Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mmea ni majabu ya Mungu kwetu .

Mmea hapo kwenye picha :

🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo.
🥬Kikamba unaitwa Ithaa.
🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu.
🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu.
🥬Kimeru unaitwa Kirao au Murao.
🥬Kitaita unaitwa Mbinu au Mshua.
🥬Kiiraq unaitwa Nkharerei.
🥬Kihehe huitwa Mulimuli.
🥬Kisambaa huitwa Mzangazi.

Kuhusu matibabu :

🥬 Huo mti hutibu magonjwa ya ini...
🥬Hutibu vidonda vya tumbo. Hutibu malaria, typhoid na ameba.
🥬Hutibu kisonono. Huondoa sumu zote mwilini na kupunguza mafuta.
🥬Mtidawa huu hushusha shinikizo la damu yaani presha ya kupanda.
🥬Hutibu chlamydia. Hutibu magonjwa ya mifupa. Magonjwa yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke hutibiwa na mti huu...
🥬Mti huu humwezesha mwanamke kushika ujauzito ikiwa hajakoma hedhi.Hii hufanyika kwa kuondoa uvimbe wowote kwenye mfumo wa uzazi, ini, bandama, figo, kusafisha kizazi, kurutubisha mayai na kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito

🥬 Mti huu hurudisha mzunguko wa hedhi na kuuweka uwe sawa ikiwemo kuondoa maumivu kipindi cha hedhi...
🥬Mti huu huondoa uvimbe wa aina yoyote ndani ya mirija ya uzazi, ovari, uterus au kizazi kwa muda wa wiki tatu tuu..

NAMNA YA KUTENGENEZA

🥬Chukua majani yake. Hakikisha huchanganyi na mbegu zake. Chukua majani tuu. Chukua mengi kadri uwezavyo. Yaanike mahali safi ndani, Yasambaze kabisa. Baada ya siku tatu kama mahali hapo pana joto la kutosha (hapo ndani na siyo nje kwenye jua) yatakauka.Saga ili kupata unga laini, Waweza kusaga hata kwa kufikicha tuu kwa mkono. Ni malaini na yanasagika kwa haraka mno ikiwa yamekauka vizuri. Waweza kusaga kwa kutumia brenda pia...

NAMNA YA KUTUMIA

🥬 Isipokuwa ugonjwa wa kisonono, tumia kijiko kidogo ndani ya maji ya moto nusu kikombe cha chai asubuhi na jioni kwa muda wa week mbili. Baada ya hapo, nenda ukapime hutaona kitu.

🫐Kumbuka: Mtidawa huu utakufanya uharishe kama mara tatu kila unapokunywa. Kadri tatizo linavyoendelea kuisha mwilini, kuharisha nako kunapungua na mwisho kupotea kabisa. WagonjwaView attachment 3225379
Huu mchongoma au jamii ya mchongoma?
 
Leo nawaonjesha mtakayo yakosa kwenye group la kulipia la FUNGUA RAMANI YA MAISHA YAKO KUPITIA NYOTA Wallah mwakosa mambo mengi mazuri kwa tsh elfu 65000 yako tu na kuendelea 🙄
Embu wahi kulipia uache kuteswa na wachawi na walozi we kazi yako itakuwa kwenda maduka ya madawa ya asili tu. Uganga upo huku🏃‍♀️🏃‍♂️
 
Leo nawaonjesha mtakayo yakosa kwenye group la kulipia la FUNGUA RAMANI YA MAISHA YAKO KUPITIA NYOTA Wallah mwakosa mambo mengi mazuri kwa tsh elfu 65000 yako tu na kuendelea 🙄
Embu wahi kulipia uache kuteswa na wachawi na walozi we kazi yako itakuwa kwenda maduka ya madawa ya asili tu. Uganga upo huku🏃‍♀️🏃‍♂️
 
USINGA
Usinga ni uchawi ama ulozi unaotumika kwa ajili ya kulinda ndoa na mahusiano ya watu. Watu wengi wanafikiri uchawi huu huitwa TEGO lakini sio kweli, TEGO sio jina la uchawi, isipokuwa TEGO ni aina ya uchawi uliomo ndani ya uchawi uitwao USINGA.
Uchawi wa Usinga ni uchawi wenye nguvu sana, na nikiwa kama
mtaalamu niliye bobea katika masuala ya ulimwengu usioonekana nakushauri kufikiria zaidi ya mara mbili kabla ya kuamua kutumia uchawi wa USINGA.

