Watoto wa DawaJihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji.
Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama tabia zao ni za kawaida
Nimeshuhudia mara nyingi matangazo kwenye tv magazeti na radii hao wanaojiita manabii mitume na waganga wakijinasibu kuwa wamewasaidia akina mama wengi kupata ujauzito na hatimaye kujifungua watoto.
Lakini kamwe hatujawahi kuletewa mrejesho wa wale watoto maendeleo yao....kiukweli ni kwamba wengi walikufa au kupotea katika mazingira ya ajabu mno..hawa si watoto halisi.
Kujiepusha na maumivu haya nendeni hospital kapimeni wote ijulikane tatizo liko wapi au tatizo ni la nani halafu tiba yake ninini! Kama hakuna shida kila kitu kiko sawa lakini mimba hazishiki mwombeni Mungu atawajaalia mtoto wa haki...!
Msijaribu kwingineko haitawalipa.
Usiwe wa kuegemea upande mmoja katika maisha utakosa mengi maisha yana pande nyingi na mambo ya kiroho hayana ithibati za kisayansi kwahiyo hapa utakuwa tu unapoteza muda wako kuniuliza kuhusu facts kwakuwa sinazoAssumptions tu! hakuna biological fact yoyote wala huwezi kuprove scientifically kwamba kuna mimba za aina hiyo. Njoo na facts mtoa mada!
That is neither here nor there.
Would you recognize logic if it stared you in the face?The viceversa is also TRUEEEE " that it might be here or there {Refer logics [LOGIC]}
Hodi humu ndani,mi ni mgeni nusu,sikuwa member bali ni msomaji na mfuatiliaji sanasana wa jf,mshana jr mie ni mfuatiliaji sana wa nyuzi zako,japo zingine huwa zinatisha sana,ila kikubwa nilicho jifunza kwako ni kuwa unaishi ro h honi zaidi kuliko mwilini.kwamba haya maisha yetu ni soft copy ya kilichopo ktk ulimwengu wa roho.asante kwa kujitoa kutukumbusha.naomba kukaribishwa mgeni mwenyeji.Jihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji.
Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama tabia zao ni za kawaida
Nimeshuhudia mara nyingi matangazo kwenye tv magazeti na radii hao wanaojiita manabii mitume na waganga wakijinasibu kuwa wamewasaidia akina mama wengi kupata ujauzito na hatimaye kujifungua watoto.
Lakini kamwe hatujawahi kuletewa mrejesho wa wale watoto maendeleo yao....kiukweli ni kwamba wengi walikufa au kupotea katika mazingira ya ajabu mno..hawa si watoto halisi.
Kujiepusha na maumivu haya nendeni hospital kapimeni wote ijulikane tatizo liko wapi au tatizo ni la nani halafu tiba yake ninini! Kama hakuna shida kila kitu kiko sawa lakini mimba hazishiki mwombeni Mungu atawajaalia mtoto wa haki...!
Msijaribu kwingineko haitawalipa.
Asante na karibu sanaHodi humu ndani,mi ni mgeni nusu,sikuwa member bali ni msomaji na mfuatiliaji sanasana wa jf,mshana jr mie ni mfuatiliaji sana wa nyuzi zako,japo zingine huwa zinatisha sana,ila kikubwa nilicho jifunza kwako ni kuwa unaishi ro h honi zaidi kuliko mwilini.kwamba haya maisha yetu ni soft copy ya kilichopo ktk ulimwengu wa roho.asante kwa kujitoa kutukumbusha.naomba kukaribishwa mgeni mwenyeji.
AMEN AMEN. Barikiwa pia mpendwaNimejifinza kitu,yamenikumbusha pia mafundisho ya malango,mliyotiririka mshana jr,Divine,na Heaven sent,siachi kurudia rudia.mbarikiwe sana watumishi.