Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
We umezaliwa mwaka gani wifi?
kumbe kaba ni she? Lol
tena ni wifi yangu. Kaa nae mbali.
We umezaliwa mwaka gani wifi?
kumbe kaba ni she? Lol
tena ni wifi yangu. Kaa nae mbali.
mmmh ww mchoyo kumbe? Ok hata ukaribu pia sitaki, nampenda m1 tu.
enzi za mwalimu na wewe?
enzi za dr slaa..oops! I mean before mwalimu.
mpende huyo huyo m1. Wifi yangu lazma nimlinde kwa maslahi ya kaka.
hehe nikumbuushe basi wimbo jamani wii
teh teh wifi una mikwara?
ww mbona hulindwi?
ni jinsia ya kongosho
kuna mtu nyuma ya pazia ananilinda.
nani? Shehe yahya au?
unataka wa utotoni kabla hatujaanza shule?
ni jinsia ya kongosho