Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Hii ndo mida wanandoa 😃 msisahau kunywa maji mengi pia, halafu ukifunga goli la kwanza tafuta sababu ya kuoga au kupoza mashine kwa kuisafisha kwa maji baridi... Mbinu hizi ndogo ndogo zitumie huku ukiendelea na program ya kumaliza tatizo kabisa, kama huna mwongozo wa mlo, mazoezi na kuandaa dawa, nimekuachia apo chini 👇🏽👇🏽

Hakuna kisichowezekana, ukiamuaa

Kama una hofu ya 🍆 kuzima njiani fanya hivi, Lisaa limoja au nusu saa kabla ya tendo, Chukua tangawizi kipande, punje 3 za vitunguu saumu, tango 1, kitunguu maji 1

Safisha na katakata viambata hivyo, weka kwenye blenda, utaongeza maji glass 1 na utasaga ili kupata juisi

Utachuja na itakuwa tayari kwa matumizi, kumbuka unatumia nusu saa au lisaa kabla ya tendo

Hiki ni kinywaji kizuri kwa wanaume wanaokosa hisia na kufeli kurejea kwa haraka baada ya bao la kwanza

Kama umeathiriwa na upigaji punyeto, nenda utafute Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja, Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], Unga wa msamitu vijiko nane, Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.

Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.

Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari.

Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6, itakuwa tayari kwa matumizi

MATUMIZI:
Utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala

Nikukumbushe kwamba hii tiba yako ni kwa ajili ya changamoto zako zote za upungufu wa nguuuvu za kiume
Kuanzia kwenye kuongeza wingi na ubora wa manii, kuondoa athari zilizotokana na upigaji punyeto na kuongeza kiwango cha msisimko ktk tendo la ndoa.

Unaweza kutumia Tiba Asili ambayo tumekuandalia Tayari

Ni ya kunywa, unatumia vijiko vitatu asubuhi na vijiko vitatu usiku

Dozi unaipata kwa ofa Tsh 54,000 tu (Unaletewa bure / free delivery popote uli
IMG-20250614-WA0061.jpg
po)

Wasiliana nasi 0625535964
 
Banana Lemon Ginger Smoothie 🫚 😋

Ingredients:
1 ripe banana
1/2 lemon (juiced)
1/2 tsp fresh grated ginger
1/2 cup Greek yogurt (optional for creaminess)
1/2 cup water or almond milk
Ice cubes (optional)
Lemon zest (for garnish)

Instructions:
1. Add banana, lemon juice, ginger, yogurt, and liquid of choice to a blender.
2. Blend until smooth.
3. Add ice cubes and blend again if you prefer a colder smoothie.
4. Pour into a glass and top w
IMG-20250618-WA0115(1).jpg
ith lemon zest.
 
🥦 Healthy Foods That Heal: Eat for the Body You Love
👁️ Carrot → Eyes
Boosts vision & prevents night blindness.

🫘 Beans → Kidneys
Supports kidney health & provides fiber.

🍇 Grapes → Lungs
Improves lung function & fights infections.

🫚 Ginger → Stomach
Aids digestion & soothes nausea.

🍠 Sweet Potato → Pancreas
Balances blood sugar naturally.

🥑 Avocado → Uterus
Supports hormones & fertility.

🥬 Beet → Liver
Detoxifies and cleanses the liver.

🍋 Citrus → Breasts
Boosts immunity & protects tissue.

🧠 Nuts → Brain
Sharpens memory & brain power.

🍅 Tomato → Heart
Lowers blood pressure & protects the heart.

🌿 Spinach → Muscles
Builds strength with iron.

🍍 Pineapple → Joints
Reduces inflammation and pain.

❤️ Final Tip:
Color your plate, fuel your body! A few smart bites each day can keep your whole system strong and thriving. 🌈🥗
 
IMG-20250618-WA0116.jpg

The Drink That Could Empty Hospitals in 2025: A Natural Remedy for Diabetes, High Blood Pressure, and Even Cancer – Without Medication
IMG-20250618-WA0117.jpg
 
Best and satisfying dippers- appetizers!

