Umerudi pale pale kuwa wewe pekee upo kinyume na dunia nzima na wote ni wajinga, nilishaeleza huko juu kuwa mjanja ni wewe peke yako.Unachojua wewe ni makanisa na misikiti tu.
Tatizo linaanzia hapo.
A little knowledge is dangerous indeed. Utashi wako unaanzia na kuishia katika makanisa na misikiti.
I have been to Dharamsala.
Hujathibitisha kwamba mungu wako huyo yupo. Huwezi.
Kwa sababu hayupo.
Na dunia yako yote imejengeka katika uongo huo.
Ndiyo maana unaamini katika ujinga kama uchawi.
Utasemaje mimi pekee?Umerudi pale pale kuwa wewe pekee upo kinyume na dunia nzima na wote ni wajinga, nilishaeleza huko juu kuwa mjanja ni wewe peke yako.
Na pengine nimepata faida katika mjadala wetu bwana mdogo maana nilikuwa nikisikia kuhusu wapagani ila leo nimethibitisha, tukiachana na sisi tuliokosa upeo kuamini uwepo wa Mungu.......wewe hua una imani yeyote unayoabudu au?
Nijuze mkuu nipate kuelewa vema watu wa aina yako wanakwenda vipi
Naamini uwepo wa MunguUtasemaje mimi pekee?
Umezunguka nchi ngapi duniani mpaka leo useme mimi pekee?
Mimi mpagani?
Unafahamu maana ya mpagani ni nini? Moagani ni mtu mwenye imani fulani ya kidini. Mimi sina imani ya kidini. Wewe mwenye kuamini mungu yupo uko karibu na moagani kuliko mimi nisiyeamini kuwapo kwa mungu.
Utaniitaje mimi mpagani?
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?
Au unaamini hadithi ya uongo isiyothibitishika tu?
Ukishakileta JF, hujashika ulichonacho.Naamini uwepo wa Mungu
Huamini uwepo wa Mungu
Uthibitisho wa muumini ni katika vitabu vya dini
Kwako vitabu vya dini ni hadithi za kutunga
Nini hapa tunaweza tukaafikiana? Tusiwe kama watoto wanaotupiana lugha chafu humu kila leo........kila mtu ashike alichonacho maisha yaendelee
Ah! Sioni ni nini tunajadili ila kukushauri tu ni kwamba walioleta dini walizipigania na bado wanazipigania, hivyo wewe nawe ukitaka tuache ujinga huu usijibane nyuma ya keyboard ingia mtaani komboa watu waeleze sera zako kuwa hakuna mungu......naam hutakosa walio wakoUkishakileta JF, hujashika ulichonacho.
Umekileta kichambuliwe.
Nimekutaka uthibitishe uwepo wa mungu.
Umeshindwa.
Unaamini katika kitu ambacho huwezi kukithibitisha.
Huna tofauti na mtoto anayeamini katika hadithi ya kufikirika kwamba baba yake anaweza kuipiga dunia nzima.
Kiukweli imani ya mungu kwa watu wazima ni imani ile ile ya huyu mtoto iliyovikwa nguo za kiutu uzima tu.
Wishful thinking.
Hakuna mungu. Amka. Acha imani za kijinga hizo za kuwapo kwa mungu na uchawi.
Ah! Sioni ni nini tunajadili ila kukushauri tu ni kwamba walioleta dini walizipigania na bado wanazipigania, hivyo wewe nawe ukitaka tuache ujinga huu usijibane nyuma ya keyboard ingia mtaani komboa watu waeleze sera zako kuwa hakuna mungu......naam hutakosa walio wako
Utoto mtupu na kila ninavyojibu maswali ya kitoto yanazidi katika ligi hii ya kitoto[emoji15] [emoji15] [emoji15]Unajuaje kwamba una uwezo wa kunishauri mimi?
Na kama huoni ni nini tunajadili, utawezaje kunishauri?
Na kama hujajibu swali langu la kuthibitusha kuwepo kwa mungu unawezaje kupata kifua cha kunipa ushauri?
Unajuaje kwamba siko mtaani?