AINA ZA USINGA
👉Usinga wa Siafu
👉Usinga wa Kobe
👉Usinga wa Remo
👉Usinga wa Riyama
👉Usinga wa Propola na
👉Usinga wa Kisu ( Tego )
👉Usinga wa Mkweche : Usinga wa kumfanya mwanaume anayetembea na mkeo kuwa hanithi katika siku zote za maisha yake.

Leo Sitazungumzia aina zote sita za usinga, ila nitagusia kidogo kuhusu Usinga wa Siafu . Usinga wa Siafu ni usinga hatari sana na mtu aliye tegwa kwa usinga wa siafu anaweza kupoteza maisha yake.
downloadfile-8.jpg
 
JINSI USINGA WA SIAFU UNAVYO TENGENEZWA .
Usinga wa siafu unatengenezwa kwa kutumia
🐜Siafu
🐓Jogoo aliyekomaa
🐕Kitoto cha mbwa ambacho hakina muda mrefu sana toka kizaliwe
☠️Mabaki ya mifupa ya maiti iliyozikwa kuanzia miaka ishirini iliyopita na kuendelea
🌿Majani yaliyo kaushwa ya Mti wa mfausiku
🍃Majani yaliyo kaushwa ya mti wa LUFAKALE
🪾Pamoja na miti mingine kumi na tatu ambayo siwezi kuitaja hapa kwa sababu za kitaalamu.

Jogoo aliye komaa huchukuliwa na kuwekwa kwenye kichuguu cha siafu ambapo siafu watamla na kubakiza mifupa tu. Mifupa ya jogoo itachukuliwa na kupakwa dawa maalumu kisha itahifadhiwa kwenye tunguli maalumu.
Baada ya hapo, kitachukuliwa kitoto cha mbwa ambacho hakina muda mrefu sana tangu kizaliwe na kuwekwa kwenye kichuguu cha siafu, siafu watakitafuna ki mbwa hicho na kubakiza mifupa, kisha mifupa hiyo itachukuliwa na kuhifadhiwa kwenye tunguli maalumu.
Mtaalamu kwa msaada wa jinni liitwalo Munkara ambalo ni jinni la
makaburini ataenda mapangoni au makaburini muda wa saa saba
kamili za usiku na kufanya tambiko maalumu ambapo jinni Munkara litatokea na kumsaidia mtaalamu kupata kipande cha mabaki ya mifupa ya binadamu
aliyefariki kuanzia miaka ishirini iliyopita.
Mtaalamu atachukua mabaki ya mifupa hiyo na kuihifadhi kwenye tunguli maalumu.

MTI WA LUFAKALE : Maana ya LUFAKALE ni ALISHAKUFA TANGU KALE. Lufakale ni mti wenye nguvu za ajabu sana, mbali ya kutumika kwenye usinga, mti huu hutumiwa na wachawi ili waishi muda mrefu.
Sio kazi rahisi kuyachuma majani ya mti wa Lufakale. Mtu anayeenda kuchuma majani ya mti wa lufakale anatakiwa kwanza ahakikishe upepo hauelekei katika upande aliopo wakati anachuma majani na wala hakuna mtu yoyote anaye muona.
Akikiuka masharti hayo pamoja na masharti mengine yanayo husiana na kuchuma majani ya mti wa lufakale basi mtu huyo atakufa.
Nimetoa maelezo haya ili uone ugumu wa kuchuma majani ya mti wa lufakale. Hivyo basi mtaalamu atachukua vitu vyote alivyo vihifadhi kwenye tunguli, pamoja na majani ya mti wa mfa usiku, lufakale, miti mingine kumi na moja pamoja na dawa zingine kama saba, na kuviweka kwenye chungu
kisha atakwenda porini usiku wa sita katika eneo ambalo hakuna mtu atakayeweza kumuona kisha atavichoma vitu vyote hivyo kwa pamoja hadi viwe unga unga kisha atauchukua huo unga na kuihifadhi kwenye tunguli maalumu pamoja na uzi wa usinga kwa muda wa siku saba. Baada ya hapo atautoa usinga, kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kiulozi ikiwemo katika kulinda mahusiano na ndoa za watu.

JINSI USINGA UNAVYO FANYA KAZI :
Kama kuna mtu anamchukua mke wako, basi utachukua usinga na kunuiza na kuutegesha mlangoni kwako, mke wako akisha vuka tu tayari unakuwa umeshamshika.
Mwanaume atakaye tembea na mke wako, akishamaliza tu kufanya naye tendo la ndoa, atarudi nyumbani kwake vizuri lakini akifika tu mlangoni kwake atadondoka na kuanza kuugua na anaweza hata kupoteza maisha yake.
Mwanaume yoyote yule hatakiwi kumsogolea au kumshika mke wako kwa namna yoyote ile isipokuwa wewe tu.