GUACAMOLE
2 large hass avocados
1/2 red onion diced
1 jalapeños diced
2 limes-juice
1/4 cup fresh diced cilantro
1 garlic cloves minced
Salt and pepper to taste

MANGO SALSA
2 mango diced
2 jalapenos diced
1/3 red onion diced
1/4 cup cilantro chopped
2 limes- juiced
Salt and pepper to taste

SHRIMP CEVICHE
2 cups cooked shrimp
3 fresh lime juice
2 Roma tomatoes, diced
1 medium red onion, diced
2 medium jalapeno, diced
1/4 cup cilantro, chopped
Salt and pepper to taste

PICO DE GALLO
4 tomatoes
2 jalapenos
1 lime
1/2 onion diced
1/4 cup cilantro
1 clove garlic
Salt and pepper

AVOCADO TOMATO SALAD
2 avocados diced
1 cup grape tomatoes sliced
1 cup cooked shrimp sliced
1/4 cups fresh cilantro
2 limes- juiced
1/2 red onion diced
1
IMG-20250618-WA0118.jpg
/4 teaspoon salt
Dash of ground black pepper
 
Na dawa yakusaidia kutokutema tema mate ni ipi ? Jinsia yangu ni Me
Asante kwa kuuliza! Kutema mate mara kwa mara (kutokwa na mate kupita kiasi au hypersalivation) inaweza kusababishwa na sababu mbalimbali kama:

✅ Matatizo ya meno au fizi (gum diseases)
✅ Maambukizi kwenye mdomo au koo
✅ Athari za dawa fulani unazotumia
✅ Matatizo ya mfumo wa neva (mfano: Parkinson’s disease)
✅ Vidonda vya koo au mdomo
✅ Minyoo (hasa kwa watoto, lakini inaweza kuwa sababu kwa watu wazima pia)

💊 Hakuna dawa moja ya moja kwa moja kwa kutema mate bila kujua chanzo. Tiba inategemea sababu. Baadhi ya njia za awali:

Ukipata minyoo, daktari anaweza kupendekeza dawa za minyoo (albendazole, mebendazole).

Ukiona dalili za maambukizi ya fizi au meno, tembelea daktari wa meno kwa matibabu sahihi.

Ikiwa ni athari ya dawa unazotumia, muone daktari aangalie kama dawa zinaweza kubadilishwa.

Kama ni tatizo la mfumo wa neva, daktari ataweza kupendekeza dawa maalum kama glycopyrrolate au scopolamine (lakini hizi hutolewa chini ya uangalizi).

💡 Ninapendekeza:
👉 Tembelea kliniki au hospitali ili daktari akuchunguze vizuri ajue chanzo.
👉 Wakati unasubiri, epuka kula vyakula vya tindikali sana (mfano: limao) na zingatia usafi wa mdomo.

Kama unataka, unaweza kueleza zaidi:

Umekuwa ukitokewa na hali hii kwa muda gani?

Una dalili zingine (maumivu, vidonda, kikohozi)?

Unatumia dawa zozote kwa sasa?

Niko hapa kusaidia! 😊
 
Ndoyo k

Niko hapa kusaidia!

Kabla yakutumia dawa ya minyoo aina mabendazo ,sikuwahi kuwa kwa khali hii ila nilivyoanza kutumia ndo mate yakawa yananisumbua ila tangu nimalize doze hii juzi naona tatizo limepungua but nimekosea kutumia limao jioni ya leo ,sababu nilikuwa napenda kutumia Limao majira ya jioni kwa ajili ya kusafisha sumu mwilini . , mdomoni sina maambukizi ya aina yoyote ile sababu sisikii maumivu sehemu yoyote ile .
 
Kunywa kikombe cha chai cha mizizi ya migomba iliyochemshwa pamoja na tangawizi mara mbili kwa siku hutibu kabisa tatizo la kuwahi kumwaga manii kabla ya wakati wake pamoja na tatizo la kukosa nguvu za kiume (premature ejaculation and erectiledysfunction) .

Maandalizi ya tiba hii hukufanya udumu kwa muda mrefu katika tendo la ndoa kuliko unavyofikiri.

Asili huponya .
View attachment 3225440
Hii mwansmke akinywaa si itakuwa balaa kuja kumaliza/kukoj.....
 
Makweme— Siri Asilia ya Nguvu za Kiume...!🍆💦

Kutoka milima ya Urugulu, Nakuletea hazina ya asili "Makweme"

Yanachomwa, yanabanguliwa… ladha tamu kama karanga..

Mafuta yake..? Mazuri sana kwa afya ya uzazi na kuongeza nguvu za kiume..

Hii si dawa, Ni urithi wa mababu, nguvu ya asili afya ya kudumu...

NB: Usisubiri kuambiwa, Rudi kwenye asili, Rudi kwenye Makweme, Almonds, Korosho na Kar
IMG-20250619-WA0242.jpg
anga....💪
 
Hii ni Siri Asilia Itakayokushangaza...kwenye afya yako ya uzazi....

Sahau vidonge BOOSTER na madhara ya muda mrefu.

Kuna njia ya asili, salama na yenye matokeo halisi— Ambayo inatokana na lishe bora na mabadiliko ya tabia.