Waganga mbona wanawakamua sana hao wadada...Tatizo kubwa watu hawapati mafundisho yakutosha kwenye Imani kuhusu Mungu wao ndio maana wanakwenda kwa waganga...nakama MTU umefundishwa vzr habari za MUNGU wakweli Mganga au MTU anaekwenda kwa Mganga unampuuza sanaUjumbe murua kwa wanao mkufuru Mungu kwani kwa kila jambo unapaswa kumwona Mungu akusaidie sasa unakuta kila kukicha dada zetu miguu na njia kwa waganga, huko akiambia nipe p.... au t... GO hawezi kataa mwisho wa siku wanaambulia magonjwa nk
Ingawa umeandika mengi na maswali kumuuliza Mshana Jr mimi nataka nikwambie jambo 1 kuhusu hawa wahuni wanaopenda kujiita Manabii hawa ni matapeli wakawaida kabisa....sasa kumetokea huo ujinga has a wanawake wanaibiwa sana wengi wao badala yakwenda kwa Waganga wanajificha kwenye KOTI la kutabiriwa hii ni style ya uaGUZI....Ninachofahamu khs Huduma ya unabii nikwamba NABII kabla hajajakukuambia kwamba MUNGU amenionyesha kitu flan kwako kitatokea nini kawaida anaanza MUNGU mwenyewe kukuonyesha the NABII akija kukwambia nikama cornfimation tu lkn watu wengi hawajui hii mamboNdg mshana jr;
Tahadhari yako nimeifurahia sana, ila unapowaambia watu kuwa wajihadhari na hao wanaojiita manabii sijakuelewa. Ina maana kuwa tusiwakubali tena hao manabii?? Tusipo wakubali manabii tuwaendee wanani?? Sitetei nabii yeyote kwani ninavyo amini mimi ni kwamba, kama kweli huyo ni mtumishi wa Mungu aliye hai, Mungu mwenyewe atamtetea tu. Mungu hatazuiwa na mshana jr au yeyote.
Sisemi kuwa manabii wote ni waongo, ila Neno la Mungu linasema; Kwa matunda yao, mtawatambua. Kwa maneno mengine ni kuwa, tunaweza kuwatofautisha tu kwa matunda yao. Mungu wetu hadhihakiwi, hivyo hawezi kumdhihaki mtu yeyote. Yaani mama amemwomba mtoto, tena kwa uchungu mwingi, miaka 38, halafu Mungu wetu ambaye tunajua jina lake ni UPENDO. amdhihaki, abebe mimba miezi 9 halafu aje kujifungua hizo sura ulizoweka kwenye picha zako. HAPANA. Nasema, haitotokea kamwe.
Kama umemwendea nabii wa kweli, atamwomba Mungu kwa uchungu naye Mungu atakupa mtoto. Ombeni watoto kwa manabii wa kweli. Ishara; Nabii wa kweli hataomba fedha wala zawadi yeyote kwako. Ameambiwa kuwa, ulipewa bure, toa bure. Nimpe pesa kwani yeye ndiye ananipa huyo mtoto??
Mganga, wa kienyeji, hana uwezo wowote wa kukupa mtoto. Akikupa, labda mama ulilala naye na mbegu yake ikarutubisha yai lako. Akikupa mtoto kwa dawa, umempata huyo mshana jr aliyekuambia. Muogope huyo mganga kwani anauwezo na huyo mtoto kwani ni wake sio wako. Akimtaka saa yeyote kama hukutimiza sharti lake anamtwaa. Ni wake maisha yote.
Inawezekana mtoto asipate shida ktk ukuaji sababu Wazazi au walezi wanafata mashart lkn atakaokuwa mkubwa kwenye maisha yake lazima kuna baadhi ya vitu havitamwendea sawa kama wanadamu wengine...sababu ya Asili yakuzaliwa kwake huo ulimwengu aliotokea unakuwa na uHALALI nae so aidha inawezakuwa Shule....Uchumi...wake....au...ndoa kupata watt nk Hawezi kuwa kamilimimi nimewashuhudia hawa watoto wa kwa waganga wengi sana na wengine ni ndugu zangu kabisa.. ukweli ni kwamba sijawahi kuona tatizo lolote kwao...watoto hawa kwa kihehe huitwa vana vasuke... yaani watoto wa kuobwa. watoto hawa pindi wanapozaliwa huwa na masharti ulani, kwa chochote unachotaka kumfanyia inabidi uwasiliane na mganga.. ili uepukane na masharti yote haya basi itabidi umkomboe huyo mtoto.. ukishamkomboa basi huyo mtoto atakuwa na hatakuwa na shida yoyote.
kabla ya kuwajua hawa watu nilikuwa najiuliza mwisho wake huwa unakuwaje... baadaye nikajuwa maana pia nina ndugu zangu wenye watoto hawa, mpaka kesho sijawahi kusikia kitu chochote cha ajabu, nimecheza nao na kukua nao. wanakuwa na kufa kama wengine, wanakula kama wengine, kifupi hawana tofauti ya watoto wengine.
hayo ni yale niliyoyashuhudia kwa watoto wa kuobwa kwa waganga... lakini pia niliwahi kumshuhudia mama mmoja ambaye amewahi kuomba mtoto kwenye kanisa lake na madai yake ni kwamba alimuomba mungu. mama huyu alikuwa na mtoto mmoja na alipata matatizo ya Kizazi chake hivyo uwezo wa kuzaa tena hakuwa nao kabisa....baada ya kwenda kwenye maombi huyu mama alivimba tumbo yeye akadai mimba na akawa anaenda kliniki nako wakasema ni mimba... akailea hiyo mimba yake kwa bidii.. baada ya miezi tisa kufika ile kwenda hospitali kujifungua... ikabidi afanyiwe upasuaji.. baada ya upasuaji wakakuta minyama tu ambayo haikuwa na dalili yoyote kuwa kilikuwa kiumbe zaidi ilikuwa kama uvimbe hivi.