UTAJUAJE KAMA USINGA UMEMSHIKA MKE WAKO
Ili kujua kama usinga umemshika mke wako, tega kitu chochote cha chuma, mkeo akikiruka tu hicho kitu kitapasuka. Kitu hicho kikipasuka basi ujue huo usinga umemshika na mwanaume yoyote yule hatomgusa.

Leo niishie apa wakuu jameni 😂😂😂😂😂 mkiitaji masomo zaidi kalibuni sana chuoni kwetu🙏🏽
downloadfile-9.jpg
 
Mizizi ya Psidium guajava (guava) —bonge moja la dawa za nguvu za kiume, mwanamke wako akiwa mzembe lazima akimbie kitandani.

Mdharau asili hufa kikatili
1754637548567.jpg
 
IKIWA unamfahamu mwanamke ambaye yupo katika miezi ile 9 ya kukaribia kujifungua na anapata tabu ya kujifungua.

Tafuta mmea unaitwa SIDA ACUTA AU STUBBORN PLANT,

Chuma mimea ya kutosha, safisha vizuri kwa maji ya chumvi kuondoa uchafua na wadudu .

Ongeza maji kidogo Chemsha na umpe mwanamke anywe kikombekimoja kutwa mara mbili.

Au

Blendi majani kwa mashine upate juisi yake kisha umpe anywe glasi moja mara mbili kwa siku kila siku hadi atakapoenda kujifungua.

Mtengenezee dawa dawa hii zaidi akiwa katika ile miezi tisa ya kujifungua . Atajifungua salama bila matatizo yoyote.

Nifollow
1754727682391.jpg

Asili huponya
 
Mwanaume kama unataka kuongeza wingi wa mbegu, chemsha hii pamoja na nyanya chungu. —Kunywa supu yake siku tatu tu moto unawaka🔥

Mdharau asili hufa kikatili
1754728020563.jpg
 
Wapendwa sijasahau kuleta somo kuhusu huu mmea wa “Thevetia peruviana” nimetingwa na majukumu ya kiofisi — Hivi sasa nataka niwamegee kadogo tu kuhusu huu mmea.

Utafiti uliofanyika huko America ulibaini kuwa majani ya Thevetia peruviana yana misombo ya“flavanone glycosides” na “flavonol glycosides” yenye uwezo wa kuzuia virusi vya UKIMWI (HIV-1), hasa kwa kuzuia “reverse transcriptase” na “Integrase ya virusi”

Kuna watu wanadhani mimi ni mganga njaa wa mitandaoni —lahasha huku nimejitolea tu kuwapa elimu ya tiba, muda mwingi niko na wagonjwa hapa physically nawahudumia.

Note: Ukitaka kujua mimea gani ya kuchanganya na majani ya huu mmea ili kufuta kabisa HIV basi nitafute —aloo usije mikono mitupu. Mwisho wa kunukuu.

Endeleeni kuweka Likes za kutosha nawaleta mambo mazito ambayo hamkuwahi muyajua.

Mdharau alili hufa kikatili
1754767839986.jpg
 
“Sida cordifolia” —ndilo jina lake kisayansi, maarufu kama Country Mallow, ni mmea wa kudumu wa familia ya Malvaceae. Katika tamaduni za Kihindu, mmea huu umehusishwa na mungu wa uzuri Parvathy, na unaheshimika kwa uwezo wake wa kuongeza mvuto wa ngozi na mwonekano.

Katika tiba za asili, mmea huu umetumika kwa madhumuni mbalimbali ya kiafya, ikiwemo:

  • Pumu ya mzio (allergic asthma)
  • Mafua ya kawaida
  • Kupunguza uzito
  • Pumu ya mapafu (bronchial asthma)
  • Kifua kikuu (TB)
  • Homa ya mafua ya nguruwe (swine flu)
  • Kuziba kwa pua
  • Maambukizi ya njia ya mkojo
  • Kikohozi na kubanwa na kifua
  • Vidonda kwenye kinywa
  • Rheumatism ya kudumu
  • Kuongeza msisimko wa kingono
  • Kutokwa na uchafu ukeni
  • Ganzi ya mwili
  • Mivurugo ya misuli
  • Uvimbe (tumors)
  • Vidonda vya ndani

Matumizi.
Chemsha mizizi yake, na kunywa kikombe cha chai.
Saga juisi fresh ya majani, tumia kunywa kikombe kidogo asubuhi, mchana na jioni.

Mdharau asili hufa kikatili

Kalibuni chuoni kwa tiba asili za Africa
IMG-20250810-WA0458.jpg
 
Back
Top Bottom