Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Huu mmea umeupanda nyumbani kwako alafu ndugu yako akaanguka na kuzimia iwe kwa presha au kwa mshtuko wa moyo—usianze kulia lia, haraka sana chukua utomvu wa majani ya thevetia peruviana, mwekee matone kadhaa puani atazinduka haraka mno!

Mdharau asili hufa kikatili
1754023683281.jpg
 
Najua huu mmea ukikuta umeota shambani kwako au nyumbani kwako utaukata na kuutumbilia mbali, kwa sababu haujui kama ni dawa muhimu zaidi katika tiba za jadi. —kisayansi unajulikana kama “Cucumis dipsaceas” maarufu kama arabian cucumber au hedgehog cucumber, ni mmea kutoka familia ya cucurbitaceae.

Ni mmea bingwa kabisa wa kutibu mawe kwenye nyongo (gallstones) na kutibu homa ya ini. Wekeni Likes za kutosha nawaletea faida zake nyingine.

Mdharau asili hufa kikatili
1754125321409.jpg
 
“Corn silk”— ndevu za mahindi, hizi ni nyuzi laini zinazotoka juu ya ganda la mahindi. Zimekuwa zikitumika sana katika tiba za jadi, hapa nakuwekea faida zake kiafya.

💥Zinatibu maambukizi ya njia ya mkojo (UTI)
Ndevu za mahindi zina sifa ya kupunguza uvimbe na kusaidia kutoa bakteria kwa njia ya mkojo.

💥Zinapunguza shinikizo la damu (BP)
Inaweza kusaidia kupunguza shinikizo la damu kwa kuondoa chumvi na maji kupita kiasi mwilini.

💥Zinasaidia afya ya figo
Hutumiwa kusaidia kutibu mawe kwenye figo na kuboresha utendaji wa figo.

💥Zinaondoa sumu mwilini (detox)
Hufanya kazi kama diuretic (huchochea kukojoa), hivyo kusaidia kusafisha mwili.

💥Zinapunguza kiwango cha sukari mwilini
Zinaweza kusaidia kuleta usawa wa sukari kwa wagonjwa wa kisukari (Diabetes - Type 2).

💥Husaidia matatizo ya kibofu
Hutuliza muwasho wa kibofu na kusaidia watu wenye matatizo ya kushindwa kutoa mkojo kwa mpangilio (vikojozi)

Namna ya kutumia:
—Chemsha ndevu za mahindi kwa dakika 15.
—Tumia maji hayo kama chai mara 2 kwa siku.

Mdharau asili hufa kikatili
1754149748581.jpg
 
KUMFUNGA MTU(MAPENZ,BOS,MFANYAKAZI,NDUGU) HATA KAMA YUPO NCHI ZA MBALI

Dawa Ya kumfunga mtu hata kama yupo mbali chukua Mwosya nkonko unga wake chukua shanga nyeusi hesabu moja moja hadi zifikie 50 chukua sindano ndogo ndogo ziwe 100 halafu tafuta manyoa ya kanga 2 tafuta na halua kisha mwembe mkubwa halafu uwe na kachungu kadogo kapya

Matayalisho baada ya kutayalisha dawa hizo

Unapofika kwenye mwembe piga hodi ×3 ukishamaliza kupiga hodi chukua manyoa ya kanga 2 kisha na halua muite shetani kuwa nimekuletea zawadi hizi natambua ndicho chakula unachokipenda sana weka chini kwenye shina

Hatua inayofuata chimba shimo chini ya mwembe linalolingana na chungu
Hatua inayofuata tayalisha shanga hizo nyeusi mwaga kwenye kalatasi nyeupe kisha weka udongo wa kabuli na mwosya nkoko hapa unachanganya udongo wa kabuli na mwosyankoko sasa uwe na toch mana shughuki hii hufanyika saa tano usiku tunga shanga kwa kila sindano kisha nuwiza ninafunga fulani hapo kwenye manuizo unanuiza jinsi mteja anavyotaka au wewe mfanyaji unavyotaka kuhusu mtu unayekusudia iwe kuhama ama mapenzi au awachane na mwenzie ni wewe kumbuka kila ukichukua shanga na sindano na kuweka kwenye mchanganyiko wa mwosya nkoko na udongo wa kabuli unanuia hadi zinakwisha kisha chukua kitambaa cheusi funga udongo wa mchanganyiko wake weka ndani ya shimo halafu chukua chungu funika funika huku unanuiwa kuwa ninamfunika fulani basi kuanzia hapo utakua umemfunga iwe mwanaume au mwanamke hata bosi basi hawezi kukugombeza. Dawa hii inafunga jambo lolote lile hivyo
Kupiga cm
 
Mwogeshe mtoto mmea wa SIDA ACUTA uone atakavyokuwa akiwa mwenye nguvu na imara .