Kuna ibada zao na kutoa Kafara inategemea hiyo Madhabahu iliyomshikiria itadai nini kama ni DAMU....ya MTU mnyama pesa nkUnamkomboaje huyo mtoto?
Kuna kitu wachawi wanaiita hukumu ya Kifo hii ukifanyiwa ndio unakufa kwenye mazingira hayo unayosemaJamii forum ni zaidi ya uijuavyo aise,ila ndugu zangu naomba kujua ,kuna vifo vingi sana vinatokea sasa hivi vya watu kudondoka bafuni na kufariki katk kupita pita kuna stori kuwa hivyo ni vifo vya kishirikina@ naombeni mtujuze wadau
Ingawa umeandika mengi na maswali kumuuliza Mshana Jr mimi nataka nikwambie jambo 1 kuhusu hawa wahuni wanaopenda kujiita Manabii hawa ni matapeli wakawaida kabisa....sasa kumetokea huo ujinga has a wanawake wanaibiwa sana wengi wao badala yakwenda kwa Waganga wanajificha kwenye KOTI la kutabiriwa hii ni style ya uaGUZI....Ninachofahamu khs Huduma ya unabii nikwamba NABII kabla hajajakukuambia kwamba MUNGU amenionyesha kitu flan kwako kitatokea nini kawaida anaanza MUNGU mwenyewe kukuonyesha the NABII akija kukwambia nikama cornfimation tu lkn watu wengi hawajui hii mambo
Kama ya kitoto ungeweza kiyajibu kirahisi.Utoto mtupu na kila ninavyojibu maswali ya kitoto yanazidi katika ligi hii ya kitoto[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ungerejea hiyo post vizuri nafikiri ungemuelewa vyema sana mtoa uzi.yaa ni lazima kama ilivyolazima kudumu kwenye maombi muda wote pindi unapotaka msaada toka kwa MUNGU
mshana jr lazima ujue kila pande zina mafanikio na hasara zake.... ukihukumu moja kwa moja sijui waganga wabaya huko sahihi kwasababu babu zetu waliishi kwa njia hizo na walifanikiwa kwa njia hizo... hata waganga tunaowasema haimaanishi wote ni mashetani kama wewe unavyotaka kuwaaminisha umma, makanisani tumeshuhudia sio kesi moja ni nyingi watu wakipata kile ambacho hawakutarajia,
kwahiyo hata hao waganga wengine ni mashetani na wengine ni uwezo wanao waliopewa na MUNGU
Nimeupenda huu uchambuzi wako Prosper asante sanaWADAU,
Nimesoma michango ya wengi sana na nimejifunza mengi. Japo mimi si MTAALAM kama Mshana Jr au Jichawi lakn natoa yangu ili mjifunze ktk huu uzi.
1. KANUNI.
Ukitaka Kuyajua Ya Shetani Basi Mwabudu Mungu Usiwe Vuguvugu.
2. Ukitaka Kuyajua Ya Mungu Basi Mwabudu Shetani Usiwe Vuguvugu.
MFANO.
Huwezi Kuwa Shabiki Wakweli Wa Simba Usiwajue Wachezaje Wa Yanga Na Vivyo Hivyo Huwezi Kuwa Shabiki Wa Yanga Usiwajue Wachezaji Wa Simba.
Ukishasimama Ufalme Mmoja Wa Kiroho Yani Ukaamua Kuegemea Kwa Mungu Au Shetani, Basi Utayajua Ya Upande Uliopo Na Upande Wa Adui Yako.
Kinachotufanya Wengi Tushindwe Kuwatofautisha Manabii Wa Ukweli Dhidi Ya Wale W Uongo Ni Kwasababu Tupo Vuguvugu Yani Sisi Si Moto Wala Baridi. Hapa Ndipo Hawa Manabii Wa Uongo Wanapotupiga Bao, Lakn Kama Tutasimama Thabiti Ktk Ufalme Mmoja, Basi Kila Kitu Kitakuwa Wazi Kwetu.
Mshana Jr na Jichawi Wanayajua Haya Coz Walishachezea Moja Kati Ya Hizi Club Na Pengine Walikuwa 1st Eleven Ndio Maana Wao Kuyajua Haya Imekuwa Rahisi Kwao.
Mungu Awatie Nguvu Mtupe Shule Ya Kutosha Japo Hamtoi Vyeti hahahahahahah.