Heri ya yule anaekufungua masikio kuliko anaenyamaza......
Lengo ni kukumbushana kesho yetu...akhsante kwa maandiko
Heri ya yule anaekufungua masikio kuliko anaenyamaza......
Lengo ni kukumbushana kesho yetu...akhsante kwa maandiko
Unamkomboaje huyo mtoto?watoto hawa pindi wanapozaliwa huwa na masharti fulani, kwa chochote unachotaka kumfanyia inabidi uwasiliane na mganga.. ili uepukane na masharti yote haya basi itabidi umkomboe huyo mtoto.. ukishamkomboa basi huyo mtoto atakuwa na hatakuwa na shida yoyote.
Kwahiyo umeiona tofauti sasa?mimi nimewashuhudia hawa watoto wa kwa waganga wengi sana na wengine ni ndugu zangu kabisa.. ukweli ni kwamba sijawahi kuona tatizo lolote kwao...watoto hawa kwa kihehe huitwa vana vasuke... yaani watoto wa kuobwa. watoto hawa pindi wanapozaliwa huwa na masharti ulani, kwa chochote unachotaka kumfanyia inabidi uwasiliane na mganga.. ili uepukane na masharti yote haya basi itabidi umkomboe huyo mtoto.. ukishamkomboa basi huyo mtoto atakuwa na hatakuwa na shida yoyote.
kabla ya kuwajua hawa watu nilikuwa najiuliza mwisho wake huwa unakuwaje... baadaye nikajuwa maana pia nina ndugu zangu wenye watoto hawa, mpaka kesho sijawahi kusikia kitu chochote cha ajabu, nimecheza nao na kukua nao. wanakuwa na kufa kama wengine, wanakula kama wengine, kifupi hawana tofauti ya watoto wengine.
hayo ni yale niliyoyashuhudia kwa watoto wa kuobwa kwa waganga... lakini pia niliwahi kumshuhudia mama mmoja ambaye amewahi kuomba mtoto kwenye kanisa lake na madai yake ni kwamba alimuomba mungu. mama huyu alikuwa na mtoto mmoja na alipata matatizo ya Kizazi chake hivyo uwezo wa kuzaa tena hakuwa nao kabisa....baada ya kwenda kwenye maombi huyu mama alivimba tumbo yeye akadai mimba na akawa anaenda kliniki nako wakasema ni mimba... akailea hiyo mimba yake kwa bidii.. baada ya miezi tisa kufika ile kwenda hospitali kujifungua... ikabidi afanyiwe upasuaji.. baada ya upasuaji wakakuta minyama tu ambayo haikuwa na dalili yoyote kuwa kilikuwa kiumbe zaidi ilikuwa kama uvimbe hivi.
kiukweli mimi huwa sijui wanawakomboaje wana taratibu zao wenyewe wanazijuaUnamkomboaje huyo mtoto?
yaa ni lazima kama ilivyolazima kudumu kwenye maombi muda wote pindi unapotaka msaada toka kwa MUNGUKwahiyo umeiona tofauti sasa?
-ni lazima mtoto umkomboe toka kwa mganga!usipomkomboa..!?
-mama wa maombi na mimba ya manyama nyama
Hii post haimaanishi kuwa wote wako hivyo kuna wanaoomba nakuombewa na kwa rehema na neema za Mwenyezi Mungu hujibiwa maombi yao lakini ni mmoja kwa 20
true watoto waliozalowa mchanganyiko wa majini na binadamu wako wengi sana mtaani ndo mana kuna wanawake wengine mambo wanayoyafanya unajiuliza vp hawahawana wazazi na je hawafikilii kwamba watazaa na je vipi watoti zao wakikua wakaziona tupu zao wanavozianika katika picha !!Hakika mshana barabarani tuna Mashetani wengi sana waliozaliwa na binadamu.
Pia ni bora kuwapeleka watoto hao kwa viongozi wa kidini walio na nguvu za Mungu JEHOVA
Lakini sijawaponda waganga wale wanaotumia mitishamba bila tone la ushirikina ndani yake na ndio maana nikasema mimba za kuzimuyaa ni lazima kama ilivyolazima kudumu kwenye maombi muda wote pindi unapotaka msaada toka kwa MUNGU
mshana jr lazima ujue kila pande zina mafanikio na hasara zake.... ukihukumu moja kwa moja sijui waganga wabaya huko sahihi kwasababu babu zetu waliishi kwa njia hizo na walifanikiwa kwa njia hizo... hata waganga tunaowasema haimaanishi wote ni mashetani kama wewe unavyotaka kuwaaminisha umma, makanisani tumeshuhudia sio kesi moja ni nyingi watu wakipata kile ambacho hawakutarajia,
kwahiyo hata hao waganga wengine ni mashetani na wengine ni uwezo wanao waliopewa na MUNGU
Meditation isipochanganywa na imani yoyote ni kitu kizuri mno lakini bahati mbaya sana ni ngumu kwahiyo kwa sehemu kubwa imani zinazopingana na uwepo wa Mungu hutumia sana meditation kama kichaka cha kuficha uhalisia wao
Sasa apo nieleweshe vizur inakuwaje mtu anasema kwajina la yesu na kuombea kumbe anatumia jini[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Uku navojua mapepo na ata ibilisi akitajiwa jina la yesu anashindwa kuzur.