🥜 Karanga Mbichi
🌰 Almonds
🥥 Korosho
🎃 Mbegu za Maboga
🍯 Tende

Nafaka na mbegu hizi zimejaa madini ya Zinki kwa zaidi ya 78%...

Na mwanaume mwenye afya ya uzazi bora huhitaji kiwango kikubwa cha zinki kila siku ili kuimarisha testosterone, ubora wa shahawa, na nguvu za kiume kwa ujumla...

Kwa Nini Utegemee Viagra?

Na wakati unajua fika madhara yake ya muda mrefu ni makubwa mno kichwa kuuma, presha kupanda, utegemezi wa akili na mwili…..

Fanya hivi badala yake...

↳ Chukua viambato vyote hapo juu

↳ Vichanganye kwa ku-blend na maziwa fresh (yasiyo na sukari)

↳ Usiongeze sukari ni bora kuweka asali...

↳ Kunywa glasi moja kila jioni baada ya kufanya mazoezi ya Kegel...

NB: Mabadiliko utaanza kuyaona ndani ya siku 15 tu..

Utaanza kuhisi nguvu, msisimko
1750360759772.jpg
wa asili, na kujiamini tena...👊
 
Mchanganyiko wa tangawizi, limao na tangawizi umewahi kuutumia? Ulikusaidia nini?

Dondoo ya leo 👇🏼 ichukue kama itakufaa

Tangawizi kipande na punje 10 za kitunguu saumu, saga au twanga. Chukua maji nusu lita, mix na mchanganyiko wako na uchemshe kwa dakika kadhaa kisha ipua na kuchuja. Ikipoa kamulia limao kidogo na tia asali, binafsi napenda kuchemsha tangawizi na kitunguu saumu kisha baada ya kuipua nakamulia limao na kutia asali wakati wa kuinywa

Kunywa glass moja asubuhi na usiku baada ya mlo wako, kila siku kwa wiki angalau 3 ulete majibu. Hii ni moja ya tiba kama umeanza kuwa na tatizo la nguvu za kiume haswa wale ambao mishipa ya damu kwenye uume imejaa mafuta, inayopelekea uume kushindwa kusimama vizuri, wenye shida za mafua ya mara kwa mara, vitambi, sumu nyingi mwilini, matatizo ya vivimbe kwenye kizazi n.k

Tahadhari, usitumie njia hii kwa una matatizo ya presha ya kupanda, madonda ya tumbo, wajawazito na wenye shida ya acid reflux

Kwa tunaohitaji kujiweka fit kwenye tendo la ndoa itapendeza sana pia ukiwa mtu wa kufanya zoezi la kegels (angalau reps 50+ kwa siku)

Mwongozo wa kutibu tatizo la nguvu za kiume kwa ndugu zangu mnaowahi kumwaga haraka na kushindwa kuendelea na mechi.

Kwa kesi kama hiyo mhusika unakuwa na tatizo la Vessels loosen up /mishipa ya damu kutanuka na zinakuwa dhaifu, zinashindwa kubana kuzuia manii kutoka, yaani wazungu wakianzisha safari kutoka kwenye balls unakuwa huwezi kuwazuia

Ili kuwa na uwezo wa kuimarisha misuri hii, kwanza jenga mazoea ya kufanya mazoezi ya Kegels walau reps 50+ kila siku ndani ya mwezi lazima utaona changes

Pia jenga mazoea ya kupata vyakula vya kuimarisha misuri na msukumo wa damu, na mara kadhaa nawaandikia, kitunguu saumu, karafuu, tangawizi, karanga, dark chocolates, kahawa, habat soda (rejea somo hadi mwisho)

Msitawaliwe na uoga haya mambo yanatulika

Muhimu wakati mnatafuta kuwa imara tena msitumie msosi ya kutiwa mafuta mengi, pombe, sukari nyingi katika milo au vinywaji acheni au punguza kisha jiamini kwa kuchukua hatua ndogo ndogo kila siku, everything's gonn' be alright

Kama umepiga sana punyeto miaka ya ujanani na umeanza kuona madhara yake au bado hujaanza kuyaona, nakushauri kuwa na ulazima wa kufanya zoezi hili kila siku walau mara 50 au zaidi ili kuimarisha misuri inayoshikilia uume wako kusimama imara na kuzuia / kuruhusu mbegu kutoka

Wengi wa wahanga wa kupiga punyeto ni kumwaga mapema tena ndani ya sekunde kadhaa kwa sababu ya udhaifu wa misuri, hata ujizuie vipi unajikuta umeachia wazungu tu

