roho, anasema maneno ambayo akili za kawaida zimeziba.
Ndani ya maneno yake, kuna ujumbe wa kiroho, onyo, siri ya jamii, au funzo kwa vizazi.

Kwa hiyo wazee walisema:
“Mlevi akiongea, usimcheke. Tafuta maana ndani ya maneno yake.”
Kwa sababu mara nyingi, ukweli wa jamii hupatikana kwenye maneno ya walevi.

Leo hii, watu wengi wanakimbia ukweli kama ugonjwa.
Tunaogopa kusema, tunaogopa kusikia, na tunaogopa kukosolewa.
Lakini ukweli haubadiliki hata ukifunikwa kwa miaka, siku moja utatoka.
Na atakayeusema, huenda akaitwa mlevi, mwenda wazimu, au asiye na adabu. Haya ndio yamemkuta Capten Tesha

Lakini kumbuka:
Ujasiri wa kusema ukweli ni kipimo cha uhai wa nafsi.
Kama baba yangu alivyo wahi kuniambia kuwa :
“Kama mtoto wako ni mkimya kupita kiasi, mpe pombe kidogo. Asipoongea hata baada ya hapo, basi jua amezimika ndani.” yani nimsukule....

Maneno hayo ni fundisho kubwa.
Si lazima utoe pombe bali toa nafasi, toa ujasiri, toa uhuru.
Kwa sababu mtu ambaye hawezi kusema ukweli wake, amefungwa kiroho.
Siku moja, utakaa mbele ya watu na utamani kusema ukweli wako.
Utahisi hofu, mashaka, na aibu.
Ndipo utakapo kumbuka hekima hii ya kale:
Sio pombe yenyewe inayohitajika, bali kile pombe kilichowakilisha ujasiri wa nafsi.

Kwa hiyo ukihisi moyo unatetemeka kabla ya kusema ukweli,
mwambie nafsi yako:

“Leo sitalewa kwa pombe, nitalewa kwa ukweli.”

Kwa sababu ulevi wa kweli ni ule wa kusema bila woga, kusimama bila hofu, na kuishi bila unafiki.
Ndugu yangu kama umesoma mpaka mwisho na ukaelewa vizuri ninunulie bia 🍺 moja tu leo ninataka nilewe......
 
Back
Top Bottom