inavyosemekana wachungaji fake wengi hawawezi sema PEPO TOKA KWA JINA LA YESU WA NAZARETY anaweza lipukiwa na bomu la NYUKRIA wao husema pepo toka kwa jina la yesuKumchinja kobe kunataka timing...bila zuga ya kulitaja jina la Yesu huwezi kufanya haya mambo peupe
Ni kweli kabisa huwa hawasemi hivyo...kwakuwa ni wazugaji na wanatumia nguvu tofauti na ile ya kimungu...wengi hili hawalijuiinavyosemekana wachungaji fake wengi hawawezi sema PEPO TOKA KWA JINA LA YESU WA NAZARETY anaweza lipukiwa na bomu la NYUKRIA wao husema pepo toka kwa jina la yesu
na pia hawasemi MWENYEZI MUNGU kwa maana MWENYEZI MUNGU NI MMOJA wao hupenda kutumia MUNGU kwa maana Wanaisishilikisha MIUNGU yao MUNGU wapo wengi hata kongo yupo anaejiita MUNGU wa tatu
na hata ikitokea ikabidi kumtaja MWENYENZIMINGU wao humtaja kwa jina la MUNGU MKUU
na kuhusu kulitaja jina yesu hutumia timing sana 7bu wewe km ni mtu safi ukalitaja taja taja sana hutumia mbinu kukunyamazisha na mara nyingi MANABII hukwamakwama maneno na ndo mana mara nyingi maombi yao huongoza wao muda wote wewe unabaki kimya tu mpk a unazuduwa unaanguka
Unaweza kujitolea kumloga Kiranga ili apate majanga, maana yeye haamini katika uchawi, na alishawahi kutoa offer humu ndani kuwa kama kuna mchawi yeyote amloge yeye apate majanga na hata amuue akiweza!! Lakini hakuna aliejitokeza kipindi hicho, uko tayari kwa hiyo challenge mkuu jichawi ??Mada namna hii ni nzuri maana naishi ndani ya yanazungumzwa na nayajua......binafsi kuna dada mmoja wa miaka kama 37 hivi ambae hakuwahi kushika mimba tangu kuvunja ungo kwake.
Alinifuata kuhitaji msaada wangu maana ameshapoteza matumaini na tiba za kizungu hazionyeshi manufaa kwake, nikafanya nnachokijua akashika mimba na kujifungua (japo alijifungua kwa tabu mpaka nikatuma nguvu za ziada)
Jana amenitembelea akiwa na furaha kuu na yeye kuwa na mtoto na alikuwa mtoto ameshafikisha siku arobaini.
Narudi kwenye mada.....nayajua maagano yake na roho zinazomuandama yule mtoto na mama......najua anahitaji ukaribu na mimi ili mambo yaendelee kuwa sawa......najua pindi mambo akiyaacha njiani kwa kunidharau kisa katimiza lengo lake nini kitampata......nk nk
Hata kama ingewezekana uchawi haufanyi kazi kwa njia hiyo na pengine alishawahi kurogwa lakini asijue kwakuwa uchawi hauna lebo
yale yale 7bu watoto walizidi sana ubishi niliomba wansotaka kulogwa wanitumie pm majina halisi matatu lake la baba na mama na location anapoishi au anapofanyia kazi mbona hawakutumaMkuu kila mtu yupo huru kuamini anachoamini na siwezi kuingia katika mkumbo huo wa kuchanganya vitu vyangu kumdhuru mtu kisa amesema kitu fulani, wapo waliorogwa wakaumia na bado wakajazana hospital mpaka umauti kwa kuamini tu hakuna uchawi.
Mimi naishi ndani ya haya mambo na ndio kazi inayofanya sehem anayoingia tajiri na mimi nikaingia....akichafua noti na mimi nachafua noti....na serikali inanitambua kwa vibali vyote vya ndani na nje ya nchi.
Ila ninapokuja huku nazama zaidi kwenye kuelimisha ubaya wa mambo haya kutokana na ninayopitia na sio hadith za juma na uledi.