Jipe siku 30 za kujiimarisha kupitia hili zoezi

Kama unaona hata hamu ya kufanya tendo imepungua au hujiskii kufanya tendo baada ya kumwaga au unaposhiriki bao la pili inakuchukua muda mrefu kumwaga au wazungu hawatoki kabisa, nakushauri kupata mlo wenye madini ya zinc kwa wingi ili kuongeza kiwango cha uzalishwaji wa homoni ya kiume

Katika kutibu changamoto hizi mwanaume jitahidi kuweka hofu pembeni, ili uweze kuwa imara, inafaa sana kuzingatia sana ulaji wako na kuhakikisha jogoo lako linaweza kusimama imara bila kuwa legevu ili kupenyeza katika uke na kurusha manii mbali kwenye kizazi.

Mwanaume | Unahitaji sana Madini Ya Zinki hasa kama unaona mambo ya chumbani hayaendi vizuri,

Unaweza kuandaa hii lishe kama una brenda

Mahitaji ni Karanga Mbichi, Almonds, Korosho, Mbegu za maboga na Tende (tupa mbegu ubakize maganda yake)

Nafaka hizi zina madini ya zinc kwa asilimia zaidi ya 70%

Chukua viambata vyote hivyo, saga vyote kwa pamoja kwenye brenda kisha utaweka maziwa fresh.

Usiongeze sukari wala Asali.

Tumia glass moja kila siku jioni baada ya Mazoezi ya Kegels..

2: ZOEZI LA KEGEL
Kati ya mazoezi yenye faida kubwa ni zoezi hili kwani mbali na kutumika kukata kitambi, kuondoa maumivu ya mgongo, kiuno na nyonga, zoezi hili linaimarisha sana msuri unaoshikilia uume pindi unapokuwa umesimama [pelvic floor muscle], na usichokijua ni kwamba linathibiti kwa kiwango kikubwa ukuaji wa ngiri na tezi dume.

~Tenga dakika moja au zaidi kufanya zoezi hili ili uwe shuhuda wa maarifa haya
Cha kufanya:

Lala chali, kunja miguu kuelekea kwenye kiuno kisha binua kiuno kuelekea juu kwa sekunde 15 kisha shuka then binua tena kiuno kwa raundi 15 hivi inatosha. [Mimi hulifanya zoezi hili ninapoamka asubuhi na usiku kabla sijalala], unaweza tazama tutorial yake, video zaidi nimekutumia (chuka hatua)

3: MTINDO WA MAISHA [wengi tumeharibikiwa hapa]
Kuwa makini katika katika kile unachokiingiza mwilini na matendo pia, Epuka ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, achana na junk foods, pombe isipokuwa mvinyo mwekundu [kama imani yako inaruhusu kunywa kiasi], achana upigaji punyeto kama bado unafanya hivyo kwa kuuminya au kuusugua u**me husababisha kutanua misuri na kuifanya kuwa legevu zaidi na kunywea kuwa kama wa mtoto, weka mbali picha za ngono maana ndio sababu kubwa ya kupata hamu ya kujichua.

JINSI YA KUANDAA TIBA LISHE

Kwa kuwa mwanaume Unahitaji sana Madini Ya Zinki, Unaweza kuandaa hii lishe kama una brenda

Mahitaji ni Karanga Mbichi, Almonds, Korosho, Mbegu za maboga na Tende (tupa mbegu ubakize maganda yake)

Nafaka hizi zina madini ya zinc kwa asilimia zaidi ya 70%

Chukua viambata vyote hivyo, saga vyote kwa pamoja kwenye brenda kisha utaweka maziwa fresh.

Usiongeze sukari wala Asali.

Tumia glass moja kila siku jioni baada ya Mazoezi ya Kegels.

Mabadiliko utayapata baada ya siku 15 Tu.

Muhimu mwanaume punguza matumizi ya sukari nyingi katika milo au vinywaji, wacha matumizi ya pombe, sigara na vyakula vyenye mafuta mengi

Ukihitaji dawa iliyoandaliwa kutoka kwetu ipo [JUISI na Mafuta] Kwa ajili ya kuondoa madhara ya punyeto, pia nayo unaweza kuandaa mwenyewe, ni rahisi sana

Tafuta Asali mbichi ya nyuki wadogo lita moja, Tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], Vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], Unga wa msamitu vijiko nane, Unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, Unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.

Chukua Tangawizi na Vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.

Weka Unga wa Msamitu, Mdalasini na Unga wa Habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu Asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari.

Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi ikae kwa masaa 6, itakuwa tayari kwa matumizi

MATUMIZI:
Utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala

Nikukumbushe kwamba hii tiba yako ni kwa ajili ya changamoto zako zote za upungufu wa nguuuvu za kiume

Kuanzia kwenye kuongeza wingi na ubora wa manii, kuondoa athari zilizotokana na upigaji punyeto na kuongeza kiwango cha msisimko ktk tendo la ndoa.

Unaweza kutumia Tiba Asili ambayo tumekuandalia Tayari

Ni ya kunywa, unatumia vijiko vitatu asubuhi na vijiko vitatu usiku

Dozi unaipata kwa ofa Tsh 54,000 tu (Unaletewa bure / free delivery popote ulipo mkazi wa Dar) mkoani natuma kwenye Bus na zanzibar na pemba natuma Azam Marine / Zan Fast Ferries

Dawa yetu Unaitumia kwa siku 25 na kumaliza kabisa tatizo la ngu*vu za kiume

Mafuta ya Kunyoosha Uume unapata Bure Ukitaka

Tunapatikana Dar (Machinga Complex, KARUME)

Wasiliana nasi kwa Kupiga Simu 0676 996 243 au tuma ujumbe WhatsApp 0763872652

NAKUSISITIZA SANA KATIKA MILO:

Sio kila mlo ni wa kubugia, vyakula vingine huwa si vizuri haswa vyakula hivi vya kisasa.
Kama mwanaume hakikisha katika milo yako ya siku nzima angalau unapata vyakula vitatu au zaidi katika orodha hii, hata kama ni mara tatu kwa wiki sio mbaya.

Vyakula kama chaza, pweza, tende, mbegu za maboga, asali ya nyuki wadogo, bamia, ndizi mbivu, mbegu za tikiti, pilipili, zabibu, mvinyo mwekundu, tangawizi, chai ya iliki na mdalasini, vitunguu saumu, viazi vyekundu, unga wa habat sawda, udishe au msamitu, ni vyakula ambavyo kazi yake katika mwili ni pamoja na kuchochea uzalishwaji wa homoni za kiume kwa wingi na kuleta mzunguko wa damu katika mishipa, hivyo hukuwezesha uume kujaa damu na kudumu kwa muda mrefu katika mishipa ya uume wakati wa tendo.

Kwa Leo niishie apa🙏🏽.
Tumwesige senior MENEMENE TEKERI NA PERESI Anastasia21 DIVISHENI FOO Nikifa MkeWangu Asiolewe Binti wa zamani Mshangazi Mshana Jr

1750887543892.jpg
 
Kama hauna presha ya kushuka na wala huna tatizo la madonda sugu ya tumbo na wala sio mjamzito

Anza utaratibu wa kuchukua punje 3 hadi 6 za vitunguu saumu, unamenya kisha unameza punje moja moja bila kutafuna huku ukisukumiza maji, juisi au matunda au maziwa mtindi (haswa maziwa mtindi)

Najua wengi wa wanafunzi wangu mnaijua siri hii, nimeandika tena kwa ajili ya wageni ambao ndo kwanza wame-follow ukurasa wetu

Hii inasaidia vitu vingi kiafya haswa kwa sie tunaoteseka na Infections (P.I.D) na Fangasi wasioskia dawa... Inaongeza kinga ya mwili na kupambana na bakteria au fangasi wanaoshambulia via vya uzazi....

Pia kwa wanaume huwa tunaitumia katika kuondoa tatizo la mashine kuwahi kumwaga wazungu...

Anza kufanyia kazi hii kitu, kila asubuhi na jioni kwa muda wa wiki 3 utatuambia unajiskiaje.

Kitachokupa matokeo mazuri ni kujifunza na kufanyia kazi kile nachokufundisha... kwenye comment nimekuandikia somo kama una miwasho mapajani na P.I.D sugu

Endelea kuipata bidhaa yako kwa bei ya punguzo la 28%

Ambapo;
Mwanamke | unapata Dawa ya kusafisha mirija, kutoa uchafu kwenye kizazi, makovu kwenye kizazi, maambukizi ya fangasi (P.I.D), kutoa vivimbe na kubalansi homoni kwa Tsh 46,000 Tu

Mwanaume | unapata JUISI na Mafuta- package ya kuongeza uzalishwaji wa homoni za kiume ili kuboresha afya ya mbegu na misuri kwa wenye tatizo la kuwahi kumaliza mapema, maumbile dhaifu, uume kusinyaa, kuondoa athari zilizotokana na punyeto n.k kwa Tsh 54,000 tu

Tupo Morogoro mjini na TUNAFANYA DELIVERY 2000 tu kwa walio morogoro mjini, Wasiliana nasi
 
Back
Top Bottom