Asili huponya
IMG-20250803-WA0057.jpg
 
Unayajua haya majani? Haya nawapa faida wale watu wenye kusumbuka na maradhi yaliyoshindikana.
Chuma hayo majani kiasi cha kutosha kata mizizi yake pekee iwe mingi ya kutosha. Kisha isafishe hiyo mizizi kwa kutumia chumvi ili kuondoa vijidudu.
Chukua ndimu 7 kata katikati jumla utapata vipande 14
Toka nje tafuta jiwe gumu sio haya mawe ya cement jiwe asilia nalo lisafishe vizuri na maji yenye chumvi liwe safi.
Baada ya hapo chukua maji lita 2. Yaweke kwenye sufuria uyachemshe pamoja na madawa yako namaanisha mizizi,ndimu na jiwe lako mpaka yabaki lita 1. Ipua na uache mchanganyiko wako upoe kisha tumia kunywa kikombe 1×2. Ikiisha chemsha nyingine kwa muda wa wiki moja.
Hii dawa haijawahi kushindwa ugonjwa wa aina yeyote ile hata uwe sugu namna gani nikisema namaanisha tumieni mje mlete mirejesho humu. Uganga ni kujua miti na
IMG-20250804-WA0009.jpg
tiba.
 
SARATANI YA MATITI NA UVIMBE

Saga upate unga wake pamoja na unga wa tangawizi. Tengeneza rojorojo yake weka kwenye vidonda vya saratani.

Usizielmeze hizi mbegu.

Asili huponya
IMG-20250804-WA0025.jpg
 
KWA MATATIZO YA WANAWAKE IKIWEMO KUTOSHIKA UJAUZITO.

Nimeulizwa swali leo :

Samahani kaka dawa ya tumbo kwa mwanamke kutoingia kwenye siku zake ni ipi??

Jibu

Tafuta huu mmea unaitwa Cassia didymobotrya na

Kisukuma unaitwa Mjorwambogo.
Kikamba unaitwa Ithaa.
Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu.
Kijaruo unaitwa Ovino au owinu.
Kimeru unaitwa Kirao au Murao.
Kitaita unaitwa Mbinu au Mshua.
Kiiraq unaitwa Nkharerei.
Kihehe huitwa Mulimuli.
Kisambaa huitwa Mzangazi.

Mmea huu ni dawa kwa matatizo yote ya wanawake hasa yanayosababisha wao kutibeba mimba!! Unga wake unauzwa wasiliana matenyulad@gmail.com

Nyongeza ya matibabu :

■ Huo mti hutibu magonjwa ya ini.
■ Hutibu vidonda vya tumbo.
■ Hutibu malaria , typhoid na ameba.
■ Hutibu kisonono.
■ Huondoa sumu zote mwilini na kupunguza mafuta.
■ Mtidawa huu hushusha shinikizo la damu yaani presha ya kupanda.
■ Hutibu chlamydia.
■ Hutibu magonjwa ya mifupa.
■ Magonjwa yote ya mfumo wa uzazi wa mwanamke hutibiwa na mti huu.
■ Mti huu huondoa uvimbe wa aina yoyote ndani ya mirija ya uzazi, ovari, uterus au kizazi kwa muda wa wiki tatu tuu.
■ Mti huu humwezesha mwanamke kushika ujauzito ikiwa hajakoma hedhi.
■ Mti huu hurudisha mzunguko wa hedhi na kuuweka uwe sawa ikiwemo kuondoa maumivu kipindi cha hedhi.

■■Namna ya kutengeneza■■

1. hukua majani yake.
2 .Hakikisha huchanganyi na mbegu zake.
3.Chukua majani tuu.
4.Chukua mengi kadri uwezavyo.
5. Yaanike mahali safi ndani.
6. Yasambaze kabisa.
7.Baada ya siku tatu kama mahali hapo pana joto la kutosha(hapo ndani na siyo nje kwenye jua) yatakauka.
8. Saga ili kupata unga laini.
9.Waweza kusaga hata kwa kufikicha tuu kwa mkono.
10 . Ni malaini na yanasagika kwa haraka mno ikiwa yamekauka vizuri.
11. Waweza kusaga kwa kutumia brenda pia au mashine maalumu za kusaga majani makavu .

