Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,160
- Thread starter
- #21
kama figganigga teh teh
nimemmic kweli mzee wa mia,umempatanisha na nani?
kama figganigga teh teh
aaah ok SheMale lol.
nitaota mwenzio.
nimemmic kweli mzee wa mia,umempatanisha na nani?
umenena vyema,unataka zawadi gani?
ewalaaa huo huo
huwez kuota si una kichwa kimoja tu.
wewe huwa unaota? Unaotaje?
na husninyo a.k.a mrembo wa mpwapwa!
tamu tamu.
utoto wangu haukuwa mzuri wifi, sikuwa na michezo na watoto wenzangu.
nikwambie?
nakuletea ungo upae uje kuniona
wifi hebu njoo hapa ujibu mashtaka
niambie ndio.
hata mabata madogo madogo,
mpatanishi amekuwa mchonganishi. Stuka wifi.
naota ndoto.
kipenzi cha wangu moyo Amyner atakuwepo?
mpatanishi amekuwa mchonganishi. Stuka wifi.