■■ Kwa kuondoa :

■vimbe wowote kwenye mfumo wa uzazi,
■ Tatizo la ini, bandama na figo
■ Kusafisha kizazi, kurutubisha mayai na kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito n.k

Isipokuwa ugonjwa wa kisonono :

Tumia kijiko kidogo ndani ya maji ya moto nusu kikombe cha chai asubuhi na jioni kwa muda wa wiki mbili. Baada ya hapo, nenda ukapime hutaona kitu.

Kumbuka:

■■ Mtidawa huu utakufanya uharishe kama mara tatu kila unapokunywa. Kadri tatizo linavyoendelea kuisha mwilini, kuharisha nako kunapungua na mwisho kupotea kabisa.

■■ Wagonjwa wa kisonono,kaswende na chlamydia watumie unga wa mizizi yake pamoja na maji ya mizizi ya papai dume watengeneze chai yake .

Angalizo :

■■ Kwa wasiotaka kubeba ujauzito, tahadhari kubwa ichukuliwe , hii ni pamoja na kutokushiriki tendo la ndoa kipindi cha ovulation (yaani siku za hatari) maana husababisha kubeba ujauzito.

Angalizo mhimu :

■■ Watoto chini ya miaka 10, wajawazito, wanaonyonyesha na wenye shinikizo la chini la damu hawaruhusiwi kutumia mtidawa huu.

Asili huponya
1754338455966.jpg
 
TIBA KWA NJIA YA KUNYWA MAJI YA UVUGUVUGU(WARM WATER THERAPY !!)

Utajitibu :

1 Kipandauso

2 Presha ya chini.

3 Presha ya juu

4 Maumivu ya viungo

5 Tatizo la kuongezeka na au kupungua kwa mapigo ya moyo

6 Kifafa

7 Tatizo la kikohozi

9 Kujisikia vibaya mwilini

11 Pumu

12 Kikohozi kikavu

13 kupasuka kwa mishipa (Blockage of veins)

14 Matatizo yahusuyo Kizazi na mkojo

15 Matatizo yahusuyo tumbo

16 Kukosa hamu ya kula

17 Matatizo yahusuyo macho ,masikio na koo.

18 Maumivu ya kichwa

NAMNA YA KUTUMIA TIBA HII.

Kila unapoamka kunywa glasi mbili za maji ya uvuguvugu kwenye tumbo wazi yani kabla hujaweka chochote tumboni. Najua ni ngumu lakini jikaze.

KUMBUKA : Baada ya kunywa hayo maji usile wala kuweka chochote tumboni mpaka zipite dakika 45 .

Baada ya mfululizo wa dawa hii :

✔ Kisukari kitatoweka ndani ya siku 30

✔ Tatizo la presha (ya juu au ya chini) litatoweka ndani ya siku 30 .

✔ Matatizo ya tumbo yatatoweka ndani ya siku 10

✔ Aina zote za saratani zitatoweka ndani ya miezi 9

✔ Tatizo la kupasuka kwa mishipa ( Blockage of veins ) ndani ya miezi 6

✔ Kukosa hamu ya kula ndani ya siku 10 .

MAJI YA BARIDI SI MAZURI KWA AFYA YAKO.

Kama maji ya baridi hayajakuathiri katika umri wa ujana basi yatakuathiri katika umri wa uzee.
Maji ya baridi ni chanzo kikubwa cha Matatizo ya moyo.

Huathiri pia ini ,hufanya mafuta ya fati kurundikana kwenye ini pamoja na matatizo mengine mengi.

Ingelikuwa heri leo tukaachana na maji ya baridi.

Mungu akubariki na uwe na siku njema yenye kheri .

Usisahau kunifollow.

Asili huponya
1754338754314.jpg
 
NAMNA YA KUONDOKANA NA UTUMWA WA SIGARA

Mambo 9 yanayotokea baada ya kuacha kuvuta sigara:

📌 Dakika 20:
mapigo ya moyo yanaanza kushuka na kuelekea kwenye uwiano unaotakiwa

📌 Masaa 8 – 12:

Sumu au hewa chafu ya Carbon monoxide inaanza kupungua kwenye damu na hewa safi au Oxygen inaanza kupanda

📌 Masaa 48:

Neva zilizokuwa zimeharibika zinaanza kurudia hali ya kawaida na kuboresha kusikia harufu na ladha kuongezeka.

📌 Wiki 2 mpaka miezi mi 3:

Mzunguko bora wa damu kuongezeka,

Shinikizo la damu kupungua,

Pia kuongezeka utendaji bora wa mapafu

📌 Miezi 9:

Kuongezeka kiwango cha nguvu zako,

Kupungua kiwango cha pumzi fupi

Kupungua kukohoa

📌 Mwaka 1:

Kiwango cha hatari cha magonjwa ya moyo kupungua.

Kama ujuavyo ukifika miaka 60 hatari ya kufa kwa magonjwa ya moyo huwa mara 10 zaidi kuliko mtu ambaye havuti sigara

📌 Miaka 5:

Hapa hatari ya kiharusi (Stroke) imepungua kwa kiwango kikubwa

📌 Miaka 10:

Hatari ya saratani ya mapafu inakuwa imepungua na unakuwa sawa na ambaye hajawahi vuta sigara kabisa

📌 Miaka 15:

Hatari ya magonjwa ya moyo inakuwa sawa na mtu ambaye hajawahi kuvuta sigara kabisa au kwa maana nyingine inakuwa chini sana.

📌 Jipende na kuwapenda uwapendao kwa kutupa kipisi cha sigara leo.

Hakuna linaloshindikana ikiwa tu una nia thabiti.

TIBA YA KUACHA KUVUTA SIGARA

Kuacha Kuvuta sigara

Chukua Majani ya mpasheni kisha chemsha kwa dakika 15-20 na kunywa Kikombe kimoja cha chai mara mbili kwa siku Kila siku .

Hamu ya kuvuta sigara itaanza kuisha .

Itaondoa Hali ya kutegemea Kuvuta sigara pasipo kuisha pia itasafisha mapafu na kuzuia haja ya uvutaji wa sigara na kuupatia mwili Afya Yako

Asili huponya
1754339235872.jpg
 
Faida za tendo la ndoa kiafya kwa walioolewa.

  • Kufanya sex kunasaidia kuzuia saratani ya kizazi.
  • Kufanya sex kunazuia kuziba kwa mirija.
  • Kufanya sex kunapunguza mafuta mwilini.
  • Kufanya sex kunapunguza calories.
  • Kufanya sex kunapendezesha ngozi kwani mishindo 2 ni sawa na kukimbia umbali wa .0.6km za urefu hivyo ni mazoezi.
  • Kufanya sex kunachochea usingizi.
-Kunapunguza stress
-Kunapunguza hasira na ufanisi kazini.

Asili huponya
1754378955686.jpg
 
KITUNGUU SAUMU KINA MSAADA UPI KWA WANAUME

Mda huu ngoja nikupe mbinu rahisi ya kuvikojo*** vitoto vya 2000 kirahisi kabisaa😅😅😅😅

Kitunguu saumu kina ALLICIN, kiambata kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.

Sifa kuu za kitunguu saumu zinazokifanya kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini ni kuwa na viasili kadhaa ambavyo vina uwezo tofauti tofauti.

Baadhi ya viasili hivi husaidia kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation, kwa lugha ya kiingereza) kwa kubadilisha polysulphides zilizo ndani yake kuwa hydrogen sulphides kwenye seli nyekundu za damu.

Pia, kitunguu saumu husaidia kuthibiti kiwango cha kemikali iitwayo homocystine
mwilini na hivyo kupunguza madhara ya kisukari. Kitunguu saumu kina allicin , kiambato ambacho husaidia mwili kuwa na mzinguko mzuri wa damu hadi kwenye viungo vya uzazi.

Kuwa na damu ya kutosha katika uume husababisha hiki kiungo kusimama na hivyo kustahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu.

Jinsi ya kukitumia.
Asubuhi chukua punje nne hadi sita kisha meza kama unavyomeza vidonge kwa kusukumia maji au unaweza kutumia maziwa ya mtindi.... fanya hivyo pia kabla ya kulala.

N.B kitunguu saumu sishauri ukitumie kama wewe ni mgonjwa wa presha ya kushuka.

Pia kwa wanaume, ikiwa unahitaji kuwa unstoppable katika tendo la ndoa zingatia au ongezea hivi vitu kwenye ratiba yako ya siku ili uone utamu wa kuwa kidume zaidi.
By Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀 ☠️ sinaga kazi mbovu 😂 😂 🏃🏽‍♂️ 🏃🏽‍♂️
downloadfile-7.jpg
 
Back
Top Bottom